Maharamia wa Kisomali na majumba mapya Mbezi

achen wasomali waaletee mafuta tunanyaswa na waarabu sita wenye kuleta mafutaa mpaka makamasi yanatutoka nenda kwao hata kama kuna vita leo mafuta Hargeia in robotatu dola mmezoea utumwa wa kiiarabu wanatugeuza wanavyotaka
 
kuna melimafuta za vijana wajasiriamali wa kisomali zimewahi leta mafua hapa tz na kuuza bei bwerereeeeee lakini kilicho fuata ni kupigwa mwara na makuwadi wa ufisadi leo hii wanafanya biashara msumbiji
Waarabu watafanya vibaya chunga sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
<br />
<br />
Eh bwana eh, wasomali ni watu wenye umoja wakiwa ugenini na ni hard working. Ebu twambie huko UK waswahili wenzetu kutoka Karibiani waliwahi kukukaribisha mara ngapi manyumbani mwao, je hali yao kimaisha hikoje ukilinganisha na wasomali au wihindi ambao waliamia huko UK kwa wingi kuanzia mwanzoni wa miaka ya sabini lakini wako mbali sana kimaisha wakati wenzetu kutoka Karibiani wengi wao hoe hae na walihamia UK in ninteen 40s with equal oportunity kama wasomali na wahindi, sasa tujiulize tatizo letu waswahili ni nini? Jibu unalo ni: Uvivu kutaka maisha ya mteremko bila hard work, kuona wageni kama ni wezi wakiti wenzetu hawalali wanatafuta jinsi ya kukabili maisha na huwa na hulka ya kusaidiana sana kimaisha, sisi kazi yetu ni kulalamika na kuharibiana sifa! Soma thread nyingine humu baadhi niza kuhuzushi tu na kuchafuana kama hatutabadilika kimawazo na kujifunza kutoka kwa wenzetu wasomali, wahindi wazungu walio fanikiwa kimaisha basi tutabaki kulalama.
kweli hunazo nani kakuambia wasomali wamendelea..!.huku kazi yao ni wizi na vurugu nimabingwa wa kuchomana visu...wakaribiani ni watu wakarimu sana na ndiyo maana wameweza kuishi side by side na hawa wenyeji...wanakoishi wasomali hapa london ni pachafu kuliko Mogadishu.
sio wasomi ila hili najua ni kwasababu ya dini yao hairuhusu kwenda shule...hapo tanzania wanaweza kuonekana na maendeleo kwa sababu ya uharamia wanaoufanya siyo kwamba wametafuta....lia ccm ikitoka madarakani mogadishu watapaona kuna amani...
 
kweli hunazo nani kakuambia wasomali wamendelea..!.huku kazi yao ni wizi na vurugu nimabingwa wa kuchomana visu...wakaribiani ni watu wakarimu sana na ndiyo maana wameweza kuishi side by side na hawa wenyeji...wanakoishi wasomali hapa london ni pachafu kuliko Mogadishu.
sio wasomi ila hili najua ni kwasababu ya dini yao hairuhusu kwenda shule...hapo tanzania wanaweza kuonekana na maendeleo kwa sababu ya uharamia wanaoufanya siyo kwamba wametafuta....lia ccm ikitoka madarakani mogadishu watapaona kuna amani...

Jaribu kutumia lugha ya kistaarabu, mimi nimeishi huko muda mrefu tu; nilianzia Midland na kuishia North West, Uingereza naifahamu vizuri tu siyo kwamba nimekurupuka. Niliyosema humu kuhusu hulka zetu waswahili ni sahihi. Tukija kauri yangu kuhusu: Wasomali, Wakaribiani, Wahindi na Wazungu ni kweli tupu mimi niliyaona kwa macho yangu huko Uingereza na siyo kusimuliwa, tuwe wakweli na tubadilike.
 
Hatuwasemi kwa kuwa wana pesa kwani wengine ni masikini wa kutupwa.Wengine wapo Temeke huku....dada zao wanauza miili sana ili waishi. Tunachoongea ni uhalali wao wa kuishi nchini na uhalali wa kazi zao. Mgeni hana uzalendo na hii nchi..Wameharibu nchi yao,wanataka kuharibu na nchi yetu. Kenya tayari wamejipenyeza sana. Kama eneo la EastLeigh jamaa wamejimilikisha kila kitu. Mtu mwingine huwezi hata kupata chumba cha kuishi kule mahali kama siyo Msomali.

kuuza miili yao sii ishu!!!!!!!!
somalia haikuharibiwa na wasomali bali ni wazauni wanao watumia waaarbu pia hata Tanzania inaweza kutokea reje yanayotokea Libya Zimbabwe na waafrica mnashangilia kinacho tokea huku
kenya uvivu wao katika ujasiria mali
 
kweli hunazo nani kakuambia wasomali wamendelea..!.huku kazi yao ni wizi na vurugu nimabingwa wa kuchomana visu...wakaribiani ni watu wakarimu sana na ndiyo maana wameweza kuishi side by side na hawa wenyeji...wanakoishi wasomali hapa london ni pachafu kuliko Mogadishu.
sio wasomi ila hili najua ni kwasababu ya dini yao hairuhusu kwenda shule...hapo tanzania wanaweza kuonekana na maendeleo kwa sababu ya uharamia wanaoufanya siyo kwamba wametafuta....lia ccm ikitoka madarakani mogadishu watapaona kuna amani...

NDG YANGU WASOMALI USIPIME WANAUMOJA USIPIME!!!!!!!!!!!!1
WANTUMA HELA HELA AFRICA NA KUWEKEZA KULIKO WAAFRICA WWT NA WEUSI WOTE DUNIANI KWA KUJALI KWAO IPO SIKU SOMALIA ITAPATA AMANI NA ITAWAPITA WAAFRICA WENGI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:msela::peace:
 
Mji wa Mombasa nchi Kenya vijana raia wa kenya wenye asili ya kisomali wengi wamejiunga na jeshi la wapinzani wa serekali inayotambuliwa na AU kwa ujira wa chini ya dola u$ 50.Wengi wamekufa vitani kwasababu ya mafunzo duni na wakati mwingine maradhi.Vijana wengi hawana kazi wakidanganywa hata kwa maslahi duni ni rahisi kuhadaika.


HII HAPO JUU NI AKILI YA KUFIKIRI KWA "MASABURI" NDG HAKUNA JESHI LA UPINZANI LINALO TAMBULIWA NA AU
UKOSEFU WA KAZI NITATIZO LA KIDUNIA NA SIO KWA WASOMALI TU HATA KWA MUNGU WENU OBAMA WAPO WASIO NA KAZI
:msela::deadhorse::peace:



 
Lole Gwakisa,

Kkaka wasomali ni watu makini katika kazi na jamii kubwa si watanzania wanawachukia hwa jamaa kwa sababuza kibinafsi.

Wasomali wengi walikwenda South Africa kama wakimbizi na wakapokelewa wao walikataa kuishi kambini kwa sababu kuu ya kutafuta rizi kitaani walifanikiwa sana waliaanzisha biashara ya umachinga kama bongo hiv biashara ile ilindelea vizurri sana.

Wengi walifanikiwa wakaanza kujiunga watano na kukodisha maduka ambayo wenyeji biashara imewashinda na kufungua supermarket wengine wakafugua maduka vijjini kumbuka kuwa biashara sa zinamilikiwa na wahindi kwa asiliamia kubwa.

Ushindani wakibiashara na mafanikio ya wasomali hawa illeta chuki kubwa baani wasiokuwa nacho wenyeji kwa kupandikizwa bengu kuwa hawa watu ni wabaya sana wanafanikiwa hapahapa na nyinyi mpo.

Sasa tuje hawa wamajumba sii maharamia kamwe hawa watoka ulaya kwa taili hii hata huko walikua wajasiria mali si kama wabongo hwa hawjirushi huko walitumwa hela na wamefanikiwa donge la nn!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Acheni uvivu wabongo, wale wasomali mnaona wanamiliko maghorofa Kariakoo na kwengineko wanajinyima sana kufikia kwenye hayo mafanikio.

Na kwa taarifa yenu jamaa huwa wana ushirikiano sana, wanaweza kukuta mjengo unauzwa milioni 600 wakajikusanya watu 10 wakanunua baada ya miaka 15 unaweza kuta kila mmoja kanunua mjengo wake mwenyewe kama huo.

Sisi wabongo tumekalia majungu tu na chuki binafsi fanyeni kazi kwa bidii.

Ukweli ni kwamba wasomali kama walivyo wahindi kwenye mambo ya biashara wanaweza na wataisaidia sana hii nchi kiuchumi.
 
Hela chafu hela chafu hamna lolote.

Waingereza na wamarekani walikuwa wanajua sana kwamba Ghadafi ni dikteta mbona bado walikuwa wanaweka pesa zake huko Uingrereza ? na wame zi freeze juzi juzi tu hapa wawape waasi.

Mimi napinga pesa chafu lakini kwenye hili hamna ambaye yupo msafi hao wamarekani ndio usiseme!
 
ndugu;

Inaonekana unafaidika sana na pesa za hawa wasomali maana mpaka umeona waTZ wenzako vilaza kwa sababu umefanywa kitwana wa wasomali!!

1. kwa hiyo kwanza tujue kwamba wewe ni msemaji wa wasomali...si ndio?

2. halafu tueleweshe ni wasomali wangapi ni wachacharikaji kutumia lugha yako. utawakuta wamekaa magenge tuu wanakula miraa, huo uhangaikaji wao wanaufanyia wapi na saa ngapi?

3. Kama wanaonekana hawana shughuli rasmi, hizo pesa zote wanazitoa wapi?

acha kutukana nduguzo kwa sababu tu unafaidika na hao wageni?

wewe usokuwa mvivu na usokuwa na majungu , tweleze umeifanyia nini nchi hii ... au ni kuwahudumia wasomali?

si kila msomali ni mla miraa na si kila mla miraa ni msomali
ww na baba yako mfanyia nn nchi yako umekosa chase unjekuwa fisadi kama baba yako!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kaka watanzania walio Botswana ,Angola ,South Africa,Zimbabwe,Namibia,Mocambique etc wana haki kabisa kupata wanayoyapata na kuheshimiwa....angalia historia ya Taifa letu ..kote huko ni nchi ambazo Mwalimu Nyerere alituma vikosi vyetu kwa namna moja au nyingine ..kupigania uhuru..yaani kote huko kuna damu za watanzania zilimwagika hadi wao wakawa huru,,,,....tena Watanzania tumezubaa...lakini tunastahili kupata fursa nyingi za kiuchumi kuliko raia wa nchi ambazo sisi askari wetu walipokuwa wakipigania uhuru huko .....nchi zao zilikuwa zinashirikiana na mabeberu....
Watanzania tunastahili kuringa ...we have the special place in Africa..the mistake Nyerere need or even because alikuwa mjamaa sana is ...alitakiwa kila nchi aliyopeleka vikosi kupigania uhuru...apeleke na watanzania kunufaika na fursa za kibiashara kama wafanyavyo wamarekani..leo hii tungekuwa mbali.....
Mkuu hii nimeipenda sana, ni jambo limekuwa kwenye mawazo yangu sana. Kinachoshangaza ni kuwa Nyerere hata aliowaachia madaraka wameshinda kutambua hilo na hata nchi tulizozisaidia kujitawala leo hii zinatuzidi kiuchumi. SA ni wazi kabisa, lakini ziko nchi kama Mozambique, Namibia, hata Congo bado kidogo tu tutakuwa nyuma sisi ni kupiga siasa tuuuu zisizokuwa na mipango maalum ya kimaendeleo.
Tukirudi kwenye swala la waSomali, hawa jamaa ni watu wenye asili ya kutojali uhai. Ni watu wa kuishi nao kwa uangalifu sana. Ogopa kabila yoyote ambayo hupenda kujikusanya mahali pamoja. Chunga sana. Hawa jamaa ni tatizo kubwa sana Kenya sasa hivi.
 
Kila mtu ana haki a kuchangia kwa upeo wake, lakini ki ukweli hapa hoja si USOMALI.Kama hela ni chafu haikubaliki katika misingi yoyote ile,pia swala la kiusalama ni kuangalia zaidi na mifano imetolewa yanayotokea Kenya...kama hatuelewi basi tusubiri zamu yetu tuone kwa vitendo itakuwa njema zaidi.
 
Tena hiyo kule Nairobi wamenunua mtaa wa Islii mtaa wa matajiri wakenya hawana lao pale town labda awe na hela kana gaddafi wa zamani ,eti nackia uzushi kwamba hata yule Msomali hoteli zake anaziunguza makusudi ili alipwe na bima wakijaa huku tumekwisha jamaa wana hela mbaya tena nackia wengine wanasupport vita kule kwao ili jamaa wasiache kupigana kwa kuwa wao waliiba hela na kukimbia nazo.
 
Tena hiyo kule Nairobi wamenunua mtaa wa Islii mtaa wa matajiri wakenya hawana lao pale town labda awe na hela kana gaddafi wa zamani ,eti nackia uzushi kwamba hata yule Msomali hoteli zake anaziunguza makusudi ili alipwe na bima wakijaa huku tumekwisha jamaa wana hela mbaya tena nackia wengine wanasupport vita kule kwao ili jamaa wasiache kupigana kwa kuwa wao waliiba hela na kukimbia nazo.

Eastleigh ni mtaa wa matajiri? wewe utachekwa. Na kunatafauti ya 'si' na 'c'.. hakuna neno kama ''nackia''.. kwani hujaenda shule?
 
ukienda kariakoo, utapata kujua nini maana ya pesa za piracy....kuna mfumuko wa maduka ya electronics wa ajabu!!

ww huna akili hya maduka ya used unaona gere hawa wanatumiana vitu kutok a mamtoni wewe na wa bongo wako walioko huko kazi ni kujirusha tu!!!!!!!!!!!! Leo kewenda kumwangali jze !!!!!!
Wabongo wanawivu hawawezeshani kwani wengi wapo nje lakini fursa zilizopo hapa kwetu hawaziioni na hwawezi kutumia kuwaendreleza wenzao waliopo hapa

waachane wainvest nyinyi mmeshindwa pia tuache kucramu kuwa kila hea zisizo za mzungu ,muarabu na mhindi ni
haramu watu wana cash zao za halala na mungu anwajaalia
 
Wakuu tupeane habari mabayo imekuwa minong'ono ya chini chini kwa muda mrefu hapa Dar.

Pamekuwapo na "uwekezaji" usio wa kawaida kutoka ndugu zetu wa Kisomali katika jiji la Dar es salaam kwa muda sasa.

Sehemu za Mbezi kuna nyumba, zenye nakshi ambazo kimsingi ni za kiarabu, ambazo zimekuwa zinaota kama uyoga.

Miradi kama Ununio development,TANSOMA na hata jengo moja refu hapo Mbezi ni za raia wa Kisomali.

Tusisahau hata Paradise chain.

Ni vyema kukaribisha uwekezaji , lakini je kuna uhusiano wowote na pesa haramu za maharamia wateka meli?

Nauliza tu.

Hivi hawa hawana undugu na Ismail Aden Rage? Maana hakuna kitu kilichoniboa kama yule mpuuzi kuingia kwa watanzania na bastola,ni kashfa na dharau kwetu..
 
Jaribu kutumia lugha ya kistaarabu, mimi nimeishi huko muda mrefu tu; nilianzia Midland na kuishia North West, Uingereza naifahamu vizuri tu siyo kwamba nimekurupuka. Niliyosema humu kuhusu hulka zetu waswahili ni sahihi. Tukija kauri yangu kuhusu: Wasomali, Wakaribiani, Wahindi na Wazungu ni kweli tupu mimi niliyaona kwa macho yangu huko Uingereza na siyo kusimuliwa, tuwe wakweli na tubadilike.
wewe lugha ya kistaarabu unaijua wewe..kweli wewe hunazo sasa kama uliwahi kuishi huku mda mrefu ndiyo nini.inamaana ulijifunza kwamba wasomali ni wachapa kazi..,jee ukiwa huko TZ hujajifunza kuwa ni maharamia,NA hakuna mtu anayetaka kujua umewahi kukaa wapi wewe jibu hoja maharamia wanawekeza TZ kwa hela zao chafu.?.,.kiswahili chenyewe hujui nani unawaita waswahili.!.kaka 2015 mogadishu inakuita.
 
Mi nafikiri kuwekeza kwetu si jambo baya ila serikali iwe makini nao wasije wakaleta tabu. Pia ihakikishe wanatoa ajira kwa watz, maana pale city garden mpaka walinzi ni wasomali na wazawa wanalalamika kunyanyaswa.
Serikali, kama ipo!, ihakikishe majumba na hoteli walizojenga visiwe vichaka vya kuficha maharamia.
Afadhali wao wamechagua kuwekeza kwetu. Wazawa wanaficha 3T south africa na visenti uk
 
Back
Top Bottom