Maisha baada ya kifo

1.Mungu ameziweka sheria zake mioyoni mwa watu na ndo maana watu wanaweza kuhukumu.kwa hivyo hata hai mababu wa zamani sio kwamba hawakujua lengo la MUNGU katika maisha.walijua Sana wameletwa hapa Ili kujaribiwa katika shida na raha.

God is wise and knowing.he Will inform disbelieve what they used to corrupt.na hio siku haiko mbali.ni siku yako ya kufa.utaletwa Moto kupima matendo yako.

Swali la pili jibu Ni kwamba Mungu amempa mwanadamu Uhuru kamili wa kuamua katika njia mbili na mbaya.ni Kama tuseme Mungu ameingia mkataba na uzao wa watu kwamba atakuacha kwa muda uamue wewe unataka uwe kundi gani.ila kwake yeye lazima turejee wote.

Unaweza kuelezea maana ya KUAMUA ?


Mk54
 
Roho itakuwa wapi
sasa hapo kwenye roho kwasababu najua mwili utazikwa na utaoza vip kuhusu roho itakuwa wap
Ukisha sema wapi teyari unamaanisha occupation of space, kushika nafasi fulani mahali fulani kwa wakati husika. Muda na Nafasi ni dimension mbili katika tambuzi ya akili yako, uko wapi? ni lini? au saa ngapi? zinaitwa tambuzi za kimaumbile au kimwili yaani forms and objects. Ukifa hizi tambuzi zinatoweka unabaki kuwa Roho na hii ina exist beyond forms, objects and formlessness (thoughts) ni state of conciousness, ni hali ya kuwa (To be) mfano wa kuwa ni kama unakuwa ndotoni, ni sub conciousness, upo mwilini but is higher level of conciousness ambayo akili ina play role kubwa pia, lakini pia unakuwa kwenye deep sleep haifikiwa na akili. Ziko level kama saba zinazoweza fikiwa na binadamu kama astra, causer .n.k. Ukiondoa uwepo wa space na muda kwenye kujitambua unakuwa at the moment where it hold the beginning and the End of the time and space. Ni sawa na kuwa everywhere any time. Na huko ndio roho yako imekuwaga na haita achakuwaga mpaka milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar wadau !!!

Nchi ndio kwanza maji yapo jikon tunasubiria mama ayaipue watu wasafoshwe hii ni style mpya kabisa achana na ile ya kupiga pasi nchi inyooke maana dobi ashakwenda

Ok tuache bra bra swali langu kuu ni langu kuu ni wapi alipo jiwe sasa je anaongoza malaika km lile ombi lake limepokelewa au ndio kuna kesi uko alipo kwa kujikweza akati alie juu anaoma mpaka anachofikiri najua apo majibiu mengi lkn kwangu mm naamin hamna maoshaa baada ya kifo

Jiwe kwa sasa ni mchanga
 
Ukifa ndo habari yako imeishia hapo ni mwendo wa kuliwa kimasihara na mchwa huko mavumbini
 
Back
Top Bottom