Mahali Pazuri kwa Ajili ya Dinner (Outing)

.... ukiniazima tochi mchana haitanisaidia ....= hizo gharama unazoa-anza naye uwe tayari baadae kumuacha atafunwe na wengine pindi utakapokumbwa na economic crunch.....unajitutumua mpaka twenty to fifty....tchao
Hizi ni akili za kishamba na za kichawi, what if kama baadaye uchumi wake ndio utazidi kuimarika maradufu!! Losers.
 
Hizi stress zitakuuwa mapema, u will die young, umri huo kama unakuwa na akili za kijinga kama hizo basi ukifanikiwa kufikisha miaka 40 ni lazima uwe mchawi.
Mimi saa hivi ninavyobofya hii keyboard nataka niingie bafuni sasa hivi nipige shower na ratiba yangu ya leo ni hii hapa:

Nawasha mkweche wangu moja kwa moja mpaka kwenye apartmetment ya mrembo wangu wa Kiarabu nampick mpaka Masaki kwenye mishikaki ya Samaki then tunakwenda Cinema Quality center, baada ya movie kuisha tunashuka flow ya chini tunaingia Lemon tree, pale tayari itakuwa ni usiku, kunakuwa na live jazz music, basi hapo ndio dinner yangu ya leo na mrembo wangu wa kiarabu itakapolika. baada ya msosi na kusikiliza Jazz za kutosha then tutapandisha ngazi ndani ya Savanna Lounge na kuanza kula beer kwa kwenda mbele na Disco zito la uhakika mpaka majogoo.
Wewe endelea kuishi na stress zako tu, na kwa yule mwana JF atayependa kuonana na Matola live leo awe makini kuangalia ni meza gani ina binti wa kiarabu anaepiga Wisky.
Ndo sikushangaa kuona una mtoto wa kiarabu anapiga wisky, mana hao walisha pewa lana na wazee wao :biggrin:
 
Wadau,

Hivi karibuni nitakuwa na kideti cha dinner na shemeji yenu mtarajiwa. Nahitaji sehemu nzuri, romantic kwa ajili ya tukio hapa Dar. Nimeshawahi kwenda dinner sehemu tofauti tofauti, but I think pengine kuna mahali pazuri zaidi ambapo sijawahi kwenda.

Sehemu iwe imetulia na isiyokuwa na watu wengi. Pombe si lazima. Budget ni up to 20,000 - 50,000 for dinner ya watu wawili.

I am looking for a gud start!

Ram

Acha kujishaua dogo.,mpigishe kiepe-yai then ingia nyumba ya wenyeji iliyokaribu ukamilishe mchezo fastaaa, hayo mambo ya dinner utaumia bure tu na utaishia kutoka bila bila huku wenzako wakijilia mzigo bila kutoa hata senti.
 
kaka ................stress za nini mapema ....mpeleke kwa kitimoto na ndizi mbili ............tosha hali ngumu ya uchumi kaka huyo huyo atataka mengine baada ya kula nayo gharama maradufu ..............................
 
Nenda Zamani Kempinski, Zanzibar. kama ni first Date jaribu kuwa tofauti, Toka nje ya Dar.
 
Matatizo yenu mnadhani kulisha mwanamke nje ndo maendeleo, mtaendelea kuwalisha na hamtapata kitu...poleni sana.

Yote usemayo sijakataa isipokuwa ningekuelewa vema kama baada ya kuona hili ni tatizo unetoa njia mbadala ili criticizing yako iwe ma mashiko, otherwise hakuna maana ya kumpiga jamaa!
 
OK hizi ni point zangu....Point ya kwanza; Una mke anaenda kula naye nje, ana kuja shemeji yako anawakuta nadhani atakuwa very happy au vipi.

Point ya pili unachukua dada wa mtu ambaye si mke wako, anakuja kaka yake hapo utajibu nini, je kwenye restaurant wacha kukutana tu na kaka yake tu, unakutana wa watu wangapi? Una hakika atakuwa mke wako huyo siku za mbele? Mhhhm sidhani.

Kwanza hata kama atakuwa mke wako, utakuwa unajiuliza kabla ya kuwa mke wangu alikuwa aanatoka na mimi hivyo hakuwaogopa wazazi wake, akatoka na wewe bila kuogopa reputation yake, atakuja kukuogopa wewe asichukuliwe na wanaume wengine siku za mbele :biggrin:
 
punguza jazba kaka, nimetoa angalizo tu
Hawa wameisha liwa pesa sana na wataendelea kuliwa pesa, sasa wao wanadhani kujionyesha unapesa ndo mapenzi washamba kweli kweli wa mapenzi.

We huoni aliye kujibu kaona kuwa na msichana wa kiarabu ni big deal, hajui kila kabila kuna malaya :biggrin:
 
We ndio kiazi kweli kweli...yaani umetumia mda wako kuandika ***** huuu....unaita point...wapi matola angalia hii mtu....tumia pesa zikuzoee wewe...utakuwa unasikia tu sehemu nzuri.....mida mida mie ntakuwa zanzibar beach resort
kwenye swimming na mtoto wa kihabeshi....ukiona savannah karibu na pool just i am in.....asubuhi sana first coastal flight niko dar...naenda pande za Quality center kama alivyo eleza Matola.
 
Watu wenye akili za category hii, usitarajie kuwaona hata kwenye vi outing simple tu kama hivi vya kupunga upepo na kula miogo ya kukaanga na soda/ juice pale Coco Beach.

TA-DA-beach-0009_medium.jpg
 
FYI mimi natumia pesa sana kufurahisha mke wangu na watoto zangu, hizo pesa za kulisha gf ni bora nikasaidie masikini nitolee zakaa pesa zangu...siku tamlsiha mwanamke nje ambaye si mke wangu, basi huyo lazima katumia dawa za kuharibu tu akili zangu.

Ukiniona na mwanamke nje na mlisha sio mke wangu, basi niombee duwa nirudishe akili zangu, mana zitakuwa zimepotea :biggrin:
 
Hawa wameisha liwa pesa sana na wataendelea kuliwa pesa, sasa wao wanadhani kujionyesha unapesa ndo mapenzi washamba kweli kweli wa mapenzi.

We huoni aliye kujibu kaona kuwa na msichana wa kiarabu ni big deal, hajui kila kabila kuna malaya :biggrin:

Unakosea unaposema nimeshaliwa sana pesa, ni kwamba hapa ninapozungumza tayari nimeshachange dollar 200 for tonight only na ATM card inapumuwa just incase kama wallet itakuwa flat, maana Savanna Lounge ni lazima nitakutana na Colegues wengi.
Wewe endelea na weekend zako za kula supu ya Makongoro na vipapatio vya kuku na bia za buku buku kwenye makambi ya jeshi. tuache sisi Mafala tuendelee kula good time.
 
mkuu 50 haitoshi kwa dar. utajibanabana sana. sasa hivi bia 3000. bia kumi tu 30 imeisha. hata kama unakula k'moto sasa hivi ni elf 10. msosi mzuri 10000 wastani. dah! tafuta sehemu ya kawaida tu sio lazima uende seacliff. kama huna usafiri wako utahangaika ndo maana twapenda lunch.
 
We ndio kiazi kweli kweli...yaani umetumia mda wako kuandika ***** huuu....unaita point...wapi matola angalia hii mtu....tumia pesa zikuzoee wewe...utakuwa unasikia tu sehemu nzuri.....mida mida mie ntakuwa zanzibar beach resort
kwenye swimming na mtoto wa kihabeshi....ukiona savannah karibu na pool just i am in.....asubuhi sana first coastal flight niko dar...naenda pande za Quality center kama alivyo eleza Matola.
Wahabeshi siku hizi wamekuwa hawana thamani tena dogo,hivi wewe uko dunia ya wapi, hao walikuwa na thamni pale walikuwa hawajazagaa...siku hizi wamezagaa kila kona wanapatikana, afu hao ndo hawajui kabisa mapenzi wao ni pesa tu, si bora uchukue mchaga :biggrin:
 
Unakosea unaposema nimeshaliwa sana pesa, ni kwamba hapa ninapozungumza tayari nimeshachange dollar 200 for tonight only na ATM card inapumuwa just incase kama wallet itakuwa flat, maana Savanna Lounge ni lazima nitakutana na Colegues wengi.
Wewe endelea na weekend zako za kula supu ya Makongoro na vipapatio vya kuku na bia za buku buku kwenye makambi ya jeshi. tuache sisi Mafala tuendelee kula good time.
ALRIGHT wacha tukabane camp ya jeshi, sijui makambi hayo ya JKT au JW...dollar 200 mbona aisay we tajiri kweli kweli :biggrin:
 
OK hizi ni point zangu....Point ya kwanza; Una mke anaenda kula naye nje, ana kuja shemeji yako anawakuta nadhani atakuwa very happy au vipi.

Point ya pili unachukua dada wa mtu ambaye si mke wako, anakuja kaka yake hapo utajibu nini, je kwenye restaurant wacha kukutana tu na kaka yake tu, unakutana wa watu wangapi? Una hakika atakuwa mke wako huyo siku za mbele? Mhhhm sidhani.

Kwanza hata kama atakuwa mke wako, utakuwa unajiuliza kabla ya kuwa mke wangu alikuwa aanatoka na mimi hivyo hakuwaogopa wazazi wake, akatoka na wewe bila kuogopa reputation yake, atakuja kukuogopa wewe asichukuliwe na wanaume wengine siku za mbele :biggrin:

Niliwahi kusoma na watu wa design yako they are always primitive ila wakija kuonja maisha haya huchanganyikiwa kabisa yaani wanakuwa malimbukeni kwisha kazi!
 
Hizi stress zitakuuwa mapema, u will die young, umri huo kama unakuwa na akili za kijinga kama hizo basi ukifanikiwa kufikisha miaka 40 ni lazima uwe mchawi.
Mimi saa hivi ninavyobofya hii keyboard nataka niingie bafuni sasa hivi nipige shower na ratiba yangu ya leo ni hii hapa:

Nawasha mkweche wangu moja kwa moja mpaka kwenye appartment ya mrembo wangu wa Kiarabu nampick mpaka Masaki kwenye mishikaki ya Samaki then tunakwenda Cinema Quality center, baada ya movie kuisha tunashuka flow ya chini tunaingia Lemon tree, pale tayari itakuwa ni usiku, kunakuwa na live jazz music, basi hapo ndio dinner yangu ya leo na mrembo wangu wa kiarabu itakapolika. baada ya msosi na kusikiliza Jazz za kutosha then tutapandisha ngazi ndani ya Savanna Lounge na kuanza kula beer kwa kwenda mbele na Disco zito la uhakika mpaka majogoo.
Wewe endelea kuishi na stress zako tu, na kwa yule mwana JF atayependa kuonana na Matola live leo awe makini kuangalia ni meza gani ina binti wa kiarabu anaepiga Wisky.

hahahaa,ndugu zako bukoba wanakumiss kweli!
 
Back
Top Bottom