maisha mapya!

maisha mapya!

Hiyo ni kweli mdogo wangu don stay idle, Ukizingatia kuwa wewe ni Ke majaribu ni mengi chamsingi ni kujipanga na hakika utayashinda majaribu. Chochote utakacho kabiliana nacho chukulia kama changamoto kwani kumaliza chuo na kuja mtaani haina maana kwamba ndio umefaulu kupambana na maisha. Mtaani kuna walimu wa ualimu, waliohitimu wenye shahada na stashahada na wasio na shahada wala stashahada. Changamoto za maisha zipo ila usiziruhusu zipelekee ukaingia majaribuni. Hakikisha unazingatia kutimiza ndoto yako no matter how long will it take. Your the captain of your own ship don make it sink! We still need you in deed. Take care.

mkuu mependa sana maneno yako ubarikiwe sana..metoka mbali na meface challenges nyingi..im strong and ready to face any challenge ambayo ntapitia..i will work very hard na kwa msaada WA Mungu ntatimiza ndoto zangu.cheeerz
 
Jikaze utashinda tu, cha msingi usiwe idle sana, kama vipi saidia kazi ya ndugu yako hata bila ujira, I did that way.. on those days, when I was on the same situation as yours..

aksante mkuu..im praying nipate pa kujishkiza akati naangalia ustaarabu mwingine
 
mm najikip bizy na muvi na ww tafuta cha kijikip bizy as you search 4 a job
 
Marketing kaz ziko esp kwa women...tena employers wengi wa io kitu wako Dar rather than mikoani
 
Zama gym sana najuwa aftter hapo mwili umechoka hutokuwa na muda wa mambo ya kijinga
 
Marketing kaz ziko esp kwa women...tena employers wengi wa io kitu wako Dar rather than mikoani

ndo nazitafuta hizo mpendwa..hata internship..sitak kukaa bila kazi..ukizisikia nistue mkuu wangu
 
Zama gym sana najuwa aftter hapo mwili umechoka hutokuwa na muda wa mambo ya kijinga

brilliant idea..lakini nako so kuna malipo?the teh m tryn as much as possible kupunguza expenses
 
brilliant idea..lakini nako so kuna malipo?the teh m tryn as much as possible kupunguza expenses

Sana mkuu kila kitu kinahitaji gharama kaka si unajuwa tena, so ni wewe mwenyewe tu....
 
nlivomaliza six nlikua mdogo so nlikua Tu nyumbani..sijamaliza udsm vyuo vingi tayari wamegraduate

udom......... karibu uraian kumbuka kama unataka mali utaipata shambani

maana elimu ni ufunguo ila kumbuka pesa ndio kitasa
 
udom......... karibu uraian kumbuka kama unataka mali utaipata shambani

maana elimu ni ufunguo ila kumbuka pesa ndio kitasa

Word mkuu!na kitasa hadi kifunguke ni shughuli..lazima kustrugle
 
Ajira hio apo..kaz kwako.... http://www.zoomtanzania.com/listingdetail?ListingID=58082
 
ni kweli mkuu.ntafanya mazoez ya kawaida Tu..btw mi ni mdada

Duu kumbe wewe ni mdada samahani sana sikuwa najuwa nikajuwa ni mkaka ndio maana nikakupa huo ushauri, je so far ushauri ulioupata umefaidika nao??
 
Duu kumbe wewe ni mdada samahani sana sikuwa najuwa nikajuwa ni mkaka ndio maana nikakupa huo ushauri, je so far ushauri ulioupata umefaidika nao??

hahahah haina shida mkuu wangu..sure mepata ushauri mzuri WA kujenga.be blessed
 
daah kweli mwanzo mgumu mkuu..hapa natafuta sehemu nifanye kama intern..lakini Mungu ni mwema as mwisho WA siku kila mtu anapata rizki yake
Networking mama... Ni ngumu sana kupata kazi kwa kutegemea application. Asilimia 80 ya ajira duniani hutolewa kwa networking... Act smart.
 
Networking mama... Ni ngumu sana kupata kazi kwa kutegemea application. Asilimia 80 ya ajira duniani hutolewa kwa networking... Act smart.

Mmm ndugu yangu tusio na ndugu n jamaa maboss tunafanyaje?
 
Mmm ndugu yangu tusio na ndugu n jamaa maboss tunafanyaje?
Networking sio lazima uwe na ndugu boss... Kwa bahati mbaya vyuo vingi tz hawafundishi mambo ya networking. Kama una mda ingia kwenye net, youtube utapata lecture nyingi sana za networking. Ukishindwa kuzipata nambie nikupe links...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom