dottoz
JF-Expert Member
- Jan 29, 2012
- 1,510
- 881
Lakini nimesikia kuna tukio limetokea kule ununio baharini kuna mtu kapatkana baharini kafa sasa sijajua kama ni yeye au lah ngoja niwasiliane na watu walioko huko ununio nione wanasemaje??
Nikweli ndugu
lakini kama mtu anataka kujiua na anakuja kutangaza anataka atention zetu kabisa, kitu ambacho nikutafuta sifa za kijinga
kwanini napata ujasiri huu kuongea hivi wakati nisuala la kifo?
Sababu kubwa ni hiii
Kuna thread kama mbili zipo humu ni watu walikata tamaa kabisa yakuishi walikuja wakijieleza na namna gani hawaoni umuhiu wakuendelea kuishi, walikuja kuona kama wanaweza kupata msaada wowote naamini waliona kunatumaini fulani wanaweza kupata,
Mwishowe wote waliweza kusaidiwa vyema hata wakileta mirejesho mizuri kabisa,
sasa huyu ni nani hajihurumii kabisa na anaweza pata ujasiri wakuja hapa kutangazia hapa kwamba anajiua?
kama kweli ameshindwa kabisa kupata msaada na tumaini anapata wapi ujasiri ama akili yakuaga?
Nature can't lie kamwe "Anayejisifia kwa shida aliyonayo nikwamba tayari anauwezo wakuikabili ila hajataka kwa makusudi, maana wasioweza kuzikabili wala hawawezi kuyajua matatizo yao"
Over