Mahali Pazuri kwa Ajili ya Dinner (Outing)

Mbona kama ugomv jaman:bump2:
Ugomvi gani, mbona mnakuwa hamtaki kufahamu....Kama kuna mmoja anasema eti sina pesa na hata shiling tano sina mfukoni...kwani tunashindana hapa kuonyesha na nani anapesa....wenye pesa huwa hawasemi na malimbukeni wakipata tu dunia nzima inajua.....hapa kila mtu ana mawazo yake....Mnataka kutulazimisha tulishe watu sio wake zetu :whoo:
 
Mpeleke Kwetu Pazuri bar tabata.Mkimaliza kula gesti za bei nafuu zipo jirani tu
 
Back
Top Bottom