Maisha baada ya kifo

Maisha baada ya kifo

Kwa iyo mkuu ni Mungu yupi atakaetoa hukumu
(A)Mungu anayeabudiwa na wakristo
(B)" " " " na waislam
(C)" " " " na ( wahindu, wachina n.k)

Yupi atakayetoa HUKUMU siku ya MWISHO???
Yule aliyeumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo.
 
Kwa iyo mkuu ni Mungu yupi atakaetoa hukumu
(A)Mungu anayeabudiwa na wakristo
(B)" " " " na waislam
(C)" " " " na ( wahindu, wachina n.k)

Yupi atakayetoa HUKUMU siku ya MWISHO???
Yule apasae kuabudiwa kwa haki na asie na mshirika.
 
Kaka nimesoma andiko hili,nina maswali kadhaa ila na anza na haya :

1. Kaka andiko lako limegubikwa na tamko 'fulani' kwa wingi mno. Hii inaonyesha hiki unachokiongelea unakizungumza bila ya elimu. Ili ukosoe mawazo yangu haya,naomba unipe majibu ya hiyo 'fulani' kila ilipo tumika. Yaani kwanini hiyo 'fulani' unashindwa kuiweka wazi ? au kwanini huiweki wazi ?

2. Vipi wale wanaokufa wakiwa hawana utambuzi wowote ?

3. Kaka kwanini mnapenda kuzungumzia mambo msio na elimu huku mkidhani mna elimu nayo. Inakuwaje unasema kifo hakuna hali ya kuwa unakizungumzia kifo ? Je uhisi kama umeamua kuwa mpotoshaji ?

Kitendo ulicho kizungumzia roho kutengana na mwili hicho ndio KIFO chenyewe.

4. Ni yapi marejeo yako juu ya haya uliyoyaandika ?

5. Je unajua kama kifo nacho ni kiumbe ?

Ukijibu maswali yangu,ninakuja kuendelea hapa nilipo ishia.
be patient nikirejea nitakujibu
 
Kaka naomba uniambie ni jinsi gani kila binadamu anavyo endelea kuishi anazidi kujua mambo katika ulimwengu huu ? Yaani kwa namna gani ?
kuna kitu kinaitwa shifting awareness ya universal concious ambaye inaenda na time grid inayoendelea kuwa karibu na dunia yetu..

kuna kitabu kimoja ngoja nikitafute nikupatie..

kinajaribu kuelezea shifting time frame pamoja na human awareness katika mazingira yanayomzunguka lakini human mind operation under machine guided inazidi kuwa kubwa...

Yani hapa kinyume chake ni tofauti na ulivyamanisha wew...

Yani ni kwamba mwanadamu anazidi kupata uelewa wa jinsi dunia inavyokwenda ila kwa msaada wa mashine...

Ni kitabu flani hivi kinaongela time grid shifting...

inaelezea uhusiano uliopo kati ya universal energy grid ambayo inasynchronize na human mind kwa kasi sana..

Swali linabaki pale pale kuwa human conciousness and awareness bado zipo guided na machine ...

manake nini ..uelewa wa mwanadamu unategemea zaidi artificial Intelligence.

Sijui kama umenielewa...

Yani ubongo wa mwanadamu kuoperate wenyewe kama wenyewe imekuwa ngumu snaa ..
 
ngoja nakitafuta hiki kitabu nikupatie walau upitie...huenda ukaongeza kitu juu ya shifting knowlege inayokimbia kwa kasi ..

ukweli wa mambo juu ya space time unazidi kuwekwa wazi ..

lakini paradoxy inabaki pale pale kuwa universal knowlege ipo controlled na inatolewa in small amount kadri siku zinavozid kwenda..
PhotoGrid_1537956432748.jpg
 
Hiyo machine ikoje unaeza kuielezea ?

Kaka natamani unijibu maswali yangu lakini naona kwa mtindo wako unao uendea hutaweza kunijibu.

Kaka nimekuuliza swali dogo sana ambalo jibu lake kadhalika ni fupi na lenye kueleweka.

Usipoweza kuweka wazi swali nililo kuuliza nikija,nakujibu mimi sasa.

Tukiamua kusoma kaka mkubwa tusome kweli tuelewe.
 
View attachment 878389
Huu msamiati ndio huwa una wazuzua sana na upambaji wa maneno kwa mfano wake.

Haya mambo ni marahisi sana,endapo tukiamua kuweka kila kitu mahala pake.
 
labda nikulize kitu,unaamini nini juu ya kifo?? what do you believe on life after death...??

Hebu tuanze hapo kwanza make inaonekana concept wanazotoa watu unazipinga kwa nguvu zote...

what is your line of belief...??
 
Huu msamiati ndio huwa una wazuzua sana na upambaji wa maneno kwa mfano wake.

Haya mambo ni marahisi sana,endapo tukiamua kuweka kila kitu mahala pake.
ili twende sawa naomba nifahamu imani yako juu ya maisha baada ya kufa
 
Umeuliza swali zuri sana bro. Mimi imani yangu ni Uislamu,na nina amini kuna maisha baada ya kifo.

Naposema maisha baada ya kufa ni kama asemavyo Rasul amani ya Allah iwe juu yake.

Anasema : " Makaburi ni miongoni mwa mabustani ya peponi kwa yule mwema na ni miongoni mwa mashimo ya motoni kwa waovu"

Niopo,nitaendelea hapa nilipoishia.....
 
ohoooh .sawa...sasa hayo maisha baada ya kifo unayadescribe vipi na usemi au maelezo yanayotolewa hapo juu kuwa ukifa only your soul shifts to another plane ( makazi) of reality..

How to you differentiate between the two ,one of yours and another on mine..??
 
Kaka nakuanzia mbali kidogo. Akili haiwezi kuelezea maisha baada ya kifo bila msaada wa ufunuo. Huu ndio ukweli ambao nyinyi mnajaribu kuuficha,kwa majaribio yenu hayo ndio maana maelezo yenu hayana mashiko na mkiulizwa au ukiulizwa swali kinyume na mnavyofikiria lazima mpoteane.

Pili,maisha baada yakifo yako wazi. Kwa imani yangu inaniambia hivi. Baada ya kuzikwa na watu kutawanyika makaburini roho yako inarudishwa na wanakujs malaika kukuuliza maswali kadhaa juu ya imani yako uliyokuwa nayo hapa duniani.

Baada ya hapo,maisha yanaendelea,kwa wale waovu,Allah atukinge na adhabu za kaburi watakuwa wanatamani kiyama kisimame haraka ili wahukumiwe na wale wema itakua kinyume chake. Kwa ufupi hali iko hivyo.

Maelezo mepesi kama haya nyinyi hamuwezi kuelezea sababu maarifa yenu yamekomea katika dhana,ubahatishaji,akili pekee na milango ya fahamu nje ya hivyo hamjui lolote.

Nipo..... . ....
 
Si rahisi sana mawazo kama yako kueleweka kwa urahisi na watu wa kidini

Utajichosha bure
Sio kweli kwani akili salama haikatai ukweli hata siku moja......

Tatizo maelezo yenu hayaja shikana,mkiulizwa maswali kulingana na yale mnayoyaelezea mnashindwa kuyajibu.

Sasa kwanini mnaendelea kuyashikilia mawazo ambayo hamuwezi kuyatetea haya ndio maajabu niyaonayo kwenu.

Nipo........
 
Kaka nakuanzia mbali kidogo. Akili haiwezi kuelezea maisha baada ya kifo bila msaada wa ufunuo. Huu ndio ukweli ambao nyinyi mnajaribu kuuficha,kwa majaribio yenu hayo ndio maana maelezo yenu hayana mashiko na mkiulizwa au ukiulizwa swali kinyume na mnavyofikiria lazima mpoteane.

Pili,maisha baada yakifo yako wazi. Kwa imani yangu inaniambia hivi. Baada ya kuzikwa na watu kutawanyika makaburini roho yako inarudishwa na wanakujs malaika kukuuliza maswali kadhaa juu ya imani yako uliyokuwa nayo hapa duniani.

Baada ya hapo,maisha yanaendelea,kwa wale waovu,Allah atukinge na adhabu za kaburi watakuwa wanatamani kiyama kisimame haraka ili wahukumiwe na wale wema itakua kinyume chake. Kwa ufupi hali iko hivyo.

Maelezo mepesi kama haya nyinyi hamuwezi kuelezea sababu maarifa yenu yamekomea katika dhana,ubahatishaji,akili pekee na milango ya fahamu nje ya hivyo hamjui lolote.

Nipo..... . ....
sasa mkuu,kwa hiyo unataka kutuambia kuwa imani yako,the way you believe ndo uko right au..??

Unataka kutuaminisha kuwa umefunuliwa wewe tu...??
Belief of contradiction hiyo tunaita..
 
Kak usiumishe kichwa,kama unaweza kusoa au dhoofisha imani yangu.

Allah aliye juu anasema "Leteni hoja zenu kama nyinyi mnasema ukweli...."

Naimani umenielewa....

Mathalani mimi maelezo yako uliyoyatoa hapo kabla nina uwezo wa kuyadhoofisha bali ni ya uongo. Sasa wewe je unaweza kudhoofisha haya niliyoyahudhurisha kwako ?

Hatutaki tupoteze muda. Mimi hayo niliyokunukilia nina uhakika hali wa shani yako sahihi.

Sasa wewe kama unahisi ni ya uyongo,rejea aya hapo juu.

Nipo......
 
sasa mkuu,kwa hiyo unataka kutuambia kuwa imani yako,the way you believe ndo uko right au..??

Unataka kutuaminisha kuwa umefunuliwa wewe tu...??
Belief of contradiction hiyo tunaita..
Huu ufahamu kuhusu maisha ya kaburini siko nao mimi tu,bali wako nao waislamu wote ulimwenguni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom