Maisha siyaelewi kabisa kwaherini

Maisha siyaelewi kabisa kwaherini

It's so sad that kuna watu wanafanya masihara hapa. Mshukuru Mungu kwa hali uliyonayo na kamwe usimkejeli mtu mwingine kwa hali yake bali jitahidi kumfariji kwa kumpa moyo.
 
Oya mwana chongoe, usiondoke kabla hujatupa lift ya hii chombo yako aisee!!

Screenshot_20200313-233511.jpeg
 
Wakuu poleni na majukumu najitahidi kujituma nafanya kazi NGUMU ya bahari ila kila nnnalofanya naona sielewi siwezi eleza mengi ntajitosa usiku huu baharini nimevumilia nimeshindwa alie karibu atapata taarifa ya MTU kujitosa baharini nawatakieni mema

Sent using Jamii Forums mobile app
Imenibidi nicheke kwanza.. dah hii dunia kweli ina raha yake.. Mkuu tueleze kinagaubaga shida nn hasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namuhuzunikia sana mama yako alivumilia kila aina ya shida hapa duniani akiwa kakubeba wewe tumboni mwake kwa muda wa miezi 9 na kukulea ha hali na mali bila kujali mangapi anayapitia baadae toto linakua linajiua kwa sekunde tu daaah hebu fikiria mara mbili.
 
Upo bahari ukanda gani we kufa tu kama ni maeneo ya kigamboni ukishaanza kuelea kwenye maji baada ya samaki wakishakula macho na pumbu zako mi nikipata taarifa nitaanzisha Uzi wa kukuaga humu JF au huna taarifa ya kwamba mfa maji ana tabu zaidi kuliko anayejinyonga??!!
Kama Maisha magumu kila mtu ana mapito yake katika dunia unajiua unajuaje labda ndo muda wako wa baraka ndo unakaribia maana giza likizidi sana ndo ishara ya mapambazuko
duuu! maneno yako makali sana mkuu! fikiria positive kwenye kuandika, ujenge sio kubomoa kama hivi unavyo fanya
 
nyie mnaojibu vibaya,akifa kweli sio mrudi na majuto kwa nini mliongea vibaya kwenye thread yake..
Tatizo? Id fake yake na matendo anayafake pia, ili ukimfuatilia kwa msaada ama kwa shari usimpate.

Ni kama nyoka akihisi kufa, hutafuta shimo na akishakujisunda humo ndiyo kantolee.

Ukiona nyoka kafa anaozeana huyo kauawa hajafa natural death.

Sasa kwa isue ya huyu kama kadhamiria kujiua ijapo kasema, huwa saazingine hana muda wa kutafuta muarobaini wa suluhu kwa kutumia mawazo ya wengine.

Kumshauri ili abadili mawazo ni sawa na mtu aliyejiandaa kusafiri na kisha kumuahirishia kwa kumteremsha kwenye chombo muda ambao usafiri umewashwa kwa ajili ya kuondoka.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom