Maharamia wa Kisomali na majumba mapya Mbezi

Wakuu tupeane habari mabayo imekuwa minong'ono ya chini chini kwa muda mrefu hapa Dar. Pamekuwapo na "uwekezaji" usio wa kawaida kutoka ndugu zetu wa Kisomali katika jiji la Dar es salaam kwa muda sasa. Sehemu za Mbezi kuna nyumba, zenye nakshi ambazo kimsingi ni za kiarabu, ambazo zimekuwa zinaota kama uyoga. Miradi kama Ununio development,TANSOMA na hata jengo moja refu hapo Mbezi ni za raia wa Kisomali. Tusisahau hata Paradise chain. Ni vyema kukaribisha uwekezaji , lakini je kuna uhusiano wowote na pesa haramu za maharamia wateka meli? Nauliza tu.
VIPI KWANI KUNA UHUSIANO WOWOTE KATI YA VATICAN NA KUNDI LA BIASHARA YA UMALAYA, MAUAJI na MADAWA YA KULEVYA, KUNDI LIITWALO MAFIA, AMBALO LINASEMAKANA LINAFANYA KAZI KWA KARIBU NA VATICAN.

NASIKIA HARUFU YA UDINI NA MADHARA YA MFUMO WA KIBAGUZI, UNAITWA MFUMO KRISTO, WATU AMBAO HUJIDAI LEO HII NDIO WENYE HAKI PEKE YAO YA ELIMU NA KUPENDELEWA, WAKATI WAKUDAI UHURU WALIKUA WANADHANI WANAVUNJA SHERIA YA KANISA KUDAI UHURU, KWANI WALIONYONGWA NI MOHAMMED ALLY KINJEKETILE, NA WENGINEO.
 
Sawa wakuu lakini fedha za uharamia baharini zinasafishwa bongo na kote afrika mashariki. Dar yanajengwa majumba na kuuzwa kisha fedha chafu inatoka nchi, hili msibishe. Kama nchi yetu inafaidika kwa fedha hizi chafu sina hakika.
 
VIPI KWANI KUNA UHUSIANO WOWOTE KATI YA VATICAN NA KUNDI LA BIASHARA YA UMALAYA, MAUAJI na MADAWA YA KULEVYA, KUNDI LIITWALO MAFIA, AMBALO LINASEMAKANA LINAFANYA KAZI KWA KARIBU NA VATICAN.

NASIKIA HARUFU YA UDINI NA MADHARA YA MFUMO WA KIBAGUZI, UNAITWA MFUMO KRISTO, WATU AMBAO HUJIDAI LEO HII NDIO WENYE HAKI PEKE YAO YA ELIMU NA KUPENDELEWA, WAKATI WAKUDAI UHURU WALIKUA WANADHANI WANAVUNJA SHERIA YA KANISA KUDAI UHURU, KWANI WALIONYONGWA NI MOHAMMED ALLY KINJEKETILE, NA WENGINEO.

Kazi ya Mohamed Saidi imeonekana
 
Last edited by a moderator:
Kazi ya Mohamed Saidi imeonekana

Kwani unayo historia tofauti ndugu yangu, Hebu tueleze. Hebu tutajie majina ya wale wapiganaji walionyongwa kule songea, hebu tutajie majina ya waasisi wa TAA na TANU. Hebu elezea kwa historia unayo jua wewe Mapadre na Maaskofu walioshiriki Harakati za kudai uhuru.
 
:focus::focus::focus:

VIPI KWANI KUNA UHUSIANO WOWOTE KATI YA VATICAN NA KUNDI LA BIASHARA YA UMALAYA, MAUAJI na MADAWA YA KULEVYA, KUNDI LIITWALO MAFIA, AMBALO LINASEMAKANA LINAFANYA KAZI KWA KARIBU NA VATICAN.

NASIKIA HARUFU YA UDINI NA MADHARA YA MFUMO WA KIBAGUZI, UNAITWA MFUMO KRISTO, WATU AMBAO HUJIDAI LEO HII NDIO WENYE HAKI PEKE YAO YA ELIMU NA KUPENDELEWA, WAKATI WAKUDAI UHURU WALIKUA WANADHANI WANAVUNJA SHERIA YA KANISA KUDAI UHURU, KWANI WALIONYONGWA NI MOHAMMED ALLY KINJEKETILE, NA WENGINEO.

Anzisha mada ya yale unayofikiria!!
 
Polisi wanawapitisha kwa ulaini sana tu. Wakiona wamezidiwa kete wanawachukua wamama wajane na maskini kuwafunga eti wamekula njama za kuwasafirisha wahamiaji haramu. Hivi mama mjane asiye hata na baiskel atakula njama na kumwingiza mhamiaji haramu nchini kweli? Huu usanii unachosha na tunaliuza jina la nchi yetu huku tukiwatesa na kuwanyanyasa watanzania wasio na hatia. Mungu atuhurumie kwani vilio vya hawa wamama vitaitafuna nchi hii na vizazi vyake.
 
Nairobi wameimiliki vya kutosha pia.
Na Nairobi tumeona jinsi wasomali hao ambao sasa ni Al Shabab, walivyoitia msuko suko Kenya.

Lakini wana usalama Kenya lazima wapongezwe kwa kazi nzuri y kudhibiti hali, ama ivyo wangeingia Tanzania kama mchezo.

Hata hivyo Tanzania itaingiliwa kwa ushiriki wa wanausalama waliopewa kitu kidogo kuuza nchi.
Hebu angalia makontena na makontena ya wakimbizi wanaofia nchini, hayo makontena HAYAKAGULIWI.
 
VIPI KWANI KUNA UHUSIANO
WOWOTE KATI YA VATICAN NA KUNDI LA BIASHARA YA UMALAYA, MAUAJI na
MADAWA YA KULEVYA, KUNDI LIITWALO MAFIA, AMBALO LINASEMAKANA LINAFANYA
KAZI KWA KARIBU NA VATICAN.

NASIKIA HARUFU YA UDINI NA MADHARA YA MFUMO WA KIBAGUZI, UNAITWA MFUMO
KRISTO, WATU AMBAO HUJIDAI LEO HII NDIO WENYE HAKI PEKE YAO YA ELIMU NA
KUPENDELEWA, WAKATI WAKUDAI UHURU WALIKUA WANADHANI WANAVUNJA SHERIA YA
KANISA KUDAI UHURU, KWANI WALIONYONGWA NI MOHAMMED ALLY KINJEKETILE, NA
WENGINEO.

nafikiri hakuna haja ya kuingiza udini hapa tujadili hoja muhimu kwa faida ya taifa achana na habari kijinga za utengano hii ni upeo hafifu na elimu duni
 
wakuu tupeane habari mabayo imekuwa minong'ono ya chini chini kwa muda mrefu hapa dar.

Pamekuwapo na "uwekezaji" usio wa kawaida kutoka ndugu zetu wa kisomali katika jiji la dar es salaam kwa muda sasa.

Sehemu za mbezi kuna nyumba, zenye nakshi ambazo kimsingi ni za kiarabu, ambazo zimekuwa zinaota kama uyoga.

Miradi kama ununio development,tansoma na hata jengo moja refu hapo mbezi ni za raia wa kisomali.

Tusisahau hata paradise chain.

Ni vyema kukaribisha uwekezaji , lakini je kuna uhusiano wowote na pesa haramu za maharamia wateka meli?

Nauliza tu.

mmhhhhh kweli isijekuwa ndiooo waleeeeee wezi wa magari....kule arusha ....
 
Heshima kwako Duduwasha,

Mkuu ni vyema kama hujui jambo kaa kimya ujuzwe.
Kusamabaratika kwa serekali ya Somalia mwanzoni lilionekana kama tatizo la Afrika au pengine tatizo la kikanda zaidi.Mashirika yote ya kijasusi ya nchi za magharibi yanatambua yalikosea sana Somalia sasa ni tatizo la kudunia linahitaji kushughulikiwa kimataifa tena kwa uangalifu wa hali ya juu sana.

Mapato yatokanayo na utekaji wa meli yamemiminika eneo lote la Afrika mashariki,Kenya wamekuwa waanga wa mwanzo pengine sababu za kijiografia zilisaidia zaidi.Wasomali wamenunua maeneo sehemu mbali mbali kwa bei kubwa kwaajili ya ujenzi wa mahotels na majumba ya biashara.Benki kuu ya Kenya imekiri kuingia kwa fedha nyingi sana nje ya mfumo wake rasmi wa fedha.Tanzania nayo haikubaki nyuma miji ya Arusha,Tanga,Dar es Salaam imevamiwa na hizi fedha za uharamia.

Zipo athari kibao ambazo nchi za EA zimeanza kuona moja kubwa nikitisho cha ugaidi kuongezeka matukio ya mlipukowa mabomu nchini Kenya na Uganda ni uthibitisho jinsi haliitakavyozidi kuwa mbaya siku za usoni.Wasomali wamefanikiwa sana kupenyeza wasomali wenzao ndani ya mfumo wa siasa na utawala nchini Kenya ili kulinda maslahi ya wasomali hasa kuwahakikishia usalama wa mali zao walizowekeza nchi humo.Tanzania imeanza kunyemelewa hasa kipindi hiki ambacho ombwe la uongozi/utawala limetamalaki.Kuna mikakati ya maksudi na siri ya kuwasaidia raia Tanzania wenye asili ya kisomali kukamata nafasi za uongozi ndani ya vyombo vya maamuzi.Ni rahisi sana kufanikisha mkakati wa aina hii kwasababu chaguzi zetu zimetawaliwa sana na matumizi makubwa ya fedha[hakuna udhibiti wa matumizi ya fedha]. Bashe Hussein,Aden Rage na A Kinana ni aina ya viongozi wanaowatumikia magaidi ya wa kisomali kwa kuwapatia mikakati mbali mbali eg kujipenyeza ndani ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama [miradi ya kiuchumi] tenda.Tanzania isipokuwa makini hakika uchaguzi wa mwaka 2015 idadi ya wabunge wasomali lazima itaongezeka maradufu kwakuwa tayari maharamia wa kisomali wanazo fedha za kuwafadhili.

Kinana aliwahikushika wadhifa wa spika wa bunge la EAC,anajua nje ndani jumuiya hiyo inavyoendeshwa hivi sasa zipo juhudi na mikakati ya kuiingiza Somalia ndani ya EAC bila kujali sehemu kubwa ya Somalia inashikiliwa na wapinzani wa serekali.Watu wazima hawajawaza wasomali watakavyopata uwanja mpana [eneo la nchi za EAC] wa ugaidi.

WaTanzania wenye asili ya Somalia ni tishio kubwa la usalama wa Tanzania na eneo lote la Afrika.
Bado unaamini Kinana, Bashe, Rage ET Al wanawatumikia magaidi wa Kisomali?
duh…..
 
Wakuu tupeane habari mabayo imekuwa minong'ono ya chini chini kwa muda mrefu hapa Dar.

Pamekuwapo na "uwekezaji" usio wa kawaida kutoka ndugu zetu wa Kisomali katika jiji la Dar es salaam kwa muda sasa.

Sehemu za Mbezi kuna nyumba, zenye nakshi ambazo kimsingi ni za kiarabu, ambazo zimekuwa zinaota kama uyoga.

Miradi kama Ununio development,TANSOMA na hata jengo moja refu hapo Mbezi ni za raia wa Kisomali.

Tusisahau hata Paradise chain.

Ni vyema kukaribisha uwekezaji , lakini je kuna uhusiano wowote na pesa haramu za maharamia wateka meli?

Nauliza tu.
Kwani meli gani imetekwa hivi karibuni?
 
Tusipuuze taarifa al shabab wakijenga hapa hapatatosha.
Kama ni mali halali itqjulikana.
 
Wacheni kuja na hoja za kijinga... mlianza na waarab mkaja wahindi sasa mmewavamia wasomali wasio na nchi yenye amani? fanyeni kazi uvivu muache uvivu... pesa zenu kwani hizo? zenu mmeshindwa kuwapokonya mafisadi mwazionea gere za wenzenu wacheni kumwaga mapovu...

Wewe msomali au
 
Back
Top Bottom