Maisha ni magumu utadhani nchi iko Vitani

Maisha ni magumu utadhani nchi iko Vitani

Acheni tu kuna ndugu ana karibia kuwa chizi ...watoto ,mke na ndugu wanamuangalia na hana kazi ya maana
Wengi tu wanakufa kwa stress wanaume tumeumbwa mateso huku mke watoto wazazi.Usiombe mke mwenye mdomo na asie na hekima zama hizi za shetani yaani nyumbani moto mtaani moto akusomeki kichwa lazima kiwake moto,pana jamaa alilala mbele kazima simu kaikimbia familia
 
Swali zuri Mkuu
1.ipandishe mishahara ya watumi Wa kutosha sio kujijitetea pesa iko kwenye chungu kimoja hii itasaidia kuingiza pesa kwenye mzunguko japo kidogo
2.ipungunze baadhi ya kodi ambazo sio rafiki kwa wafanyakazi ili wasiendelee funga biashara bora ukusanye kidogo ila kesho utaendelea kukusanya na mkuu aelewe zipo sheria za kodi ni kandamizi ambazo zinawapa mwanya afisa tra baadhi kupiga pesa kama awana akili zifutwe
Benk kuu ikopeshe mabenk ya ndani mikopo kwa rba nafuu ili mabenki yaweze kuwakopesha wananchi pia kwa riba nafuu
4 MH RAIS aweke siasa pembeni achukue watu waliobobea kwenye uchumi bila kujali siasa asuke team mpya ya kumshauri mambo ya uchumi kwa nini mtu kama prof lipumba pamoja na mapungufu yake tusimtumie na wapo wengi wa aina yake tuwatumie ni vyema prof lipumba kuachana na siasa hivyo mzee maghufuli washauri wa uchumi ulionao kwa sasa piga chini suka kambi upya
5 pesa mkuu za makusanyo katika halimashauri zirudishwe kama zamani ili swala la pesa za makusanyo kwenda huko serikali kuu pia zimeadhili huku chini kwa njia moja au nyingine
Milaradi hii mikubwa twende nayo taratibu itaisha na si lazima azimalize yeye mhe katika kipindi chake atapoishia anaefuata atamalizia
Kwa kweli kusema ukweli tukiacha propaganda za wafuasi wa vyama hum maisha mtaani ni magum magum magum sana ila pia pesa imekua ngum kupata ila ukipata elfu kumi ukichange kwisha bora iwe ngum angalau ukipata basi matumizi yake yalingane na nguvu uliotumia Na hapa wachumi wetu ndo mnatakiwa kuumiza vichwa kumshauri mh rais nini kifanyike ili thamani ya pesa ionekane sio mnakaa na cheo tu mchumi umizeni vichwa vinginevyo hamna sababu ya kubaki kwenye nafasi zenu mtumbuliwe
WAZO KUHUSU WAFANYAKAZI MH RAIS usione tabu tanzania tuna vyanzo vingi vya pesa chukua hata mgodi mmoja ingia mkataba na kampuni shart tu ni kuakisha mishahara minono ya tumishi inatoka hapo kwa miaka kumi ata ikiwa ni vyanzo viwili ambavyo vinaweza kukupatia tir 1.5 kwa mwezi watumishi wako utawalipa vizuri na watachapa kazi
Ugumu wa maisha utegemea falsafa za mtawala aliyepo wengine furaha yao ni kuwafanya watu wawe masikini ili wawatawale
 
Hatimaye kesho narudi zangu Perth kuendelea na vibarua vyangu vya kuchunga kondoo.

Hali ya maisha ya Watanzania wenzangu ni ngumu kupindukia. Si mijini wala vijijini pote ni vilio utadhani Taifa liko vitani,watanzania wamekata tamaa na wengi wao wame run crazy baada ya kufilisika Biashara zao na kufukuzwa kazi kwa uonevu eti walifoji vyeti wakati mfukazaji mkuu naye Elimu yake imejaa utata.

Ugumu wa maisha ya Tanzania kwa sasa hauna Tofauti na Burundi na Somalia.

Burundi ukimkosoa Nkurunzinza unapotea Kama ilivyo Tanzania, nimeenda Burundi family nyingi zimepoteza ndugu kwa kuwa wapinzani wa Nkurunzinza.

Hakuna tena pa kushika Tanzania, mzunguko wa pesa umekufa na pesa haina thamani tena. Vijana wamechanganyikiwa kwa ugumu wa maisha huku wakikimbilia CCM ili kusifia wapenda sifa ili wapate kula.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu mimi nina wiki sasa naongea peke yangu tuu nimegundua narun crazy sio kwa mbinyo huu maana hata kidogo kinachopatikana wanabeba kweli serikali tunayo. Nimemaliza deni lao la bodi ya mkopo mwaka Jana mwezi wa 9 eti January hii wamerudisha tena deni kuuliza retention fee kwanini usidate mshahara wenyee hautoshi umemaliza deni lao wanakubandika tena kweli nimeamini ukitaka Mali utazipata shambani
 
Mapito yatapita tu
 
Humu JF kuna watu wanjua kukuza sana mambo sijui kwa lengo gani,ila same same wtu utawakuta wamefurika beach kidimbwi,juliana,tips,waswanu(hapa hata parking inakuwa shida),unakuta wanakula bata kama vle hakuna kufa,wakija hapa JF wanalalamika hao kama wamama wajawazito.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni wapiga dili wa awamu hii ndo unakutana nao huko ila 98% wanalimia meno kwa vitendo kama ilivotabiriwa na mtukufu malaika mkuu anaeabudiwa na kutukuzwa na wanalumumba wote
 
Kweli mkuu ila maumivu yake na mzunguko wa familia zetu za kimasikini hizi changamoto ni kubwa sana
Ataingia muislam wao ushugghulika na maendeleo ya watu tuvumilie tu hawa wenzetu maisha lzm yawe magumu linganisha historia kuanzia awamu ya ruksa na awamu ya maisha bora kwa kila mtz
 
nachukia mtu kufananisha USA na Tanzagiza yaan USA ina miaka zaid ya buku ya maendeleo(viwanda) afu sisi ndo kwanza tupo kwenye process za maendeleo plus UHURU HOLDAY afu TUNAZIFANANISHA embu weken comparison hata na kenya basi angalau imake sense....alisikika baharia mmoja akizungumza
Wewe huna ndoto za kufikia angalau hata robo tu ya mafanikio ya USA katika nyanja yeyote ile? Vijana wa CCM hovyo sana.
 
Nchi iko vitani ndiyo. Rais katangaza kuwa nchi imeingia vitani. Vita ya kiuchumi

Back
Top Bottom