Astrid_Lulanga 8223
New Member
- May 30, 2026
- 1
- 8
Alikuwa sahihiKwasasa kila mtu na malengo yake zaidi kuhusu familia na mtoto ni wazo ambalo halipo kichwani mfano 2pac amewahi kusema hawezi kualeta mtoto kwenye dunia iliyojaa unafiki na kila dhoruba
Hahahaha maninerNdoa ni upuuzi mtupu sema ni vile sina hela nipo kupoteza muda nikitajirika ndoa haina maana tena
Leo umeongea cha maana tangu ujiunge jfπNdoa ni upuuzi mtupu sema ni vile sina hela nipo kupoteza muda nikitajirika ndoa haina maana tena
Vp na mama ake angekuwa na mawazo hayo, tungemjua huyo 2pac?Kwasasa kila mtu na malengo yake zaidi kuhusu familia na mtoto ni wazo ambalo halipo kichwani mfano 2pac amewahi kusema hawezi kualeta mtoto kwenye dunia iliyojaa unafiki na kila dhoruba
Nukuu:mfano 2pac amewahi
Hayo maswali huwezi ila si unaona dude baya alimvyomwambia mwanae kua alikua hana nia ya kumleta ila ilitokea tu kampiga mjegeje mama ake katika treni ndo kajibebeshaVp na mama ake angekuwa na mawazo hayo, tungemjua huyo 2pac?
Anyway, angeanza kwa kumuuliza mama ake Kwann alimleta kwenye dunia yenye kila dhoruba.
Kwenye treni πHayo maswali huwezi ila si unaona dude baya alimvyomwambia mwanae kua alikua hana nia ya kumleta ila ilitokea tu kampiga mjegeje mama ake katika treni ndo kajibebesha
Ilisambaa sana ile stori itafuteKwenye treni π
Hakika yaanHahahaha maniner
Nakujua tu hunaga jema na mimi mwanamke usiye na mume wewe πLeo umeongea cha maana tangu ujiunge jfπ
Nakusubiri ukuekue dogo! Vipi ushaanza kuota vindefu au bado?Nakujua tu hunaga jema na mimi mwanamke usiye na mume wewe π
Namshukuru mungu nimekalibia kidogo hii fursa haiwezi kunipita πNakusubiri ukuekue dogo! Vipi ushaanza kuota vindefu au bado?
Acha woga tafuta mke oaNdoa ni upuuzi mtupu sema ni vile sina hela nipo kupoteza muda nikitajirika ndoa haina maana tena