Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,726
- 2,255
- Thread starter
- #81
Hao ndio watu wanao yatazama matumbo yao kabla ya Taifa, na ni kama nilivyoainisha hapo juu.Wapo wengi tu lakini hawafiki mbali.Naomba kukumbushwa hawa wabunge wa jamhuri ya muungano waliothibitishwa kufacilitate usafirishaji wa akina mama wa kisomali kwenda ulaya(germany) kwa kufunga nao ndoa fake na kupewa diplomatic pasport, je waheshimiwa hao wana asili ya somakia?
Ni vyema wadau wenye data wakatujuza majina na sijui wako wapi sasa.(ninachojua walikuwa Wazanzibari)