Mahali Pazuri kwa Ajili ya Dinner (Outing) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahali Pazuri kwa Ajili ya Dinner (Outing)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ramthods, Mar 3, 2012.

 1. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Wadau,

  Hivi karibuni nitakuwa na kideti cha dinner na shemeji yenu mtarajiwa. Nahitaji sehemu nzuri, romantic kwa ajili ya tukio hapa Dar. Nimeshawahi kwenda dinner sehemu tofauti tofauti, but I think pengine kuna mahali pazuri zaidi ambapo sijawahi kwenda.

  Sehemu iwe imetulia na isiyokuwa na watu wengi. Pombe si lazima. Budget ni up to 20,000 - 50,000 for dinner ya watu wawili.

  I am looking for a gud start!

  Ram
   
 2. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nenda Spar pale Sea Cliff patakufaa na Budget uliyonayo inaruhusukabisa kujimwaga na Tip unaweza kutoa kwa Waiter atakaye kuhudumia.
  Mimi mwenyewe leo nikakuwa hapo na wageni wangu kwa ajili ya Dinner.
  Nakutakia kila la heri.
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Nijibu maswali haya ili nikushauri.
  1. unaishi maeneo gani hapa DSM?
  2. Unamiliki angalau kimkweche au unatumia public transport/ Tax?
   
 4. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mtoko wako wa mida gani kwanza?

  Unataka Dinner kula msosi? au kula msosi then kuelekea kwenye starehe za late late?
   
 5. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mambo ya kumlisha mwanamke nje mbona yamepitwa na wakati dogo.

  Wewe uko dunaini gani dogo, siku hizi wanawake wanatazama figa zao hawataki kula sana, wao wanataka frut salad na umpigishe exercise hapo atakuganda...kwenda sijui kwenye ma restaurant au kujishow off mahotelini, hapo ndo anapo anza kukuona wewe ni muaza magazeti tu, atakuona kama wale wanao penda kujisifia kama ana gf siku hizi.
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Kama maneno yako yana ukweli basi Wazungu ndio wamepitwa na wakati kabisaaa!! kumbe nilikuwa sijui kama sisi tunakwenda na wakati kuliko Wazungu!!
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  I love this t-shirt

  [​IMG]
   
 8. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Angalia unakotoka na unakotaka kwenda kwa hy bajeti isije kuwa usafiri ni ghali kuliko msosi so kama unatokea mbali mpeleke kwenye hotel ama baa iliyo jirani apate mchemsho wa muathirika
   
 9. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Nakwazika sana na wenye ku-criticize mambo kama ulivyo wewe!
  Kumsaidia mtu ni kumkosoa na kumwonesha namna sahihi ya kutekeleza jambo hilo,
  Bila kufanya ivo ni unakuwa hujamsaidia na zaidi unaonesha udhaifu katika kukabiliana na mambo kitu ambacho si sahihi kwa Great thinker kama wewe.
  Funguka......!
   
 10. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hivi wewe unadhani wazungu wanaenda na wakati, kama unadhani vile pole sana.
   
 11. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Matatizo yenu mnadhani kulisha mwanamke nje ndo maendeleo, mtaendelea kuwalisha na hamtapata kitu...poleni sana.
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Mpaka hapa umeshapoteza Credibility ya kufanya Argument na mtu yeyote mwenye akili timamu, mimi sio mahoka sina muda wa kubishana na mtu asiyejuwa hata anachokiongelea ni kitu gani!!
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Mar 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Lemon Tree pale posta ndani ya jengo la Benjamini Mkapa pametulia sana.
   
 14. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  dogo wewe unadhani akili kula nje, kale nje na mimi naona kula nje sio akili, wewe kalishe gf afu akupige mateke wengine waje wajilie bila hata bila ya kumlisha nje.

  Laizma uwe mkali mana ndo dalili zinaonyesha umezoea kuliwa pesa zako nje kila siku na unatoka kapa!

  Kwanza kama wewe una akili kama unavyo dai utamlsiha mtu ambaye hana njaa!

  Kama wewe una akili umewahi kumlsiha mama yako aliye kuzaa kwenye hoteli au restaurant za kifahari ? sidhani!

  dogo nenda kajifunze nini mana ya kupenda, kupenda sio kumpeleka mwanamke kwenye mahoteli ya kifahari au kumlisha kwenye ma restaurant ya kifahari....kwanza huyo sio mke wako, pili huyo kama si mke wako vipi mwanamke anaheshima zake akubali kuepelekwa kulishwa, kwani yeye masikini na akawe sinema mbele za watu, wakati bado sio mke wako!

  Kama umeowa sawa hatukatai ukimtoa wife out mara moja moja, lakini hujaoa na mwanamke hajaolewa huo ni ujinga na wala sio akili :biggrin:
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Hata Quality Center Nyerere Road Lemon Tree ipo, tena ukimaliza Dinner humo humo unapandisha floor ya kwanza unakula kilaji chako Savanna Longe na Big sound ya uhakika.
  Ndio maana nimependa kujuwa hii mutu inatokea mitaa gani?
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hhmm. . . I haven't been to that one yet, but i'll take your word for it. Acha mshkaji aende mbali kidogo na nyumbani akabadilishe mazingira.
   
 17. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Hizi stress zitakuuwa mapema, u will die young, umri huo kama unakuwa na akili za kijinga kama hizo basi ukifanikiwa kufikisha miaka 40 ni lazima uwe mchawi.
  Mimi saa hivi ninavyobofya hii keyboard nataka niingie bafuni sasa hivi nipige shower na ratiba yangu ya leo ni hii hapa:

  Nawasha mkweche wangu moja kwa moja mpaka kwenye appartment ya mrembo wangu wa Kiarabu nampick mpaka Masaki kwenye mishikaki ya Samaki then tunakwenda Cinema Quality center, baada ya movie kuisha tunashuka flow ya chini tunaingia Lemon tree, pale tayari itakuwa ni usiku, kunakuwa na live jazz music, basi hapo ndio dinner yangu ya leo na mrembo wangu wa kiarabu itakapolika. baada ya msosi na kusikiliza Jazz za kutosha then tutapandisha ngazi ndani ya Savanna Lounge na kuanza kula beer kwa kwenda mbele na Disco zito la uhakika mpaka majogoo.
  Wewe endelea kuishi na stress zako tu, na kwa yule mwana JF atayependa kuonana na Matola live leo awe makini kuangalia ni meza gani ina binti wa kiarabu anaepiga Wisky.
   
 18. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #18
  Mar 3, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,834
  Likes Received: 1,999
  Trophy Points: 280
  .... ukiniazima tochi mchana haitanisaidia ....= hizo gharama unazoa-anza naye uwe tayari baadae kumuacha atafunwe na wengine pindi utakapokumbwa na economic crunch.....unajitutumua mpaka twenty to fifty....tchao
   
 19. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #19
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  U will never regreat!.....
  Everything is under one loaf.
   
 20. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #20
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Amekwapua Housegirl wake huyu....teh
   
Loading...