Maisha ya Jf...yamenishinda 4real yani!!

dazipozi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
1,137
Reaction score
106
Mambo vp?wakubwa na wadogo?Mimi ni kijana wa Miaka 21,mwezi wa tatu tarehe 2 ndo natimiza miaka 22,Jf nilijiunga bila kulazimishwa na mtu ni kwa mapenzi yangu mwenyewe ndo maana nimeweka info zangu full paka ma pic...ila kuondoka nimeondoshwa na watu wa Jf,kwa sababu zao binfsi,kwenye Jf kwa muda mfupi niliojiunga Jf nimejulikana na watu wengi nani mewajua watu wengi kiasi,kama wa kina Kongosho,Lizzy,The Boss,Marelia Sugu,Boflo,Mwita25,Faiza Foxy,Facebook,Paka Jimmy..na wengine wengi,ebwana kuna MIJITU maana sio WATU,wana ni PM kuwa awanitaki Jf eti kutokana na Topic zangu za kitoto,na majibu yangu sio mazuri..sasa kuepusha Ugovi na watu,nilikuwa naomba mnipe maelekezo jinsi ya kujiondoa humu,nimechoka na lawama za humu mtoto wakiume nakuwa sina Amani bwana,kwa sababu ya watu fulani,ni hayo tu,nisome kama Dazi Pozi a.k.a Mx
 
Dawa ingekua kuacha utoto, ila kama ni kujitoa we siuache tu kuingia? Au mPM Invisible umwambie akuondoe.
 
hata sijui kunitaja kwangu hapo kunahusiana vipi na wanao kukosesha raha hapa jf
sijaelewa baado....
 
We PM Invisible akuondoe humu, hata thread zako anaziondoa bila shida.
Kanyonye kwanza ukue dogo!
Mambo vp?wakubwa na wadogo?Mimi ni kijana wa Miaka 21,mwezi wa tatu tarehe 2 ndo natimiza miaka 22,Jf nilijiunga bila kulazimishwa na mtu ni kwa mapenzi yangu mwenyewe ndo maana nimeweka info zangu full paka ma pic...ila kuondoka nimeondoshwa na watu wa Jf,kwa sababu zao binfsi,kwenye Jf kwa muda mfupi niliojiunga Jf nimejulikana na watu wengi nani mewajua watu wengi kiasi,kama wa kina Kongosho,Lizzy,The Boss,Marelia Sugu,Boflo,Mwita25,Faiza Foxy,Facebook,Paka Jimmy..na wengine wengi,ebwana kuna MIJITU maana sio WATU,wana ni PM kuwa awanitaki Jf eti kutokana na Topic zangu za kitoto,na majibu yangu sio mazuri..sasa kuepusha Ugovi na watu,nilikuwa naomba mnipe maelekezo jinsi ya kujiondoa humu,nimechoka na lawama za humu mtoto wakiume nakuwa sina Amani bwana,kwa sababu ya watu fulani,ni hayo tu,nisome kama Dazi Pozi a.k.a Mx
 
hata sijui kunitaja kwangu hapo kunahusiana vipi na wanao kukosesha raha hapa jf
sijaelewa baado....

No kaka sijakusema kwa mabaya nyinyi ni moja ya watu ambao wako peace sana humu,Mx
 
Uwe mwanaume kweli basi, kama watoka basi toka kama ulivyoingia. Kwa nini wakutoe watu kana kwamba ulituma kwao application letter ya kujiunga JF.
 
Powa nimekusoma,Mx
 
Unajinyima raha mwenyewe... Cha zaidi utaondoka tu na kurudi with a new id... Kama ushajua kosa lako badilika then maisha yaendelee...
 
Mambo vp?wakubwa na wadogo?Mimi ni kijana wa Miaka 21,mwezi wa tatu tarehe 2 ndo natimiza miaka 22,Jf nilijiunga bila kulazimishwa na mtu ni kwa mapenzi yangu mwenyewe ndo maana nimeweka info zangu full paka ma pic...ila kuondoka nimeondoshwa na watu wa Jf,kwa sababu zao binfsi,kwenye Jf kwa muda mfupi niliojiunga Jf nimejulikana na watu wengi nani mewajua watu wengi kiasi,kama wa kina Kongosho,Lizzy,The Boss,Marelia Sugu,Boflo,Mwita25,Faiza Foxy,Facebook,Paka Jimmy..na wengine wengi,ebwana kuna MIJITU maana sio WATU,wana ni PM kuwa awanitaki Jf eti kutokana na Topic zangu za kitoto,na majibu yangu sio mazuri..sasa kuepusha Ugovi na watu,nilikuwa naomba mnipe maelekezo jinsi ya kujiondoa humu,nimechoka na lawama za humu mtoto wakiume nakuwa sina Amani bwana,kwa sababu ya watu fulani,ni hayo tu,nisome kama Dazi Pozi a.k.a Mx

hapo kwenye RED kama kuna ukweli ndani yake.. ila sababu umeweka wazi umri wako.. sasa tutakuchulia poa tu!.. teenager . Mx
 
Back
Top Bottom