maisha mapya!

maisha mapya!

Subiri miezi 3 ipite, hata hizo simu mnazipigiana zitakata. Hakuna pesa, hakuna la kuongea.

Anyway, swala la msingi ni "kuamini" kuwa umeshamaliza na hakuna njia nyingine.

Kuhusu marafiki.
Si kwamba hukuwa na marafiki kabla ya chuo, walikuwepo. Na si kwamba marafiki wa chuo ni bora zaidi ya wale uliokuwa nao kabla ya kwenda chuo ( wale uliokuwa nao, uliocheza nao utotoni).

Unapaswa kuamini kuwa maisha ni "dynamic" na si "static". Hivyo mabadiliko yoyote yanayotokea na yatakayotokea elewa ni sehemu ya maisha.
 
uuh ni kweli mkuu..walikuepo marafiki wengi wamepita wanaoendelea kubaki ni wachache..sure maisha ni dynamic na ni lazima kuchange ili kuendana nayo..aksante
 
mtu kama hujawahi kuwa kiongozi katu huwezi miss shule kwa wiki kadhaa labda after years hivi ndio utaanza kuimiss..

mi sikua kiongoz..basi tuu me miss mazingira na marafiki plus ubize
 
Week iliyopita nimeanza rasmi maisha mapya baada ya kumaliza shule..ah ndani ya week moja Tu nayaona magumuu.
Nahisi kua soo lonely,namiss marafiki nliosoma nap japo twawasiliana kwa simu
Kuna mda naona kama sijielewii..sijui hata najiskiaje..
. Wakuu wenye busara napenda kusikia namna mlivocope na hiki kipindi cha transition toka uanafunzi to ufanyakazi na especially wakati mnatafuta kazi.regards!
Ni kipindi kigumu sana, unaweza hata kujiuliza mbona huoni faida ya kusoma!! unatakiwa upumzishe akili kidogo, angalia movies kama ni mpenzi nazo, soma soma novel uwe busy kidogo, nenda viwanja vya michezo uweke akili sawa, huku ukiomba kazi totauti tofauti....
 
uh ni kweli mkuu..but ubaya vitu nlivokua napenda like movies mevichokaa but ntajitahidi kucope na maisha haya mapya
 
uh ni kweli mkuu..but ubaya vitu nlivokua napenda like movies mevichokaa but ntajitahidi kucope na maisha haya mapya
Jikaze utashinda tu, cha msingi usiwe idle sana, kama vipi saidia kazi ya ndugu yako hata bila ujira, I did that way.. on those days, when I was on the same situation as yours..
 
daah kweli mwanzo mgumu mkuu..hapa natafuta sehemu nifanye kama intern..lakini Mungu ni mwema as mwisho WA siku kila mtu anapata rizki yake

Hiyo ni kweli mdogo wangu don stay idle, Ukizingatia kuwa wewe ni Ke majaribu ni mengi chamsingi ni kujipanga na hakika utayashinda majaribu. Chochote utakacho kabiliana nacho chukulia kama changamoto kwani kumaliza chuo na kuja mtaani haina maana kwamba ndio umefaulu kupambana na maisha. Mtaani kuna walimu wa ualimu, waliohitimu wenye shahada na stashahada na wasio na shahada wala stashahada. Changamoto za maisha zipo ila usiziruhusu zipelekee ukaingia majaribuni. Hakikisha unazingatia kutimiza ndoto yako no matter how long will it take. Your the captain of your own ship don make it sink! We still need you in deed. Take care.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom