Maigizo ya Magufuli na timu yake Chato

Maigizo ya Magufuli na timu yake Chato

1. Kahawa na chai ya tangawizi wametoka nayo sijui Dodoma.

2. Anao kunywa nao ametoka nao alikotoka hadi wamesahau kubadili tshirt ikabidi avae ndani nje.

3. Chupa ya chai iliyo tumika siyo ya kitaa . Kitaa wana mabirika yao machafu...

Wasaidizi wa Rais hampo makini kabisa kucheza hizi muvie. Ongezeni ujuzi .View attachment 1402427

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona kuna video nimeiona inatamba mitandaoni ikionesha kahawa ikimiminwa kutoka kwenye mabirika ya kitaa kabisa.
 
1. Kahawa na chai ya tangawizi wametoka nayo sijui Dodoma.

2. Anao kunywa nao ametoka nao alikotoka hadi wamesahau kubadili tshirt ikabidi avae ndani nje.

3. Chupa ya chai iliyo tumika siyo ya kitaa . Kitaa wana mabirika yao machafu...

Wasaidizi wa Rais hampo makini kabisa kucheza hizi muvie. Ongezeni ujuzi .View attachment 1402427

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Kahawa na chai ya tangawizi wametoka nayo sijui Dodoma.

2. Anao kunywa nao ametoka nao alikotoka hadi wamesahau kubadili tshirt ikabidi avae ndani nje.

3. Chupa ya chai iliyo tumika siyo ya kitaa . Kitaa wana mabirika yao machafu...

Wasaidizi wa Rais hampo makini kabisa kucheza hizi muvie. Ongezeni ujuzi .View attachment 1402427

Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya kazi acha porojo na kuwananga waliokuzidi.
 
1. Kahawa na chai ya tangawizi wametoka nayo sijui Dodoma.

2. Anao kunywa nao ametoka nao alikotoka hadi wamesahau kubadili tshirt ikabidi avae ndani nje.

3. Chupa ya chai iliyo tumika siyo ya kitaa . Kitaa wana mabirika yao machafu...

Wasaidizi wa Rais hampo makini kabisa kucheza hizi muvie. Ongezeni ujuzi .View attachment 1402427

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wewe tshirt ikiwa na nembo ya taifa imetoka Dodoma?
 
1. Kahawa na chai ya tangawizi wametoka nayo sijui Dodoma.

2. Anao kunywa nao ametoka nao alikotoka hadi wamesahau kubadili tshirt ikabidi avae ndani nje.

3. Chupa ya chai iliyo tumika siyo ya kitaa . Kitaa wana mabirika yao machafu...

Wasaidizi wa Rais hampo makini kabisa kucheza hizi muvie. Ongezeni ujuzi .View attachment 1402427

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna bwege hapo alisikika akisema kikombe cha kahawa ni tsh 500
 
Mzee mwenye tisheti ya bluu yupo makini sana na kazi yake kitengoni

Alafu na yule raassta wa kitengo pia naona safari hii wamemuacha

Sent using Jamii Forums mobile app
Sioni tatizo lolote kwenye hiyo picha, kama ni maigizo au ni kweli haimuhusu mtu yoyote why bother in? Mind your business busy body!
Maisha mafupi sana, Nyerere tu alikuwa anacheza bao.
Wafipa mnataabika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Kahawa na chai ya tangawizi wametoka nayo sijui Dodoma.

2. Anao kunywa nao ametoka nao alikotoka hadi wamesahau kubadili tshirt ikabidi avae ndani nje.

3. Chupa ya chai iliyo tumika siyo ya kitaa . Kitaa wana mabirika yao machafu...

Wasaidizi wa Rais hampo makini kabisa kucheza hizi muvie. Ongezeni ujuzi .View attachment 1402427

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣👏👏
 
Back
Top Bottom