Mahali Pazuri kwa Ajili ya Dinner (Outing)

Niliwahi kusoma na watu wa design yako they are always primitive ila wakija kuonja maisha haya huchanganyikiwa kabisa yaani wanakuwa malimbukeni kwisha kazi!
Mimi nimepita huko kote kabla ya wewe kuona huko, lakini siwezi kulisha gf wangu hata siku moja, nalisha mke wangu tu.

GIRL FRIEND, nampa uji ORIGNAL tu unamtosha, unataka nimlishe bado...wengine tulikuwa tunalipwa na ma gf kama hamjui, unamfurahisha gf wako kitandani akitoka pale anasema hivi; unforgettable day of my life, sio kwenda mlisha nje :biggrin:
 
mkuu 50 haitoshi kwa dar. utajibanabana sana. sasa hivi bia 3000. bia kumi tu 30 imeisha. hata kama unakula k'moto sasa hivi ni elf 10. msosi mzuri 10000 wastani. dah! tafuta sehemu ya kawaida tu sio lazima uende seacliff. kama huna usafiri wako utahangaika ndo maana twapenda lunch.
kama dada ni mstaarabu zinatosha sana.
plate mbili ni 20-30,000 na the rest vinywaji/desert.
we mwambie tu sehem nzuri ya kwenda.
 
Wahabeshi siku hizi wamekuwa hawana thamani tena dogo,hivi wewe uko dunia ya wapi, hao walikuwa na thamni pale walikuwa hawajazagaa...siku hizi wamezagaa kila kona wanapatikana, afu hao ndo hawajui kabisa mapenzi wao ni pesa tu, si bora uchukue mchaga :biggrin:

Habari za baridi fazaaa...karibu...mjini toka 2009 bado una ufikiri kama huo...kaaa na mkeo...mle tembele.
 
Hata Quality Center Nyerere Road Lemon Tree ipo, tena ukimaliza Dinner humo humo unapandisha floor ya kwanza unakula kilaji chako Savanna Longe na Big sound ya uhakika.
Ndio maana nimependa kujuwa hii mutu inatokea mitaa gani?

SL noise nyingi labda aingie VIP Lounge.
 
mmmh,wengine mna waarabu,wengine mna wahabeshi.hizo sehemu na mimi nimesha zi note.nitajipa raha mwenyewe na mashostito wangu.jamani kwani kuna ubaya gani aki m treat muarabu wake?hata kama akiliwa is part of life.mara moja moja ku enjoy raha sio vibaya.mradi unajikuna unapojipata.na kila mtu anaishi anavyopenda yeye.
 
U will never regreat!.....
Everything is under one loaf.

kizungu matola kizunguuuuuuuuuuuuuuuu

mwaya mleta mada sea cliff patawafaa,
hata anaposema matola ni pazuri, tena mnaweza pata dinner, then mkaingia movie halafu mkatafuta ratiba nyingine
 
Wadau,

Hivi karibuni nitakuwa na kideti cha dinner na shemeji yenu mtarajiwa. Nahitaji sehemu nzuri, romantic kwa ajili ya tukio hapa Dar. Nimeshawahi kwenda dinner sehemu tofauti tofauti, but I think pengine kuna mahali pazuri zaidi ambapo sijawahi kwenda.

Sehemu iwe imetulia na isiyokuwa na watu wengi. Pombe si lazima. Budget ni up to 20,000 - 50,000 for dinner ya watu wawili.

I am looking for a gud start!

Ram

kama ni first date na unatumia usafiri wa jumuia tafuta sehem iliyokaribu na kwao na iliyo simple mfuraie maisha inatosha hii itakusaidia wakati wa kumrudisha home hvamchosha na hadha ya usafiri usijikamue/jitutumie saana.. Kitu kinapendeza kikifanywa kwa wastani... Kama mlishaonana na unaish peke yako ukimkaribisha kwako mkapika mkala hapo kwako huku mkitaniana na kuchezeana...naona itapendeza.
 
Mimi nimepita huko kote kabla ya wewe kuona huko, lakini siwezi kulisha gf wangu hata siku moja, nalisha mke wangu tu.

GIRL FRIEND, nampa uji ORIGNAL tu unamtosha, unataka nimlishe bado...wengine tulikuwa tunalipwa na ma gf kama hamjui, unamfurahisha gf wako kitandani akitoka pale anasema hivi; unforgettable day of my life, sio kwenda mlisha nje :biggrin:

Hivi wewe mbona kichwa boga namna hiyo, kwa akili kama zako hujapita sehemu yoyote kwa maana ya mitoko labda umeishia kula pilau za hitima kwa kuimba kashida

Jamaa ameshakwambia shemeji yetu mtarajiwa au unataka hadi aoteshwe kuwa huyu ndo mke ndo aanze mitoko?, maana yake kubwa ni kupata wasaa ambao watapata sehemu ambayo wata-concetrate ku-discuss issue zao muhimu ikiwa ni pamoja mipango ya baadae.
Unahitaji maombi wewe si bure!
 
Habari za baridi fazaaa...karibu...mjini toka 2009 bado una ufikiri kama huo...kaaa na mkeo...mle tembele.
Baridiiiiiii kwani tuko Siberia, na wewe toka 2007 una mawazo kama hayo yakuliwa pesa na mwanamke ambae sio mke wako, sijui ukifika wakati wakuwa na mke wako...utakuwa na uwezo tena wakumlisha.
 
jamani naona hamajasoma bajeti yake iko vp,kama ana 50 bora aende sehem ya kawaida ambayo ina mchemsho,na hiyo itatosha kama mwanamke hanywi pombe,sababu matumizi yenye pombe ukiwa na kilo tu utaitumia kwa kujibana,kuna sehem nyingi tu za kawaida,angalia na eneo unalokaa.
 
Mimi nimepita huko kote kabla ya wewe kuona huko, lakini siwezi kulisha gf wangu hata siku moja, nalisha mke wangu tu.

GIRL FRIEND, nampa uji ORIGNAL tu unamtosha, unataka nimlishe bado...wengine tulikuwa tunalipwa na ma gf kama hamjui, unamfurahisha gf wako kitandani akitoka pale anasema hivi; unforgettable day of my life, sio kwenda mlisha nje :biggrin:

Afu inaonesha unapenda sana kulelewa dogo, utarukwa ukuta ohhh!!!!
JITAMBUE
 
Hivi wewe mbona kichwa boga namna hiyo, kwa akili kama zako hujapita sehemu yoyote kwa maana ya mitoko labda umeishia kula pilau za hitima kwa kuimba kashida

Jamaa ameshakwambia shemeji yetu mtarajiwa au unataka hadi aoteshwe kuwa huyu ndo mke ndo aanze mitoko?, maana yake kubwa ni kupata wasaa ambao watapata sehemu ambayo wata-concetrate ku-discuss issue zao muhimu ikiwa ni pamoja mipango ya baadae.
Unahitaji maombi wewe si bure!
dogo unajua siku zote ukweli unauma naona unakimbilia sasa mambo ya pilau za hitima sijui ulikuwa umepanggwa kwenye foleni!

Shemeji mtarajiwa sio mke hana uhakika kama atakuwa mke wake, afu mambo ya kuombewa itabidi wakuombee wewe kwanza, mana nadhani una experiance nayo.
 
Afu inaonesha unapenda sana kulelewa dogo, utarukwa ukuta ohhh!!!!
JITAMBUE
dogo siku zote aliye rukwaa ukuta anashakia na wengine wameisha rukiwa....pole sana sikujua kama unagonjwa lisio tibika, nenda kawalishe ma gf kama unao na pia na wasi wasi watu kama wewe ni vigumu kuwa na gf, kama unaoa labda wale wa show off atleast uonekana na wewe dume angalau.

Wanaume wengine hupenda kujionyeshi wao wanaume...hizo show off zenu zina mwisho wake, kama una dada Im looking for a second wife, afu umulize kama niko kama unavyo sema atakupa jibu.

dogo ukijidai muhuni wa kutuukana hapa ujuwe nilisha maliza uhuni wote, itabdi utafute watu kumi wengine wakusaidie, au uombe msada kwa moderator mana hunitishi takuweka sawa tu :biggrin:
 
Mimi nimepita huko kote kabla ya wewe kuona huko, lakini siwezi kulisha gf wangu hata siku moja, nalisha mke wangu tu.

GIRL FRIEND, nampa uji ORIGNAL tu unamtosha, unataka nimlishe bado...wengine tulikuwa tunalipwa na ma gf kama hamjui, unamfurahisha gf wako kitandani akitoka pale anasema hivi; unforgettable day of my life, sio kwenda mlisha nje :biggrin:

afu we jamaa sijui una nini? Mshariii.. Ngoja nikwambie PESA ni makaratasi tu ukitia moto zinaungua... Chakula ni mavi tu ya baadae.. Acha kumaind vitu vidogo kama pesa ipo kaka tumia.. Ila usifanye kufuru hilo ndo la msingi kumfurahisha mwenzio mtarajiwa kwa kumfanyia mambo mazuri ruksa.. Hata dini zinaruhusu isipokuwa kukaa faragha..
 
Baridiiiiiii kwani tuko Siberia, na wewe toka 2007 una mawazo kama hayo yakuliwa pesa na mwanamke ambae sio mke wako, sijui ukifika wakati wakuwa na mke wako...utakuwa na uwezo tena wakumlisha.

Ha ha ha....unavyoandika....week end yangu mbona raha...namaliza kuogerea hapa...zanzibar beach resort niangalie ustaarabu wa double tree au ningwi beach...kwenda kule tu tax dola 40 kwenda na kurudi na tip kwa tax driver 100...sijanywa mpaka kulewa kurudi town disco pale kati...kesho dar...mambo ya sijui nikioa mbele kwa mbele..

Tunza sasa hizi pesa sasa usubiri mkeo ukamtoe out....siju lini....
 
wengine tulikuwa tunalipwa na ma gf kama hamjui, unamfurahisha gf wako kitandani akitoka pale anasema hivi

Holy mother of God, I near had heart attack nimesoma sentence hii...... sikujua wewe ..... kumbe ni ajira yako kuwalala wadada na kukulipa kama kule mombasa na wataliii eish...nimepoteza mdua sana kujibizana na wewe hatuko level moja....
 
afu we jamaa sijui una nini? Mshariii.. Ngoja nikwambie PESA ni makaratasi tu ukitia moto zinaungua... Chakula ni mavi tu ya baadae.. Acha kumaind vitu vidogo kama pesa ipo kaka tumia.. Ila usifanye kufuru hilo ndo la msingi kumfurahisha mwenzio mtarajiwa kwa kumfanyia mambo mazuri ruksa.. Hata dini zinaruhusu isipokuwa kukaa faragha..
Hapana mimi si mshari hapa kila mtu anatoa mawazo yake.

Please usiweke dini hapa, hakuna dini inaruhusu ukalishe gf wako nje au mke mtarajiwa...hebu nipe kitabu gani kimeruhusu.
 
Back
Top Bottom