Maigizo ya Magufuli na timu yake Chato

Maigizo ya Magufuli na timu yake Chato

1. Kahawa na chai ya tangawizi wametoka nayo sijui Dodoma.

2. Anao kunywa nao ametoka nao alikotoka hadi wamesahau kubadili tshirt ikabidi avae ndani nje.

3. Chupa ya chai iliyo tumika siyo ya kitaa . Kitaa wana mabirika yao machafu...

Wasaidizi wa Rais hampo makini kabisa kucheza hizi muvie. Ongezeni ujuzi .View attachment 1402427

Sent using Jamii Forums mobile app

Mie ningekaa hapo ningekuwa natingisha bench kahawa immwagikie..akiweka tu mdomon nampigia chafya chaaaa huku najitikisa...!
 
Pele anaonekana ni mkazi wa Chuttle kabisa ndio maana hayuko comfortable kukaa na watu wa Dar. Dogo aliyegeuza t shirt anaonekana kabisa ni mgogo wa Dodoma. Mkuu atakunywaje kahawa kijiweni na watu wasio wa umri wake?
Huyu dogo mgeuza t shirt hajafikia umri wa kwenda vijiwe vya gahawa
 
1. Kahawa na chai ya tangawizi wametoka nayo sijui Dodoma.

2. Anao kunywa nao ametoka nao alikotoka hadi wamesahau kubadili tshirt ikabidi avae ndani nje.

3. Chupa ya chai iliyo tumika siyo ya kitaa . Kitaa wana mabirika yao machafu...

Wasaidizi wa Rais hampo makini kabisa kucheza hizi muvie. Ongezeni ujuzi .View attachment 1402427

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeelewa ujumbe uliowasilishwa na Rais, hayo uliyoyandika ungeyajutia. Kwa kuwa hujui kama hujui tukuache hivyo.
 
ukichunguza Pele ni msafi kupindukia,jeans mpya na nywele safi...anavuta SM (wanywa kahawa wanavuta sigara za 100); huyo mwingine yupo naye

vile vizee vya hicho kijiwe itakuwa wameambiwa "kakaeni Kulee.." na birika lao wakapewa!

Mwenyeji wa hapo kati yao ni Magu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliona amemimina direct toka kwenye birika..mpaka akamwambia aongee..
 
Back
Top Bottom