daisyvicky
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 343
- 198
- Thread starter
- #101
kumbe ni binti njoo ufanye intern kwangu ntakulipa utakacho.
hehe mkuu kwani mkaka haiwezi hiyo internship?
kumbe ni binti njoo ufanye intern kwangu ntakulipa utakacho.
Networking sio lazima uwe na ndugu boss... Kwa bahati mbaya vyuo vingi tz hawafundishi mambo ya networking. Kama una mda ingia kwenye net, youtube utapata lecture nyingi sana za networking. Ukishindwa kuzipata nambie nikupe links...
hawezi...
suala ni malipo na usiwe idol ni pm
maisha ya tanzania ukiwaza sana utajiuwa
mbona hujiamini?
Duu kumbe wewe ni mdada samahani sana sikuwa najuwa nikajuwa ni mkaka ndio maana nikakupa huo ushauri, je so far ushauri ulioupata umefaidika nao??
mkuu mependa sana maneno yako ubarikiwe sana..metoka mbali na meface challenges nyingi..im strong and ready to face any challenge ambayo ntapitia..i will work very hard na kwa msaada WA Mungu ntatimiza ndoto zangu.cheeerz
Nimefurahi sana kusikia kwamba umeshaface challenges nyingi japo zinatofautiana. Hapo utakuwa umepata picha fulani kuhusu challenges in life. Just be strong when you see or face any thing wherever your. Decide what you want to be and don't settle for anything less. Believe that you can live your dream, and then work towards the goal, and it will happen. The worst mistake you ca make is when you give up on yourself " Ni bora kufanya shughuli za kujitolea katika jamii au taasisi za kidini kuliko kukubali kazi ya kipato kikubwa kwa rushwa ya ngono au rushwa ya aina yeyote ile. Pia ni vyema sasa kuanza kujikita katika shughuli za ujasiriamali kwa lengo la kujiajiri mwenyewe na baadae kuajiri wengine. Japo itakuwa mapema sana unaweza kupata kazi ya kuajiriwa ili ikujengee uzoefu lakini baadae ni vyema ukajiajiri. Jaribu kusoma Autobiography za watu mashuhuri duniani waliofanikiwa ili upate mwongozo na dira jinsi ya kufikia mafanikio. Kuwa na lengo na usiache kulipigania ili litimie. Gharama ya lengo ni ndogo tu, maombi, busara, hekima, ubunifu na usisite kuuliza pale unpoona kuna haja ya kufanya hivyo. Tafuta kitabu kinachoitwa GIFTED HANDS cha BEN CASSON, THINK BIG na THE BIG PICTURE cha kwake pia. Utajifunza ni jjinsi gani maisha ya mwanadamu yanaweza kubadilika kutoka hali ya chini kabisa na kuwa mtu mashuhuri sana. Ukafikia malengo na kuweza kusaidia jamii sio tu iliyokuzunguka bali hata kila pembe ya dunia. Usikate tamaa wakati ndio huu. Moja ya maneno Ben Casson anyosema katika kitabu chake cha THE BIG PICTURE anasema "A victim walking through the sand looks down and see dirt, a victor see the ingredients for building a castle"