Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,821
- 59,424
Hawacheki wanaserebuka sana hadi bwana harusi anaona aibu yeye inabidi atizame chini.
Wanaona aibu kisa? Kwani wakati wanatangaza ndoa hawakujua wapenzi wao ni waserebukaji? Hamna mawasiliano kati yao hata washibdwe kuwekeana mipaka kama ni muhimu/lazima?
Alafu na nyie kwa umbea. . .eti wanaona aibu mpaka wanatazama chini!!Unajuaje hawa-avoid kuangalia ili wasiharibu muonekano wa suruali?Msijifanye mnajua sana kila kitu wengine wanachohisi ndani ya nafsi zao.