Maharamia wa Kisomali na majumba mapya Mbezi

Thread hii ni nzuri na inafungua sana macho na mawazo juu ya mitazamo ya jambo. Nlichoona mabishano hapa ni kama kuna uhalali wa kutumia fedha haramu (kama zimethbtishwa) ama la, na pia, wasomali ni wabaguzi au sio. Kuhusu the former, ni vigum kupata a balanced view kwani nadharia ziko za kutosh. La ubaguzi hua najiulizaga, kwanini wakifanya makabila ya ndani kama wahaya,wachaga wanyakyusa inakua ishu na wanakemewa kupita maelezo ila akifanya mhindi,msomali, muarabu, mtutsi, ni kama iko endorsed kua ni nature yao and thus ok!!? In whatever ugly or good to do
wasomali cwabaguzi
 
Walimuua OCD wa Ngorongoro kipindi kile, ASP Isaya Kong'oa.
wasomali wengi matajiri au waliba hela somalia baada au wakati wa utawala saidi barre, na walio kuwa hapa bongo wengi wao assili ya kipato chao ni pembe za ndovu na kuuza mkaa arabuni na machungwa kumbe wameweka dhahabu humo ndani ya gunia.
Nyerere alipowagundua walipata pata. through operation uhai, na pia wapo tu mpaka zambia matajiri wengi asilia yao ni pembe za ndofu/ndovu
 
Big up mkuu..... Nakuunga mkono


wacheni kuja na hoja za kijinga... Mlianza na waarab mkaja wahindi sasa mmewavamia wasomali wasio na nchi yenye amani? Fanyeni kazi uvivu muache uvivu... Pesa zenu kwani hizo? Zenu mmeshindwa kuwapokonya mafisadi mwazionea gere za wenzenu wacheni kumwaga mapovu...
 
nd zangu wa TZ TATIZO LETU SS NI WABAGUZI KWA WAFRICA WENZETU HAWA JAMAA WANAUCHUNGU SANA NA MAAENDELEO YA AFRICA WANAONGOZA KWA KURUDI KUJA KUWEKEZA AFRICA KWA SS
MSOMALI ANENDAULAYA SI KUTAFUTA KAZI TU AMEWEZA KUFANYA UJASIRIAMALI NDANI YA ULAYA NA AMERICA MPAKA WAZUNGU WANAKUNA VICHWA
MNAWABAGUA WASOMALI NA KUWAABUDU WAARABU WANAOIBA HATA MALIASILI HAI NI AIBU KUKUTA SIMBA JANGWANI NA RAISI WATANZANIA ANAFURAHIA KUMBE NI SIMBA WAKE WA KATAVI
NIMEONA WAARABU NA WAZUNGU WANAVYOUA WANYAMA KWA BARAKA YA UINDAJI HII SIO KUFURU
 
Heshima kwako Duduwasha,

Mkuu ni vyema kama hujui jambo kaa kimya ujuzwe.
Kusamabaratika kwa serekali ya Somalia mwanzoni lilionekana kama tatizo la Afrika au pengine tatizo la kikanda zaidi.Mashirika yote ya kijasusi ya nchi za magharibi yanatambua yalikosea sana Somalia sasa ni tatizo la kudunia linahitaji kushughulikiwa kimataifa tena kwa uangalifu wa hali ya juu sana.

Mapato yatokanayo na utekaji wa meli yamemiminika eneo lote la Afrika mashariki,Kenya wamekuwa waanga wa mwanzo pengine sababu za kijiografia zilisaidia zaidi.Wasomali wamenunua maeneo sehemu mbali mbali kwa bei kubwa kwaajili ya ujenzi wa mahotels na majumba ya biashara.Benki kuu ya Kenya imekiri kuingia kwa fedha nyingi sana nje ya mfumo wake rasmi wa fedha.Tanzania nayo haikubaki nyuma miji ya Arusha,Tanga,Dar es Salaam imevamiwa na hizi fedha za uharamia.

Zipo athari kibao ambazo nchi za EA zimeanza kuona moja kubwa nikitisho cha ugaidi kuongezeka matukio ya mlipukowa mabomu nchini Kenya na Uganda ni uthibitisho jinsi haliitakavyozidi kuwa mbaya siku za usoni.Wasomali wamefanikiwa sana kupenyeza wasomali wenzao ndani ya mfumo wa siasa na utawala nchini Kenya ili kulinda maslahi ya wasomali hasa kuwahakikishia usalama wa mali zao walizowekeza nchi humo.Tanzania imeanza kunyemelewa hasa kipindi hiki ambacho ombwe la uongozi/utawala limetamalaki.Kuna mikakati ya maksudi na siri ya kuwasaidia raia Tanzania wenye asili ya kisomali kukamata nafasi za uongozi ndani ya vyombo vya maamuzi.Ni rahisi sana kufanikisha mkakati wa aina hii kwasababu chaguzi zetu zimetawaliwa sana na matumizi makubwa ya fedha[hakuna udhibiti wa matumizi ya fedha]. Bashe Hussein,Aden Rage na A Kinana ni aina ya viongozi wanaowatumikia magaidi ya wa kisomali kwa kuwapatia mikakati mbali mbali eg kujipenyeza ndani ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama [miradi ya kiuchumi] tenda.Tanzania isipokuwa makini hakika uchaguzi wa mwaka 2015 idadi ya wabunge wasomali lazima itaongezeka maradufu kwakuwa tayari maharamia wa kisomali wanazo fedha za kuwafadhili.

Kinana aliwahikushika wadhifa wa spika wa bunge la EAC,anajua nje ndani jumuiya hiyo inavyoendeshwa hivi sasa zipo juhudi na mikakati ya kuiingiza Somalia ndani ya EAC bila kujali sehemu kubwa ya Somalia inashikiliwa na wapinzani wa serekali.Watu wazima hawajawaza wasomali watakavyopata uwanja mpana [eneo la nchi za EAC] wa ugaidi.

WaTanzania wenye asili ya Somalia ni tishio kubwa la usalama wa Tanzania na eneo lote la Afrika.


... Watanzania ni watu ambao wemezoea kuibiwa mali zao na wageni.
Mtu akija na mtaji wake, kelele chungu nzima.... Kalagabaho!.
 
these somalis ni wabaguzi sana...,hata huku uk wanajifanya kujitenga na waafrika..na kwenye mitaa yao ni vurugu tupu..,hata Rageh omah wa aljazeera aliwahi kuwa na kipindi kinauliza....kwa nini vurugu zinawafuata wasomali...!!!!..so tanzania watch out..
 
Nakushauri kabla hujaandika ujiulize maswali ya ziada ili kupata jibu la kweli, umefinya hoja kwa kuweka jambo moja tu, "uharamia", nakshi za "kiarabu". Ulikuwa unajenga nini mwakwetu? Mie nijuavyo ni kuwa wasomali watafutaji rizki ya halali wapo na wanatafuta fursa kama binadamu wowote pale duniani, wasomali matajiri kipindi cha utawala wa dikteta wao walikuwapo na wanaendelea kutafuta maisha kama wabongo wenzako. Nenda Kampala na Nairobi wanafanya kazi za halali na wanajipatia rizki yao. Kabla hujaamua kuwamulika wasomali na hisia kuwa wana fedha haramu, ulishawahi kujiuliza wachungaji na biashara ya madawa ya kulevya na kusukuma magari kama Hammer. Nafikiri ujiange kabla ya kuingia jamvini
 
jibuni hoja jamani...,ni kweli pesa za maharamia wa kisomali zinajenga yale majumba ya mbezi na kunduchi...,kama hujui funga bakuli..
 
Nakushauri kabla hujaandika ujiulize maswali ya ziada ili kupata jibu la kweli, umefinya hoja kwa kuweka jambo moja tu, "uharamia", nakshi za "kiarabu". Ulikuwa unajenga nini mwakwetu? Mie nijuavyo ni kuwa wasomali watafutaji rizki ya halali wapo na wanatafuta fursa kama binadamu wowote pale duniani, wasomali matajiri kipindi cha utawala wa dikteta wao walikuwapo na wanaendelea kutafuta maisha kama wabongo wenzako. Nenda Kampala na Nairobi wanafanya kazi za halali na wanajipatia rizki yao. Kabla hujaamua kuwamulika wasomali na hisia kuwa wana fedha haramu, ulishawahi kujiuliza wachungaji na biashara ya madawa ya kulevya na kusukuma magari kama Hammer. Nafikiri ujiange kabla ya kuingia jamvini
Mkuu usipotoshe mada, nimesema wasomali maharamia, hawa watu si watafutaji wa riziki-ni wauaji.
Fedha inoshwa(laundering) katika miradi tajwa.
Kama wewe kwa uelewa wako unawafahamu hao wachungaji wa madawa ya kulevya basi anzisha thread ili upate michango ya mawazo.
Usijipotoshe kifikra na usibadili mwelekeo wa thread. Na kama wewe ni msomali haramia, nina uhakika hautaonyeshwa ukarimu kama watanzania tulivyo zoea kuwaonyesha wageni
 
mbona hata ushirombo wanawekeza hoteli, nadhani wapo sehemu kubwa an huwa wanakamatwa tu songea porini kwengine ruksa
 
mbona kila ninachoandika kinatolewa..,au hamna sababu ya kusema ukweli ...!!!!..POA basi kuanzia sasa hivi ninaandika porojo tupu humu ndani..tafadhali naomba mtu asiniguse..,
 
mbona hao wote waliotagwa walikwepo na vitega uchumi kabla ya hata zoezi la uharamia kuibuka

if the case is every somali who is rich is pirate and my father is pirate coz since when i was born in ocean road 1980 my father was rich and belongs one of the leading transportation companies and our comapny is large tax payer, we have to learn and understand when the pirate network started and who are they.. i doubt if this pirate network are somalis or Africans.

let me come back those people who are building estates at Mbezi area, they are foreign investors from USA and the chairman of the company was long ago worked in African Development Bank is also a well known Somali Businessman he invested many african countries, like kenya, Egypt and Tanzania.

Let me come back to the owner of TANSOMA Mr Guled is well known rich man since 1960s in somalia, this man has came with his money when the civil broke-out in somalia and invested in Tanzania, kenya and south Africa.

this is why we Africans we cant develop without Aid or white investors coz we believe that we cant do something as you can read in this thread everyone is just saying somalis are pirate and no one has shown any evidence if not complex inferior and what is it?
Angalau umenipa mwanga kidogo na nimekuelewa japo ni kiingereza cha kitanzania na hii imethibitisha kwamba wewe ni mtz............wasomali si maharamia lakini maharamia ni wasomali
 
kwa nchi iliyo loose kama hii yetu, hela ya piracy itakuwa rahisi sana kuingizwa na kuyeyushiwa ndani. inaweza kuwa ni moja ya sababu shilingi yetu inayumba sana dhidi ya dola.
 
Hizi Chuki zisizo na Mbele wala Kichwa hazitufikishi popote pale....

Wangekuwa wasomali Ombaomba barabarani sijui tungesemaje...? Watu wanachakarika sisi Tunaumiya mioyo...Hii ni Mioyo ya Hasadi kuona wewe huna, basi na mwezio nae awe hana.

Hivi hizi pesa zinaitwa za Utekaji meli...zinafika kiasi gani...? Tuweni wakweli...?...kuna Kiasi wanachohitaji waporaji meli na Kuna kiasi halisi wanachopewa...!!!....Yule Mtanzania aliekuwa Jambazi kule London mbona hawasemi watanzania wote ni wezi...?

Unajua wakati wa Vita kunakuwa hakuna serikali ya kusimamia.Hivyo watu wanafanya biashara watakavyo. na si kusema eti wasomali wanafanya biashara haramu...Assume pale bandarini kungekuwa hakuna hakuna serikali/TRA...bei za vitu vingekuwa kama hizi za sasa?

Tuache Chuki na Hasadi zisizo na Maana. Sisi Watanzania tuna Uvivu na majungu miongoni mwetu. Hata ndugu zetu waliopo nje ya nchi wengi wao wapo hivyo. hawana business ya maana wanayofanya.

ndugu;

Inaonekana unafaidika sana na pesa za hawa wasomali maana mpaka umeona waTZ wenzako vilaza kwa sababu umefanywa kitwana wa wasomali!!

1. kwa hiyo kwanza tujue kwamba wewe ni msemaji wa wasomali...si ndio?

2. halafu tueleweshe ni wasomali wangapi ni wachacharikaji kutumia lugha yako. utawakuta wamekaa magenge tuu wanakula miraa, huo uhangaikaji wao wanaufanyia wapi na saa ngapi?

3. Kama wanaonekana hawana shughuli rasmi, hizo pesa zote wanazitoa wapi?

acha kutukana nduguzo kwa sababu tu unafaidika na hao wageni?

wewe usokuwa mvivu na usokuwa na majungu , tweleze umeifanyia nini nchi hii ... au ni kuwahudumia wasomali?
 
Karibuni wasomali,fungueni miradi ilitupate ajira, nani menye pesa halali hapa? Kama hata Mapadri wanashiriki boashara chafu sasa tattoo liko wapi? Acheni Wivu na majungu.
 
these somalis ni wabaguzi sana...,hata huku uk wanajifanya kujitenga na waafrika..na kwenye mitaa yao ni vurugu tupu..,hata Rageh omah wa aljazeera aliwahi kuwa na kipindi kinauliza....kwa nini vurugu zinawafuata wasomali...!!!!..so tanzania watch out..
<br />
<br />
Eh bwana eh, wasomali ni watu wenye umoja wakiwa ugenini na ni hard working. Ebu twambie huko UK waswahili wenzetu kutoka Karibiani waliwahi kukukaribisha mara ngapi manyumbani mwao, je hali yao kimaisha hikoje ukilinganisha na wasomali au wihindi ambao waliamia huko UK kwa wingi kuanzia mwanzoni wa miaka ya sabini lakini wako mbali sana kimaisha wakati wenzetu kutoka Karibiani wengi wao hoe hae na walihamia UK in ninteen 40s with equal oportunity kama wasomali na wahindi, sasa tujiulize tatizo letu waswahili ni nini? Jibu unalo ni: Uvivu kutaka maisha ya mteremko bila hard work, kuona wageni kama ni wezi wakiti wenzetu hawalali wanatafuta jinsi ya kukabili maisha na huwa na hulka ya kusaidiana sana kimaisha, sisi kazi yetu ni kulalamika na kuharibiana sifa! Soma thread nyingine humu baadhi niza kuhuzushi tu na kuchafuana kama hatutabadilika kimawazo na kujifunza kutoka kwa wenzetu wasomali, wahindi wazungu walio fanikiwa kimaisha basi tutabaki kulalama.
 
Back
Top Bottom