Maigizo ya Magufuli na timu yake Chato

Maigizo ya Magufuli na timu yake Chato

Ulitaka unywaji wa kahawa wa rais ufanane na raia wa kawaida? Unajua kwamba kiti anachokalia ni kiti cha kifalme? Hivi huoni kwamba hata ulichoandika ni cha kimaigizo pia?
 
Kwa usalama wa Rais wetu, ningelishangaa kama tahadhari kama hiyo isingelichukuliwa kwenye maeneo ya wazi kama hayo.
Sawa rais wenu........ Nasikia hasikii ushauri wa yeyote isipokua ushauri wa ulinzi wake basi....
 
1. Kahawa na chai ya tangawizi wametoka nayo sijui Dodoma.

2. Anao kunywa nao ametoka nao alikotoka hadi wamesahau kubadili tshirt ikabidi avae ndani nje.

3. Chupa ya chai iliyo tumika siyo ya kitaa . Kitaa wana mabirika yao machafu...



Wasaidizi wa Rais hampo makini kabisa kucheza hizi muvie. Ongezeni ujuzi .View attachment 1402427

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona unateseka? Akili yako ndio inakuumiza. Huyo wa kulia kama ni tiss wapi anakatazwa kuonja kahawa?

Angalia hii video inaweza kukutoa ujinga. Mabirika unayoyataka yapo. Watu wamenumua na kuweka ktk chupa zao.
 
Yani rais wetu anapata taaabu ya kuigiza wewe huoni taabu, rais anadharirika huoni taabu? Au hujui kuwa anadharirika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo kubwa kila kitu anachofanya Rais Mnaona anaigiza, mnataka afanye kwa akili zenu?
Ni akili yenu ndio inadharirika, kama yeye yuko Happy na pia na watu aliokutana nao mnaumia nini?
Kwanini mnateseka?
 
Kwanini unateseka?
nakuonea huruma tu ulivyo mweupe kichwani na kinaki kukenua humu.mara mbona Nyerere alikuwa anacheza bao,mara mind your business.

Kwa ujinga wako unashindwa kutofautisha kucheza bao kwa Nyerere na maigizo, unashindwa kujua kama hoja hapa sio kunywa kahawa kijiweni bali ni kuigiza kunywa kahawa kijiweni. ulivyo mjinga unashindwa kujua kama president business is not private business it is public business,kwa hiyo it is also my business.
 
nakuonea huruma tu ulivyo mweupe kichwani na kinaki kukenua humu.mara mbona Nyerere alikuwa anacheza bao,mara mind your business.

Kwa ujinga wako unashindwa kutofautisha kucheza bao kwa Nyerere na maigizo, unashindwa kujua kama hoja hapa sio kunywa kahawa kijiweni bali ni kuigiza kunywa kahawa kijiweni. ulivyo mjinga unashindwa kujua kama president business is not private business it is public business,kwa hiyo it is also my business.
Kwanini unaTESEKA na so called akili nyingi? Mtu mwenye akili asumbuliwi na mambo madogo madogo.
Ukiifanya Private Business ya Rais kuwa personal business yako utaendelea kuteseka.
Pole sana kwa Kuteseka.
 
Nini kinathibitisha kwamba hiyo kahawa/tangawizi imemiminwa kutoka kwenye hicho kichupa?


~I moved your cheese! So what?~
Swali zuri.
Mikoani mfano baadhi ya sehemu kule Singida wanauza kahawa kwenye chupa ndogo kama hiyo kwa 700/- mnanunua labda wawili mnakunywa kwa hivyo vikombe vidogo. Huwa wanajaza kahawa yote kwenye chupa kibao, ukija unalipia na kupewa chupa yako na kikombe.

Pia inawezekana jamaa kaja na chupa yake akimaliza kunywa anachukua nyingine akanywe mbele ya safari au nyumbani au anampelekea mtu.
Watu wenye magari na madereva hupenda sana kutembea na chupa ya kahawa au chai kama hivyo.

Wasi wasi wa wadau una mashiko sababu mbili
Kwa kijijini muuza kahawa hawezi kuingia gharama ya kuuzia kahawa kwenye chupa aghali kama hiyo, wale wanauzia zile za plastiki za bei rahisi.

Pili huyo jamaa mwenye fulana ya nembo ya serikali kaigeuza lakini bado inaonekana.
Kwanza ni msafi sana kulinganisha na mazingira husika.

Hata kama maigizo sio kosa wala dhambi, hayo maigizo yanalipa kwenye sanduku la kura na taswira ya uongozi wa watu kwenye macho ya jumuiya za kimataifa.

Sema kama kweli ni picha basi lilitakiwa lichezwe uwanja wa ugenini ambako kunaonekana sterling hapendwi sana, ingeleta picha anapendwa kote na hana hofu.

BTW, Good politics, good movies except the script writer was not the best chess board player in town..
 
Hakuna barakashe wala kanzu hapo??? Hiki siyo kijiwe cha kahawa aisee..

halafu hiyo jamaa hiyo Pete aliyovaa mkononi hakuna kijana wa kijiweni anaeweza kuivaa 😹😹😹😹😹
 
Back
Top Bottom