Maisha siyaelewi kabisa kwaherini

Maisha siyaelewi kabisa kwaherini

Usiende baharini bila kutupa nafasi ya kukushauri. Mapema mno kutuaga,unaweza kuandika,unaweza kujieleza,unaweza kusoma na umeandika ukijua tuna tunaloweza kujaribu kufanya. Usijitose. Wengi wetu hatujielewi, tunaendelea tu kila siku.Baki nasi,kesho yaweza kuwa bora kuliko jana na leo.
 
Wakuu poleni na majukumu najitahidi kujituma nafanya kazi NGUMU ya bahari ila kila nnnalofanya naona sielewi siwezi eleza mengi ntajitosa usiku huu baharini nimevumilia nimeshindwa alie karibu atapata taarifa ya MTU kujitosa baharini nawatakieni mema

Sent using Jamii Forums mobile app
USIJIUE .. Nitafute inbox tuongee jinsi naweza kukusaidia. (Am serious)
 
Back
Top Bottom