mashoodjr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2016
- 2,222
- 1,512
Huu nao uzi wa mtu. Kaamka kaandika. Then Tz mnataka maendeleo. Kuwaza tu eti Rais anahitaji kufanya maigizo nyumbani kwake Ni Utoto wa hali ya juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaona utoto kwa banana republic hii kitu ni normal
Sent using Jamii Forums mobile app