Maigizo ya Magufuli na timu yake Chato

Maigizo ya Magufuli na timu yake Chato

1. Kahawa na chai ya tangawizi wametoka nayo sijui Dodoma.

2. Anao kunywa nao ametoka nao alikotoka hadi wamesahau kubadili tshirt ikabidi avae ndani nje.

3. Chupa ya chai iliyo tumika siyo ya kitaa . Kitaa wana mabirika yao machafu...



Wasaidizi wa Rais hampo makini kabisa kucheza hizi muvie. Ongezeni ujuzi .View attachment 1402427

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba muweke picha kabla ya Magufuli kufika hapo. Maana mnaongea ujinga usiokuwa na Ushaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi raisi kama MAGUFULI ambaye anajua kilichomkuta MANGULA anaweza fanya hivyo kweli? Awe serious huyo mzee.anasema misafara yake inazuiwa na wananchi kweli? Misafara ya raisi na mambo yote yale nani anazuia

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu msafara wa RAIS eti uzuiwe na "wanachi" afu wawepo watu wa kutoa kero zao na wa kutumbuliwa na wa kupandishwa cheo hapo hapo ambapo hapakuepo kwenye ratiba ya msafara wa mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali tu:
Mkuu katoka Dar, akaenda Dom, na sasa yuko Chato. Katika safari zote hizo ana timu ya wasaidizi na walinzi. Hao pia wanachanganyika na watu wengine.
Katika kipindi hiki ambacho ugonjwa wa Corona unazidi kusambaa duniani, natukifahamishwa kuwa virusi hivyo huambukizwa hata kama mwathirika haonyeshi dalili zozote, je ni busara kufanya safari zote hizi? Na je ni busara kuendelea kuchanganyika katika kadamnasi tena bila kuzingatia masharti ya kuweka nafasi ya mita moja kati ya mtu na mtu?
Ni ujumbe gani tunatoa kwa wananchi pale mamlaka inapohubiri kimoja na kutenda tofauti kabisa na maagizo yao wenyewe?

Kazi ipo!
 
Ila mie nimeona FURSA HAPO, kama kikombe cha kahawa ni sh 500 basi hyo ni fursa! Twendeni CHATLE tukapige pesa wakuu maana ukiuza vikombe 50 kwa siku ni sawa kabisa na mwenye bodaboda 4 kwa dar!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi raisi kama MAGUFULI ambaye anajua kilichomkuta MANGULA anaweza fanya hivyo kweli? Awe serious huyo mzee.anasema misafara yake inazuiwa na wananchi kweli? Misafara ya raisi na mambo yote yale nani anazuia

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hao watu/ WANYONGE wanajuaje kama bosi wao anapita?
 
Sioni tatizo lolote kwenye hiyo picha, kama ni maigizo au ni kweli haimuhusu mtu yoyote why bother in? Mind your business busy body!
Maisha mafupi sana, Nyerere tu alikuwa anacheza bao.
Wafipa mnataabika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani rais wetu anapata taaabu ya kuigiza wewe huoni taabu, rais anadharirika huoni taabu? Au hujui kuwa anadharirika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom