Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,575
Docta nakusabahiKijana uaifanye hivyo tafadhali, wewe ni wa thamani sana, karibu tuongee, nimeku PM
Sent using Jamii Forums mobile app
Docta nakusabahiKijana uaifanye hivyo tafadhali, wewe ni wa thamani sana, karibu tuongee, nimeku PM
mkuu usijitose baharini, bado aujashindwa embu jaribu kuweka hapa maswahibu yako utasaidiwa kujiua uko ni kujidhalilisha who you are na safari yako nzima ya maisha
hakuna lakushindikana chini ya jua aya mengine ni mapito tu mkuu, USIFE KIZEMBE
Sema Demi , niko poa....
Wakuu poleni na majukumu najitahidi kujituma nafanya kazi NGUMU ya bahari ila kila nnnalofanya naona sielewi siwezi eleza mengi ntajitosa usiku huu baharini.
Nimevumilia nimeshindwa alie karibu atapata taarifa ya MTU kujitosa baharini nawatakieni mema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama lengo lako ni kujitoa uhai, hii njia unayotaka kuitumia ni kati ya njia za hovyo kabisa na uwezekano wa lengo lako kutimia ni mdogo mno.Wakuu poleni na majukumu najitahidi kujituma nafanya kazi NGUMU ya bahari ila kila nnnalofanya naona sielewi siwezi eleza mengi ntajitosa usiku huu baharini.
Nimevumilia nimeshindwa alie karibu atapata taarifa ya MTU kujitosa baharini nawatakieni mema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jambo jema lakini hili ungeenda PM.. Kuweka no yako hapa unawapa nafasi matapeli na waongo wakutafute wakijifanya wana shidamkuu wiki ijayo napokea mshahara, kama utavumilia nipo tayari nikupe kiasi endapo shida yako ni kuhusu pesa, kama shida haihusu pesa naomba uopitie mawazo ya wadau wengine hapa kwamba HAKUNA GIZA LA MILELE, yatakwisha, nicheki 0718829826.
Tunaomba uweke na picha yako tutapost nini kuhusu marehemu
Kuweni makini msije kuwa mnamjibu aliye marehemu tayari... Mnaweza kujutaSawa kwakuwa umeamua kuwapa samaki furaha na kilio utawapa binadamu.
R.I.PWakuu poleni na majukumu najitahidi kujituma nafanya kazi NGUMU ya bahari ila kila nnnalofanya naona sielewi siwezi eleza mengi ntajitosa usiku huu baharini.
Nimevumilia nimeshindwa alie karibu atapata taarifa ya MTU kujitosa baharini nawatakieni mema.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]dah aiseeeWakuu poleni na majukumu najitahidi kujituma nafanya kazi NGUMU ya bahari ila kila nnnalofanya naona sielewi siwezi eleza mengi ntajitosa usiku huu baharini.
Nimevumilia nimeshindwa alie karibu atapata taarifa ya MTU kujitosa baharini nawatakieni mema.
Sent using Jamii Forums mobile app