Maigizo ya Magufuli na timu yake Chato

Maigizo ya Magufuli na timu yake Chato

The 'camouflagers'.

Salute to the Dep.

-Kaveli-
 
Tabutupu kijiwe changu cha kahawa hicho unavyosema sio ukweli halafu usituchukulie wa vijijini ni pahala pa mabirika tu sikuhizi tunapimiwa kwenye kichupa kama hicho jero tu iwe tangawizi, dawa, kahawa ama ile ya kwenu mjini alkasusuru sijui.
1. Kahawa na chai ya tangawizi wametoka nayo sijui Dodoma.

2. Anao kunywa nao ametoka nao alikotoka hadi wamesahau kubadili tshirt ikabidi avae ndani nje.

3. Chupa ya chai iliyo tumika siyo ya kitaa . Kitaa wana mabirika yao machafu...

Wasaidizi wa Rais hampo makini kabisa kucheza hizi muvie. Ongezeni ujuzi .View attachment 1402427

Sent using Jamii Forums mobile app

Aliyekuambia chato hatuna chupa hizo ni nani?😡😡😡😡😡😡😡😡!
 
eti oh usafi wao na mazingira tofauti kile kijiwe hakika kimestaarabika

don't judge the place you don't know
 
1. Kahawa na chai ya tangawizi wametoka nayo sijui Dodoma.

2. Anao kunywa nao ametoka nao alikotoka hadi wamesahau kubadili tshirt ikabidi avae ndani nje.

3. Chupa ya chai iliyo tumika siyo ya kitaa . Kitaa wana mabirika yao machafu...

Wasaidizi wa Rais hampo makini kabisa kucheza hizi muvie. Ongezeni ujuzi .View attachment 1402427

Sent using Jamii Forums mobile app
It's the content that counts mzee baba acha wivu wa wamama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Kahawa na chai ya tangawizi wametoka nayo sijui Dodoma.

2. Anao kunywa nao ametoka nao alikotoka hadi wamesahau kubadili tshirt ikabidi avae ndani nje.

3. Chupa ya chai iliyo tumika siyo ya kitaa . Kitaa wana mabirika yao machafu...

Wasaidizi wa Rais hampo makini kabisa kucheza hizi muvie. Ongezeni ujuzi .View attachment 1402427

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hapa Chato tumeshapokea marais wa nchi zaidi ya wawili afu tukose vichupa vya chai na maji hivyo! We umeshikiwa akili au? Kuna watu vilaza wa kufikiria mpaka inakatisha tamaa!
 
1. Kahawa na chai ya tangawizi wametoka nayo sijui Dodoma.

2. Anao kunywa nao ametoka nao alikotoka hadi wamesahau kubadili tshirt ikabidi avae ndani nje.

3. Chupa ya chai iliyo tumika siyo ya kitaa . Kitaa wana mabirika yao machafu...

Wasaidizi wa Rais hampo makini kabisa kucheza hizi muvie. Ongezeni ujuzi .View attachment 1402427

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo hageuza tsheti ili aonekane wa kitaa?
 
WEWE ULIYEPOST UTAPATA TABU KAMA JINA LAKO LILIVYO RAIS ANAIGIZA EEEEE
 
1. Kahawa na chai ya tangawizi wametoka nayo sijui Dodoma.

2. Anao kunywa nao ametoka nao alikotoka hadi wamesahau kubadili tshirt ikabidi avae ndani nje.

3. Chupa ya chai iliyo tumika siyo ya kitaa . Kitaa wana mabirika yao machafu...

Wasaidizi wa Rais hampo makini kabisa kucheza hizi muvie. Ongezeni ujuzi .View attachment 1402427

Sent using Jamii Forums mobile app
CHADEMA mnateseka sana[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using COVID-19
 
Back
Top Bottom