Rodyizzy
Senior Member
- May 4, 2013
- 185
- 136
- Thread starter
- #21
asante kwa kunirekebisha ila swali bado lipo pale pale MUNGU wetu anajua kuwa yupi ataenda motoni na yupi mbinguni??na kama anajua kwanini iwepo hukumu na kama hajui inamaana kuna vitu havijuiSasa maisha gani na huku umekufa?? Critical thinking ulitakiwa useme baada ya kufa nini hufuatia, maana ya maisha ni kuwa kitu/ mtu yu hai sasa wewe umesema baada ya kufa ukimanisha hamna uhai/maisha sasa hayo maisha/uhai wa maiti unatoka wapi?
Kidini ni kuwa kifo/uhai ni vitu vya duniani lakini ukifa wafuasi wa imani moja au nyingi uamini roho ambayo haihalisiki uenda aither mbinguni au motoni ambapo pia ni vitu kiimani kama ambayo roho siyo halisi pia huwezi kuita ina maisha/uhai hivyo neno UZIMA WA MILELE au JEHANAM hutumika kumanisha hali ya uungu/HALI YA UMUNGU ama Ushetani/HALI USHETANI/MATESO.