Maisha ya Jf...yamenishinda 4real yani!!

hapa hatuuzi sura jf ni zwizwizwigi..tyuu..!! kama hiphop. yaani hapa ni kuongea ukweli tu hata kama ukweli utamuuma. hapa ni habari mpasuko, malavidadi na stori kwenda mbele. wewe kama umechoka kula kona tu. wanao kutongoza mbona hutuambii? ningekuwa paw nakupiga ban ya wiki utie akili. eti wanakupm, na wewe si uapm?. alaaa...!!!
 
Mia mia mtu mzima nimekusoma Binti,Mx
 
Pole! Unawezapitia threads chache zilizoanzishwa na hao uliowataja ukapata mwanga.

Kujiondoa si dawa kwani utajinyima nafasi ya kujifunza zaidi.
 
yeye ni mmoja wa wengi waliopo na sio wote.Mwali kanifurahisha kasema kakutana na kijana wa 16 years lakini ni kichwa balaa.

Yawezekana hata hao wengi wasiwe wengi kama unavyofikiri. Umri haumfanyi mtu awe juu au chini kifikra. . kuna mijibaba na mijimama ambayo umri umeenda ila kifikra/matendo na upeo wao ni wa chini kupitiliza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom