Maharamia wa Kisomali na majumba mapya Mbezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maharamia wa Kisomali na majumba mapya Mbezi

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Lole Gwakisa, Jun 9, 2011.

 1. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Wakuu tupeane habari mabayo imekuwa minong'ono ya chini chini kwa muda mrefu hapa Dar.

  Pamekuwapo na "uwekezaji" usio wa kawaida kutoka ndugu zetu wa Kisomali katika jiji la Dar es salaam kwa muda sasa.

  Sehemu za Mbezi kuna nyumba, zenye nakshi ambazo kimsingi ni za kiarabu, ambazo zimekuwa zinaota kama uyoga.

  Miradi kama Ununio development,TANSOMA na hata jengo moja refu hapo Mbezi ni za raia wa Kisomali.

  Tusisahau hata Paradise chain.

  Ni vyema kukaribisha uwekezaji , lakini je kuna uhusiano wowote na pesa haramu za maharamia wateka meli?

  Nauliza tu.
   
 2. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ee bana ee
  Tujuze kama ndo Al shabab hao ndani ya bongo.
   
 3. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,807
  Likes Received: 1,142
  Trophy Points: 280
  na hao ndio wanawafanya kina kitomai kuja na bei za ajabuajabu za nyumba
   
 4. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,132
  Likes Received: 2,157
  Trophy Points: 280
  Wacheni kuja na hoja za kijinga... mlianza na waarab mkaja wahindi sasa mmewavamia wasomali wasio na nchi yenye amani? fanyeni kazi uvivu muache uvivu... pesa zenu kwani hizo? zenu mmeshindwa kuwapokonya mafisadi mwazionea gere za wenzenu wacheni kumwaga mapovu...
   
 5. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  nchi yetu unakuja mikono mitupu kama muwekezaji,unaondoka na utajiri na fedha za fidia za kesi.viwanja vya wasomali ununio vipo ktk stock exchange ya uk!
   
 6. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Jamani tuache kukurupuka Paradise group wapo zaidi ya miaka 30 na Tansoma pia yakwao,lile jumba refu Mbezi ni la raia wa Djibouti na pia kuna wawekezaji wa Kisomali raia wa Ulaya na Marekani wanaowekeza nchini kwakuwa hawana nchi ya kuwekeza kwao kwa sababu ya vita.Hawa ni wakuwasifu kwa kuchagua nchi yetu kuwekeza.Ni kweli wameona kuna faida katika kujenga majumba ya kuishi.
   
 7. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Watanzania tunatatizo la kutotaka kufanya utafiti kwa yale tunayoyaona/kuyasikia.
  Kuwa ule mradi Ununio upo katika Stock Exchange UK haimaanishi kuwa hakuna money laundering haifanyiki.
  Usidhani hawa jamaa ni wajinga.
  Umetembelea mradi hivi karibuni baada ya uharamia kudhibitiwa Indian Ocean?
  Ni wazi fedha inayoingia hapo imepungua na mradi umedorora, licha ya Stock Exchange ya UK.
   
 8. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Ni kweli ni vizuri kuattrack investors kutoka sehemu zingine duniani.
  Uzuri wa hawa ndugu zetu Wasomali wanafanya real Invest ment tofauti na wale Wataliani wa Mafia na uwekezaji wa hoteli za makuti kule Zanzibar.
  Check your facts mzee na tafuta common denominator kwa hao ulio wataja
  Paradise group ni ya msomali aliyekuwa waziri huko miaka mingi iliyopita.
  Ghorofa refu la Mbezi ni la msomali ambaye ni balozi wa heshima wa Jibuti.
   
 9. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 251
  Trophy Points: 180
  Ukienda Kariakoo, utapata kujua nini maana ya pesa za piracy....kuna mfumuko wa maduka ya electronics wa ajabu!!
   
 10. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #10
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,850
  Likes Received: 2,425
  Trophy Points: 280

  Hizi tetesi zipo kwenye circle za watu wa Intelligence...hasa zinatokana na kukamatwa kwa maharamia wa kisomali ...mwanzoni mwa mwaka huu kwenye pwani ya Mtwara baada ya mapigano na JWTZ Navy..na wale waliokamatwa kimya kimya Mafia baada ya kuwa wameishiwa maji na chakula deep sea.....kwenye mahojiano na watu wa TISS na jwtz.....jina la Mohamed N....r ...,lilitajwa .....kama moja ya GOD FATHERS wao hapa....huyu jamaa yupo connected kwenye jeshi ..na huko Tiss...,baada tu ya hizi tetesi kumfikia ....aliamua kubandua bango la TANSOMA kwenye hotel yake ya Gerezani....

  Uharamia ni biashara kubwa sana kwa sasa..hutaamini hadi uingereza kuna ofisi ya ku deliver Ransom money kwa maharamia na hata Mi2 na scotland yard wanajuwa......hapo Kenya imekuwa ni moja ya source kubwa sana..ya FDI......mimi nadhani kwa nchi maskini kama zetu tubakie na msimamo kuwa Kiingiacho sio haramu bali kitokacho....kama ni majumba waacheni wajenge...mona uingereza inahifadhi pesa za rushwa toka Afrika....

  Pia watu wanaotuhumiwa kuwa nao tuwe makini sana nao hasa pale tunapowashirikisha kwenye kufanya kazi na serikali...itaonekana kama vile serikali inaunga mkono uharamia...at any given time idara zetu ziwaweke kwenye surveillance na wakipatikana na ushahidi wowote basi wapelekwe mahakamani....
   
 11. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  Bongo ni bongo lala, kila mgeni anakuja na kufanya atakalo
   
 12. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #12
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,850
  Likes Received: 2,425
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa SHAMO INDUSTRIES yupo cleared kwenye piracy..kwa muda mrefu sana amekuwa akifanya biashara ya kuuza viyoo na ujenzi toka enzi za mwalimu...at least you can trace his riches.. unlike Parads....
   
 13. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Asante Mkuu Philemon kwa info.
  Sisi wengine tumelifuatilia hili baada ya kutafuta viwanja kule beach ya Ununio na kupewa hizi stori.
  Kumbe kuna ukweli na chumvi ndani yake.
  All in all you are informative Big Up
   
 14. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #14
  Jun 11, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Heshima kwako Duduwasha,

  Mkuu ni vyema kama hujui jambo kaa kimya ujuzwe.
  Kusamabaratika kwa serekali ya Somalia mwanzoni lilionekana kama tatizo la Afrika au pengine tatizo la kikanda zaidi.Mashirika yote ya kijasusi ya nchi za magharibi yanatambua yalikosea sana Somalia sasa ni tatizo la kudunia linahitaji kushughulikiwa kimataifa tena kwa uangalifu wa hali ya juu sana.

  Mapato yatokanayo na utekaji wa meli yamemiminika eneo lote la Afrika mashariki,Kenya wamekuwa waanga wa mwanzo pengine sababu za kijiografia zilisaidia zaidi.Wasomali wamenunua maeneo sehemu mbali mbali kwa bei kubwa kwaajili ya ujenzi wa mahotels na majumba ya biashara.Benki kuu ya Kenya imekiri kuingia kwa fedha nyingi sana nje ya mfumo wake rasmi wa fedha.Tanzania nayo haikubaki nyuma miji ya Arusha,Tanga,Dar es Salaam imevamiwa na hizi fedha za uharamia.

  Zipo athari kibao ambazo nchi za EA zimeanza kuona moja kubwa nikitisho cha ugaidi kuongezeka matukio ya mlipukowa mabomu nchini Kenya na Uganda ni uthibitisho jinsi haliitakavyozidi kuwa mbaya siku za usoni.Wasomali wamefanikiwa sana kupenyeza wasomali wenzao ndani ya mfumo wa siasa na utawala nchini Kenya ili kulinda maslahi ya wasomali hasa kuwahakikishia usalama wa mali zao walizowekeza nchi humo.Tanzania imeanza kunyemelewa hasa kipindi hiki ambacho ombwe la uongozi/utawala limetamalaki.Kuna mikakati ya maksudi na siri ya kuwasaidia raia Tanzania wenye asili ya kisomali kukamata nafasi za uongozi ndani ya vyombo vya maamuzi.Ni rahisi sana kufanikisha mkakati wa aina hii kwasababu chaguzi zetu zimetawaliwa sana na matumizi makubwa ya fedha[hakuna udhibiti wa matumizi ya fedha]. Bashe Hussein,Aden Rage na A Kinana ni aina ya viongozi wanaowatumikia magaidi ya wa kisomali kwa kuwapatia mikakati mbali mbali eg kujipenyeza ndani ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama [miradi ya kiuchumi] tenda.Tanzania isipokuwa makini hakika uchaguzi wa mwaka 2015 idadi ya wabunge wasomali lazima itaongezeka maradufu kwakuwa tayari maharamia wa kisomali wanazo fedha za kuwafadhili.

  Kinana aliwahikushika wadhifa wa spika wa bunge la EAC,anajua nje ndani jumuiya hiyo inavyoendeshwa hivi sasa zipo juhudi na mikakati ya kuiingiza Somalia ndani ya EAC bila kujali sehemu kubwa ya Somalia inashikiliwa na wapinzani wa serekali.Watu wazima hawajawaza wasomali watakavyopata uwanja mpana [eneo la nchi za EAC] wa ugaidi.

  WaTanzania wenye asili ya Somalia ni tishio kubwa la usalama wa Tanzania na eneo lote la Afrika.
   
 15. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #15
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Asante Mkuu Ngogo,let sleeping dogs lie.
  Lakini kwa nchi yetu inabidi tuwe macho kwa influx hii ya pesa haramu, pesa ni tamu lakini hawa wasomali lazima wataunda utaratibu wa kuilinda pesa hiyo hapa nchini.
  Na hapo ndo nakubaliana na wewe kuwa vyombo vyetu viwe makini na long term repercursions za "uwekezaji" huu.
  Tusije sema hatukuliona hili, swala ambalo sasa lipo peupe kabisa.
   
 16. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #16
  Jun 11, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 1,998
  Likes Received: 955
  Trophy Points: 280
  ni kweli mkuu wale wa mafia walikamatwa kibahati tu....ila nenda isilii (east leigh) hapo nairobi ndo utajua nguvu ya hiyo ransom money..ila jamaa wanachokifanya watakuja kudominate east africa yote kwa huo ubabe wao tuweni makini.
   
 17. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Mji wa Mombasa nchi Kenya vijana raia wa kenya wenye asili ya kisomali wengi wamejiunga na jeshi la wapinzani wa serekali inayotambuliwa na AU kwa ujira wa chini ya dola u$ 50.Wengi wamekufa vitani kwasababu ya mafunzo duni na wakati mwingine maradhi.Vijana wengi hawana kazi wakidanganywa hata kwa maslahi duni ni rahisi kuhadaika.

  Tanzania Tanga kambi ya wakimbizi Chogo wilaya ya Handeni ina wakimbizi wengi wa kisomali cha kushangaza wote wamepewa uraia kwa mkupuo.Mlipuko wa mabomu nchi Kenya [stand ya bus Nairobi] ulifanywa na raia wa kisomali aliyepewa passport ya Tanzania kutokea kambi ya wakimbizi Chogo !!!!!!!!!!!!.

  Ninaposema Raia wa Tanzania wenye asili ya kisomali ni hatari sibahatishi hata kidogo.Mikakati ya kuwasafirisha,kuwahifadhi na kuwatafutia maeneo ya uwekezaji inafanywa na Wasomali wazawa wa Tanzania.
  .

   
 18. l

  lebadudumizi Senior Member

  #18
  Jun 11, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serekali inajua Maharamia ya kisomali yamejaa Tanzania tatizo wahusika wameshalamba kitu kidogo madhara yakitokea hakuna wa kulaumiwa.
   
 19. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye red ndugu, hili litafungua boksi zima la uozo ndani ya Uhamiaji na the Somalian connection.
  Siyo burewala accident kwamba sasa hivi Tanzania imekuwa route kubwa ya kupitisha wasomali kwenda kwingineko duniani.
   
 20. shanature

  shanature JF-Expert Member

  #20
  Jun 11, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 718
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  hawa jamaa ni hatari na wana hela nyingi,,,,,kuna ambao wapo maeneo ya kahama,,,,ni matajiri wa kupindukia,,,kuna wakati wanawatafutia passport na kuanza kazi za udereva katika kampuni zao ili hali hawajui kiswahili mpaka wanajua kiswa fresh,,,na wanaitambulisha kama watanza nia migration wanawaona kama hao watu ni salama kumbe laa wanapewa passport hapa na kujifunza vitu kidogo na kuondoka zao na kwenda nchi nyingine huku wakionekana kama ni watz
   
Loading...