Ponda ni mhalifu ambaye serikali imemlea. Ponda kujiita shekhe siyo lazima awe shekhe na wala hakuna uthibitisho kuwa anawakilisha waislam zaidi ya hicho kikundi kidogo cha wahuni.
Vita ya kuuondoa uhalifu wa Ponda na wenzake inahitaji nguvu za watanzania wote kwa pamoja, wakristo na waislam, na hata wale wasio na dini. Matamshi mengi humu ndani yanapandikiza mbegu za chuki kati ya waislam na wakristo, ni muhimu sana kujiepusha na kali na za nmna hiyo.
Enyi Wakristo, hakunamarafiki zenu, majirani, wafanyakazi makazini ambao matendo yao hayaendani kabisa na Ponda? Mkiwaingiza waislam wote kwenye kundi la Ponda, hamtatofautiana na wale wahuni wa Ponda waliolitumia tukio la mtoto mmoja kukojolea biblia kuwa ni tiketi ya kuunguza nyumba za ibada za wakristo wote. Huu ni wakati unaohitaji hekima zaidi kuliko wakati wowote.[
QUOTE=Ritz;4849934]Badala watu kuchangia mnaanza kutoa kauli za matusi na kejeli Tanzania tunapoeleka sio pazuri.[/QUOTE]