My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,603
- 11,883
Yoyote Yule ambae sio raisi ni MwananchiKwahiyo huyo sio mwananchi? Mwananchi ni nani?
Yoyote Yule ambae sio raisi ni MwananchiKwahiyo huyo sio mwananchi? Mwananchi ni nani?
Sasa wanaigiza hivyo kwa faida gani ?Hivi kweli mlitegemea Raisi wa nchi na Amiri jeshi akanywe kahawa hivi hivi?Hivi tunajua kuwa kuugua kwa Raisi ni jambo ambalo linaweza kuangusha uchumi wa nchi?
Hata hao kina Obama tunaowaona wakienda mahali na kuchanganyika si kienyeji kama tunavyodhani.Rais ni mtu mkubwa sana na hatuna haja ya kupekua vitu vidogo vidogo.
Wanatufanya watoto wadogoEti chato kahawa kikombe inauzwa tsh 500. Uongo mwingine wa kitoto sana
Wasiojulikana ni wananchi piaYoyote Yule ambae sio raisi ni Mwananchi
Waweza kuta anajua kwa mtindo ule wa fundi wa joho LA mfalme. Kwamba mpaka mtoto apayuke 'mfalme yuko uchi' ndio anajua kuwa fundi kamuingiza mkenge kumbe hakuna cha joho wala deraKwani yeye hajui hayo mambo mkuu ?
Kwani mkataba wako wa kupata buku 7 kuna kipengele kwamba lazima kila siku umtaje Mbowe?Mbowe hawezi akafanya kitu kama hicho, hivyo usiishie kubeza tu mara nyingine uwe unapongeza.
Sasa kwanini wanaigiza? Si wakarekodi bongo movie?Hivi kweli mlitegemea Raisi wa nchi na Amiri jeshi akanywe kahawa hivi hivi?Hivi tunajua kuwa kuugua kwa Raisi ni jambo ambalo linaweza kuangusha uchumi wa nchi?
Hata hao kina Obama tunaowaona wakienda mahali na kuchanganyika si kienyeji kama tunavyodhani.Rais ni mtu mkubwa sana na hatuna haja ya kupekua vitu vidogo vidogo.
Na ndiyo maana Raisi haachi kusema jinsi ilivyongumu kazi ya Urais, kama tu mtu unakunywa gahawa bado inakuwa mjadala!!! Basi, tushajua kumbe kinachomfanya aseme hivyo!!!
Asiongee, bado ni mjadala, akila peupe Napo ni shida, alienda kwao kuwaona wa nyumbani mwake Napo taabu, hivi haya mambo yapo Hadi huko majuu ama ni hapa tu kwetu, mliosafiri safiri huko tuambieni, tunaigaa!! Au
Tatizo siyo kunywa kahawa au kula Kashata, hivi hii ni habari ya kutolewa na Ikulu kumhusu Rais wa Nchi. Hii inaongeza nini labda?Na ndiyo maana Raisi haachi kusema jinsi ilivyongumu kazi ya Urais, kama tu mtu unakunywa gahawa bado inakuwa mjadala!!! Basi, tushajua kumbe kinachomfanya aseme hivyo!!!
Asiongee, bado ni mjadala, akila peupe Napo ni shida, alienda kwao kuwaona wa nyumbani mwake Napo taabu, hivi haya mambo yapo Hadi huko majuu ama ni hapa tu kwetu, mliosafiri safiri huko tuambieni, tunaigaa!! Au
Heeh!!! MakubwaTatizo siyo kunywa kahawa au kula Kashata, hivi hii ni habari ya kutolewa na Ikulu kumhusu Rais wa Nchi. Hii inaongeza nini labda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya nini kufanya maigizo kama ni MTU mkubwaHivi kweli mlitegemea Raisi wa nchi na Amiri jeshi akanywe kahawa hivi hivi?Hivi tunajua kuwa kuugua kwa Raisi ni jambo ambalo linaweza kuangusha uchumi wa nchi?
Hata hao kina Obama tunaowaona wakienda mahali na kuchanganyika si kienyeji kama tunavyodhani. Rais ni mtu mkubwa sana na hatuna haja ya kupekua vitu vidogo vidogo.
Hivi kweli mlitegemea Raisi wa nchi na Amiri jeshi akanywe kahawa hivi hivi?Hivi tunajua kuwa kuugua kwa Raisi ni jambo ambalo linaweza kuangusha uchumi wa nchi?
Hata hao kina Obama tunaowaona wakienda mahali na kuchanganyika si kienyeji kama tunavyodhani. Rais ni mtu mkubwa sana na hatuna haja ya kupekua vitu vidogo vidogo.
Kwani kimesaidia nini baada ya kukifanya, kimeleta dawa ya corona?Mbowe hawezi akafanya kitu kama hicho, hivyo usiishie kubeza tu mara nyingine uwe unapongeza.