Maharamia wa Kisomali na majumba mapya Mbezi

Mods Unganisha mada hii na ile ya Mradi wa Majumba ya Kifahari yaliyotelekezwa Ununio/Tegeta/Mbezi
 
Heshima kwako Phillemon Mikael.

Mkuu nashukuru kwa mchango wako maridhawa.

Naomba kuweka kumbukumbu sawasawa natambua wapo baadhi ya Wazigua [si wadigo] waliokimbilia Somalia miaka mia moja iliyopita.Bahati nzuri nimekaa,nimezungumza nao kwa kirefu sana.Nilijaribu kufanya utafiti sababu ziliwafanya wahifadhi Lugha ya kizigua na Kiswahili kwa muda wote walikuwa Somalia [miongo kumi].Sababu kubwa ni ubaguzi waliokumbana nao huko Somalia hawakuruhusiwa kuona na wasomali wa asili.Nywele na pua zao zilikuwa kero kubwa.walionekana watu wa tabaka la chini kabisa.Hawakupewa fursa sawa na wasomali.

Nirejee kwenye mada husika nimesema natambua wako wazigua waSomali,Lugha hata maumbile yao hawana tofauti na wazigua wa Tanga.Mkuu kwenye msafara wa mamba kenge wapo.Wazigua wa asili ya Tanzania walirejea na waSomali wa asili ya Somalia kabisa hawa ndiyo nilikuwa nawazungumzia hawajui kiswahili wala kizigua maumbile yao ni kama waSomali unaowajua.Kambi ya wakimbizi Chogo inajua hilo waliwagwa kabisa kwasababu moja kubwa waSomali kwa maana ya waSomali haswa bado walikuwa na ndoto za kurejea Somalia hali ya amani na utulivu ikirejea ajabu idara ya wakimbizi kwa msukumo wa kigogo wa kisomali hila ilifanyika wakimbizi wote wakapewa uraia wa Tanzania.Asilimia kubwa ya waSomali wa asili ya Somalia kabisa wako mitaani wanajishuhulisha na uratibu wa kuwaingiza raia wa Somalia walioko Kenya na Somalia.

Mkuu ninaposema serekali ya Tanzania lazima ikae macho sitanii,wengi wamejiingiza vijiji vingine kuanzia Holili,Himo,Same,Hedaru,Makanya,Mombo,Korogwe,Segera,Kabuku,Mbwewe hadi Chalinze kazi yao kubwa nikuratibu wahamiaji haramu from Somalia na Kenya.Ukisikia wamekamatwa ujue kuna msomali mwenzao karushwa hela kaamua kurongosha Uhamiaji.
Binafsi nakupongeza kwa uzalendo huu mkubwa. Baadhi hawana Tabia ya kuangalia kesho itakuwaje, wao Kila Jambo wanaangalia sasa au Leo tu. Lakini wewe macho yako yamepenya na kuona athali za miaka 50 au 100 ijayo na kuiona Tanzania itakavyokuwa. Hongera Sana. Hatuna nchi nyingine zaidi ya hii ni lazima tuipiganie na kuitetea ikiharibika kuirejesha kama awali hatutaweza. Hongera Sana.
 
Huu ubaguzi mnaoufanya ndio huwq unaingiza Nchi kwenye machafuko.Hakuna athari yoote Kwa taifa la Tanzania kuwa na wasomali,mtu yeyote anawesa kuwa mbaya hata kama sio msomali.kuna mafisadi yanaiba mabilioni na hamuoni kuwa tatizo unawazodoa wasomali wanaojenga nyumba ya mil 400 au duka la electronics.?
 
Tatizo ni jinsia wanavyoingia nchini kwa njia zisizo rasmi na shughuli wanazofanya. MTU akizoea Kula kwa mtutu wa bunduki ataendelea tu, bila kujali ni wapi na Nani?. Kuhusu ubaguzi Mimi siungi mkono kwa kuwa hata Mimi sipendi kubaguliwa. Ila Tanzania Kwanza kabla ya chochote kingine.
 
Huu ubaguzi mnaoufanya ndio huwq unaingiza Nchi kwenye machafuko.Hakuna athari yoote Kwa taifa la Tanzania kuwa na wasomali,mtu yeyote anawesa kuwa mbaya hata kama sio msomali.kuna mafisadi yanaiba mabilioni na hamuoni kuwa tatizo unawazodoa wasomali wanaojenga nyumba ya mil 400 au duka la electronics.?
Tatizo Wasomal wana historia mbaya. Tuwe makimi tusije kuwa kama Kenya
 
Wakuu tupeane habari mabayo imekuwa minong'ono ya chini chini kwa muda mrefu hapa Dar.

Pamekuwapo na "uwekezaji" usio wa kawaida kutoka ndugu zetu wa Kisomali katika jiji la Dar es salaam kwa muda sasa.

Sehemu za Mbezi kuna nyumba, zenye nakshi ambazo kimsingi ni za kiarabu, ambazo zimekuwa zinaota kama uyoga.

Miradi kama Ununio development,TANSOMA na hata jengo moja refu hapo Mbezi ni za raia wa Kisomali.

Tusisahau hata Paradise chain.

Ni vyema kukaribisha uwekezaji , lakini je kuna uhusiano wowote na pesa haramu za maharamia wateka meli?

Nauliza tu.
WASOMALI WAMEPIGANIA UHURU WA NCHI HII ...wanahaki kama raia wengi ..pale makumbusho ya taifa kuna Land Rover 109 uliza ni ya nani na historia yake ilikuwa nini .... WACHAGA,..WASUKUMA,..WASAMBAA,..WAGOGO,..WAHAYA,..WAPARE,..WAFIPA,...WAHEHE wapo maharamia zaidi ya Wasomali ....changia vitu vya faida sio ubaguzi ...GENEVA imejengwa na fedha zilizoibiwa Africa ...unongea nini
 
Back
Top Bottom