Wakuu poleni na majukumu najitahidi kujituma nafanya kazi NGUMU ya bahari ila kila nnnalofanya naona sielewi siwezi eleza mengi ntajitosa usiku huu baharini nimevumilia nimeshindwa alie karibu atapata taarifa ya MTU kujitosa baharini nawatakieni mema
Sent using Jamii Forums mobile app
masihara yenu tanaanzaga kama hivi, kumbe mtu anakunywa vikombe uko... oohoo!
Kijana uaifanye hivyo tafadhali, wewe ni wa thamani sana, karibu tuongee, nimeku PMWakuu poleni na majukumu najitahidi kujituma nafanya kazi NGUMU ya bahari ila kila nnnalofanya naona sielewi siwezi eleza mengi ntajitosa usiku huu baharini nimevumilia nimeshindwa alie karibu atapata taarifa ya MTU kujitosa baharini nawatakieni mema
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ushajitosa mkuu ebu ni pmWakuu poleni na majukumu najitahidi kujituma nafanya kazi NGUMU ya bahari ila kila nnnalofanya naona sielewi siwezi eleza mengi ntajitosa usiku huu baharini nimevumilia nimeshindwa alie karibu atapata taarifa ya MTU kujitosa baharini nawatakieni mema
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sikiliza maisha unayopitia na wengine wanapitia hayo hayo hata tunaokushauri tuna pitia hayo hayo tena pengine magumu ziaidi ya unayopitia jipe moyo jipige pige kifua sema mimi ni mwanaume sitakiwi kukata tamaa wote tunakomaaa ili tutokeeWakuu poleni na majukumu najitahidi kujituma nafanya kazi NGUMU ya bahari ila kila nnnalofanya naona sielewi siwezi eleza mengi ntajitosa usiku huu baharini nimevumilia nimeshindwa alie karibu atapata taarifa ya MTU kujitosa baharini nawatakieni mema
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusichukulie poa sana wakuu mada za aina hii....Acha uoga mkuu,mleta mada hawezi kujiweka baharini kizembe kama unavyodhani
Bora wewe unaweza ukapata hata chombo cha kusafiria mpaka kufikia sehemu ya maji marefu ili kujitoa uhai!Wakuu poleni na majukumu najitahidi kujituma nafanya kazi NGUMU ya bahari ila kila nnnalofanya naona sielewi siwezi eleza mengi ntajitosa usiku huu baharini nimevumilia nimeshindwa alie karibu atapata taarifa ya MTU kujitosa baharini nawatakieni mema
Sent using Jamii Forums mobile app
haha hii chubwi naivutia picha mkuu atavyojiachia kwenye ngalawa yake adi kwenye maji!
Dr halafu mbona mada yetu ile muendelezo unachelewa sure depression ni ugonjwa mbaya sana mi mwenyewe yamenikuta mpaka nilikata tamaa ya kuishi but sikufikia hatua ya kutaka kujiua ila nlikuwa naomba nife anytime ila nashukuru majaribu niliyavuka japo yalinitesa mno leo hii najuhisi kama mtu aliyetoka matopeni maana mi nlikuwa chizi kabisaTusichukulie poa sana wakuu mada za aina hii....
Hii ni dalili ya sonona... na wengi wanaoanza hivi wasipopata support ya kutosha (au hata wakipata), huishia kweli kujimaliza. Nadhani tuna mifano kadhaa humu humu jukwaani.
Hivyo, si vyema sana kuchukulia post hizi kimzaha mzaha.
Joanah