Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,357
- 12,308
Hii picha imeungua,Yaani wewe tshirt ikiwa na nembo ya taifa imetoka Dodoma?
1. Kahawa na chai ya tangawizi wametoka nayo sijui Dodoma.
2. Anao kunywa nao ametoka nao alikotoka hadi wamesahau kubadili tshirt ikabidi avae ndani nje.
3. Chupa ya chai iliyo tumika siyo ya kitaa . Kitaa wana mabirika yao machafu...
Wasaidizi wa Rais hampo makini kabisa kucheza hizi muvie. Ongezeni ujuzi .View attachment 1402427
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa hataNi bongo move au sio bongo move? 😁
Ndo wewe nini uyo jamaa aliegeuza tisheti utumishi wa ummaSioni tatizo lolote kwenye hiyo picha, kama ni maigizo au ni kweli haimuhusu mtu yoyote why bother in? Mind your business busy body!
Maisha mafupi sana, Nyerere tu alikuwa anacheza bao.
Wafipa mnataabika.
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Kahawa na chai ya tangawizi wametoka nayo sijui Dodoma.
2. Anao kunywa nao ametoka nao alikotoka hadi wamesahau kubadili tshirt ikabidi avae ndani nje.
3. Chupa ya chai iliyo tumika siyo ya kitaa . Kitaa wana mabirika yao machafu...
Wasaidizi wa Rais hampo makini kabisa kucheza hizi muvie. Ongezeni ujuzi .View attachment 1402427
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama wee umeambiwa anakunywa kahawa na wananchi wa kijijini kwake hiyo kahawa hujaambiwa kama kanunua hapo alipokaa hiyo chupa ni take away unaweza nenda nayo popote kuyoka nayo nyumbani1. Kahawa na chai ya tangawizi wametoka nayo sijui Dodoma.
2. Anao kunywa nao ametoka nao alikotoka hadi wamesahau kubadili tshirt ikabidi avae ndani nje.
3. Chupa ya chai iliyo tumika siyo ya kitaa . Kitaa wana mabirika yao machafu...
Wasaidizi wa Rais hampo makini kabisa kucheza hizi muvie. Ongezeni ujuzi .View attachment 1402427
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye bongo movie tangu tumpoteze Kanumba mambo hayaendi kabisa. Sijui tunakwama wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app

Habari za hapo kambini mkuu?!Kafisi kadogo naweza pata kwa bei gani nifuge?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mzee wa katikati ni Pele?