Maisha siyaelewi kabisa kwaherini

Maisha siyaelewi kabisa kwaherini

Wanawake wote hawa Bongo unasema unamsongo wa mawazo. Hebu chukua mmoja mashallah, peleka gheto halafu mwambie asonge huku amevaa khanga moja.
Kumpata sasa wa kumwambia asonge na kanga moko [emoji23][emoji23][emoji23] uache kazi ufanye kazi na bado Inaweza kufanya ujiuwe kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ya siku hizi sijui yamekuwaje kwa kweli. Ule uwanaume sijui umepotelea wapi! Changamoto kidogo mtu anajiua?? Nisiandike mengi ila ukifika kwa Mungu utuombee ndugu yangu.
Wakuu poleni na majukumu najitahidi kujituma nafanya kazi NGUMU ya bahari ila kila nnnalofanya naona sielewi siwezi eleza mengi ntajitosa usiku huu baharini.

Nimevumilia nimeshindwa alie karibu atapata taarifa ya MTU kujitosa baharini nawatakieni mema.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamba acha izo mtu wangu.

Mi niko apa na degree yangu na nachimba mitaro ya barabaran umefukiwa na mafuriko na kwa siku 5 na unakatwa 1500 ya chai na msosi.

Mbaya zaid hela unalipwa kwa wiki. Afu niko fresh tu nacheka na wadau apa Kama hamna kitu ivi!!!

Jion apa mwenzio napokea mzigo leo namwita bebe mageton tutumie [emoji23][emoji23][emoji23]. Naamin ntantoboa tu hata wewe amini hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama uliabadili uamuzi na hukujitupa bahharini hiyo jana nikuambie tuu ukijiua una kesi kubwa sana ya kujibu huko unakotaka kwenda.
NB. if you can make it through the night there is a brighter day-- 2pac
 
Bora wewe unaweza ukapata hata chombo cha kusafiria mpaka kufikia sehemu ya maji marefu ili kujitoa uhai!

Kuna wenzako muda huu wanapanga njama kutokana na hali ngumu ya maisha waibe chombo kama hicho wazamie baharini kutafuta samaki walau kwa mlo au pesa kidogo kwa kuivuka Leo Yao tu, hawajui kesho yao itakuwaje!

Hawa si Bora kuliko wewe, wala huna maswaibu maswaibu kuliko wao, LAKINI hawajafikia kujiua!

Uu wa thamani sana kuliko hatua unayotaka kuichukua. Nipe namba yako nikutumie nauli walau utembelee pale Ocean Road hospital ukajifunze kuwa kuna watu wanamagumu kuliko wewe lakini, wanapigana KUISHI. Wanataka kuishi unlike you, labda utapata mawazo mapya.
Unajali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamba acha izo mtu wangu.

Mi niko apa na degree yangu na nachimba mitaro ya barabaran umefukiwa na mafuriko na kwa siku 5 na unakatwa 1500 ya chai na msosi.

Mbaya zaid hela unalipwa kwa wiki. Afu niko fresh tu nacheka na wadau apa Kama hamna kitu ivi!!!

Jion apa mwenzio napokea mzigo leo namwita bebe mageton tutumie [emoji23][emoji23][emoji23]. Naamin ntantoboa tu hata wewe amini hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Vere goodi

In Makinda tone
 
Hivi vibua si wanaishi baharini? Ukikutana nao wasalimie sana wambie nawapenda sana wakiwa kwenye sahani
 
mkuu usife kwanza, nilipe pesa zangu, maana nitafilisika, wakat were umeenda kumsalimia Mwenyezimungu
 
Yani wewe jamaa unataka kutuendesha kweli sema tu unahitaji msaada wasamaria wema wapate kukusaidia,Ila siyo swala la kusema unataka kujitosa katika maji ili ufe.

Kusema kweli nayapenda sana maji Ya bahari na ninaweza kuogelaea japo siyo fundi sana wa kukata maji,nimewahi kunusurika kama mara mbili tatu hv kuzama baharini nashukuru kwa uwezo wa Mungu nikatoka salama ila Kila nikikumbuka hayo matukio huwa najicheka sana,Maana katika Kila tukio ambalo nimenusurika nilikuwa nikitoka siongei na mtu ilikuwa ni moja kwa moja kufuata nguo zangu kisha kusepa na wala sikuwa na geuka nyuma kuitazama bahari mara Ya mwisho ndio ilikuwa kubwa kuliko maana ata nguo nilienda kuvalia kwenye stendi na nika waacha washkaji wakiwa wanaendelea kula bata nikadaka zangu bajaji kurudi home.

Maana nilikuwa nakiona kifo wazi wazi bila kificho.
Alafu Wewe unakuja kuleta habari zako za bunuasi hapa hiv unakijuwa kifo cha maji wewe.
Watu mnavyo visa vizuri vya kushuhudia makuu ya Mungu na bado mmekaa kimya
Anzisha Uzi mkuu tunufaike na maelezo yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuweni makini msije kuwa mnamjibu aliye marehemu tayari... Mnaweza kujuta

Jr[emoji769]
Nikweli ndugu
lakini kama mtu anataka kujiua na anakuja kutangaza anataka atention zetu kabisa, kitu ambacho nikutafuta sifa za kijinga
kwanini napata ujasiri huu kuongea hivi wakati nisuala la kifo?
Sababu kubwa ni hiii
Kuna thread kama mbili zipo humu ni watu walikata tamaa kabisa yakuishi walikuja wakijieleza na namna gani hawaoni umuhiu wakuendelea kuishi, walikuja kuona kama wanaweza kupata msaada wowote naamini waliona kunatumaini fulani wanaweza kupata,
Mwishowe wote waliweza kusaidiwa vyema hata wakileta mirejesho mizuri kabisa,
sasa huyu ni nani hajihurumii kabisa na anaweza pata ujasiri wakuja hapa kutangazia hapa kwamba anajiua?
kama kweli ameshindwa kabisa kupata msaada na tumaini anapata wapi ujasiri ama akili yakuaga?
Nature can't lie kamwe "Anayejisifia kwa shida aliyonayo nikwamba tayari anauwezo wakuikabili ila hajataka kwa makusudi, maana wasioweza kuzikabili wala hawawezi kuyajua matatizo yao"

Over
 
Duh huwa tunachukulia mzaha hivi hivi…… hivi tangu atoe hii thread ameshareply comment hata moja?
chongoe please usitulize Mkuu njoo tuzungumze.
 
Back
Top Bottom