daisyvicky
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 343
- 198
- Thread starter
- #41
Ni lazima upishe na wengine wamalize mwaya.....saka salari kwa nguvu zote maisha magumu
kweli mwaya..l do that..nashukuru ee
Ni lazima upishe na wengine wamalize mwaya.....saka salari kwa nguvu zote maisha magumu
ninzuri sana usiogope, tena kipindi hiki upo home.... ah ah ah!
Mtafute mshika pembe wako wa chuo mpoteze muda kwa kupigana mikasi
Karibukweli mwaya..l do that..nashukuru ee
Karibu
Hahahahahaha..alooo ya bum, hamna tena jamani...lolsMmm magumu kweli wapendwa..memiss boom already..teh teh
Mmm magumu kweli wapendwa..memiss boom already..teh teh
Hahahahahaha..alooo ya bum, hamna tena jamani...lols
teh teh! pole mwaya
hahaha kumbe ndugu Yao?sikujua naombeni basi tempo ya u sales lady
Hahahahahaha..alooo ya bum, hamna tena jamani...lols
Hahah...tunatafuta tester, utaweza?
Bum lilikua lakata hata kabla ya kukabidhiwa...mipango mingiiii
Njo nikupe kampani
Hongera kwa kumaliza wacha 2 hyo kitu . Nililazmka kufany kaz hotelini baada ya kumaliza chuo na kukaa nyumbani muda mrefu . Hapo tafuta hata ndug mwenye duka uende ukashnde huko utajifunza 1 and 2 kuliko kukaa hapo home