Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,278
- 108,286
Ninacho cha Obamaland...kimeshushwa juzi na modege yao ya Jeshi
ile ya brasilian unayo?
ile ya brasilian unayo?
Kama unapenda michezo au mazoezi basi ni muda mzuri wa kufanya hivyo...
Unaweza ukaanza routines za gym au jogging etc...
Ungekuwa unajikeep busy usingejihisi mpweke then.
Ninacho cha Obamaland...kimeshushwa juzi na modege yao ya Jeshi
kaa kitaa usugue benchi hadi chupi ichanike ...chezeea KIKWETE ww.....Maisha bora Oyeee
Komaa tu ndg,binafsi nmelmic ghafla life la kuwa busy but no way out kikubwa ni kujshughulsha na kuepuka kuwa idle.
Yup mkuu very possible...unapokuwa huna cha kufanya lolote laweza katiza kunako fikra...
Mmm. Sure na vile nlikua nataka kupunguza weight kidogo nahisi hii itanifaa ..ntaanza kufanya joggng jioni everyday
mkuu hiyo ndo inatoa stimu zaidi or??
Ninacho cha Obamaland...kimeshushwa juzi na modege yao ya Jeshi
eeee mkuu be careful..hawachelew kukuchkua ukatoe maelezo zaidi..lol
hiyo ni ya ukweli haswaaa, na haina madhara kama ile ya pakistan, pia hii ni rahisi hata kuacha, sema ni gharama sana mkuu, na ndio hata watu wazito ndio wanaitumia hiyo
U'll surely be doin gud 2 yaself...
Hahah...hawawezi maana mie ndio Mkemia mkuu wa hiyo makitu
Ni lazima upishe na wengine wamalize mwaya.....saka salari kwa nguvu zote maisha magumuaksante mwaya..ni raha kweli japo meshamiss shule already
hahaha aksante kwa maelezo mazurii mkuu..uzuri mi hizo vitu walaaaaaaa
Ni lazima upishe na wengine wamalize mwaya.....saka salari kwa nguvu zote maisha magumu