Mahali Pazuri kwa Ajili ya Dinner (Outing)

Holy mother of God, I near had heart attack nimesoma sentence hii...... sikujua wewe ..... kumbe ni ajira yako kuwalala wadada na kukulipa kama kule mombasa na wataliii eish...nimepoteza mdua sana kujibizana na wewe hatuko level moja....
Kulipwa usidhani mshahara dogo unapikiwa chakula sina waleza mko nyuma sana.

Yani tunalipwa kwa ule uji tulio wapa...kulipwa sio upewe mshahara tu, hata mwanamke akikukangia angia ujuwe umelipwa kwa kazi nzuri ulio mfanyia.

Bona mankimbilia mombasa, huko ni kwenu mimi sipajui na wala sitaki kupajua :biggrin:
 
Hapana mimi si mshari hapa kila mtu anatoa mawazo yake.

Please usiweke dini hapa, hakuna dini inaruhusu ukalishe gf wako nje au mke mtarajiwa...hebu nipe kitabu gani kimeruhusu.
ndio kila mtu anatoa mawazo yake ila sasa naona we unashindwa jinsi ya kuwasilisha mawazo yako kwa kumlazimisha afuate imani yako ya mapenzi.. Afu kutoka na mwenzio mtarajiwa ni katika kufamiana zaid her likes and dislikes... Bro kuna kitu inaitwa fun! Muhim sana kwa mtarajiwa wako. Labda kama we ulimaanisha wale watoto wa kike nit...mb nkale..
 
.... ukiniazima tochi mchana haitanisaidia ....= hizo gharama unazoa-anza naye uwe tayari baadae kumuacha atafunwe na wengine pindi utakapokumbwa na economic crunch.....unajitutumua mpaka twenty to fifty....tchao

Makoyo mbavu zangu mie duh,jamani mbona kuna dinner hata ya elifu kumi na mnashiba tuu,kila mtu anajikuna anapofikia ,na huyo binti akisepa asepe tu manake ulikuwa sio mpango mzima.kama anampenda ukweli atabakia naye.
 
ndio kila mtu anatoa mawazo yake ila sasa naona we unashindwa jinsi ya kuwasilisha mawazo yako kwa kumlazimisha afuate imani yako ya mapenzi.. Afu kutoka na mwenzio mtarajiwa ni katika kufamiana zaid her likes and dislikes... Bro kuna kitu inaitwa fun! Muhim sana kwa mtarajiwa wako. Labda kama we ulimaanisha wale watoto wa kike nit...mb nkale..
OK nadhani hapa tunanza kuja kwenye point, hapa sikatai kabisa nilipo weka highlighted.

Swali je kwanini uende naye sehemu ambazo zinaweza kuleta bad picture upande wake, kama mungu hajajalia akawa mke wako...si ndo hapo wengine wana anza kuzulia ma binti za watu kama wameisha lala nao wakati sio kweli.

Kumbuka kuoana ni majaliwa, sa kama mungu hakujalia si kuna wengine wata anza kumtangazia mke wako mtarajiwa kama alikuwa hawara yako, au nasema uwongo...unaweza kumharibia sifa zake wakati ni binti katulia.

Kupanga mambo si lazima muende mkale nje, mnaweza kukutana private mkamaliza deal zenu kimya kimya.

Utani tuweke pembeni hapa; Nani hapa anakubali kuona dada yake anaenda kulishwa na mtu sio mme wake, kwenye ma restaurant au ma hotelini.
 
Fazaa, unaonekana unajali sana watu wanavo fikiria kuhusu maisha yako na maisha ya mpenzi wako
Kuna thread nilisema nikipigiwa sim na mtu nisie mpenda nitaiacha tu ilie bila kupokea
ukasema: si watu watakushangaa kwa nini hupokei sim wakati unaitwa.
Faham ya kwamba huwezi kuwaridhisha binadam wote kwa pamoja.
Ikiwa wewe na mwenzio mmeridhika kwenda kula out, kwa nini uhangaike na watu wanavo chukulia?
Mimi sister akinambia kaalikwa na mpenzi wake (ambae haja propose kua mume), kwa nini nichukie?
Heshima ya mwanamke sio kumaliza deals kimya kimya, heshima ya mwanamke ni to stand for what she believes in.
 
amthods ndugu yangu, kwa bajeti yako mambo yatakua tight sana, unless ufanye a simple fun loving outig bila ku focus kwenye chakula

to me the best evening if you have a limited budget is along Indian ocean...
 
OK nadhani hapa tunanza kuja kwenye point, hapa sikatai kabisa nilipo weka highlighted.

Swali je kwanini uende naye sehemu ambazo zinaweza kuleta bad picture upande wake, kama mungu hajajalia akawa mke wako...si ndo hapo wengine wana anza kuzulia ma binti za watu kama wameisha lala nao wakati sio kweli.

Kumbuka kuoana ni majaliwa, sa kama mungu hakujalia si kuna wengine wata anza kumtangazia mke wako mtarajiwa kama alikuwa hawara yako, au nasema uwongo...unaweza kumharibia sifa zake wakati ni binti katulia.

Kupanga mambo si lazima muende mkale nje, mnaweza kukutana private mkamaliza deal zenu kimya kimya.

Utani tuweke pembeni hapa; Nani hapa anakubali kuona dada yake anaenda kulishwa na mtu sio mme wake, kwenye ma restaurant au ma hotelini.

Wewe sehemu zipi unaona ni sawa kumpeleka mtarajiwa wako?
 
kila mtu anatakiwa simamie anachoamini,kuna wale wanaoamini kuwa asimtoa gf wake club hatoridhika,na pia kuna wale wanaopenda quiet places,kama dinner kwa hoteli,na pia kuna wale wanaopenda kwenda bar,tunachotakiwa kutoa hapa ni ushauri na sio kulumbana kwa sababu hatutafika popote,huwezi kunishawishi nisimpeleke demu wangu dinner serena wakati hivyo ndo viwanja vyangu,na pia huwezi kunishawishi nisimpeleke green park bar kwa mchemsho wkt ndo kiwanja changu.
 
yaani heading ya huu uzi inanisumbua, kila nikiona Pazuri unakuja kichwani ule wimbo wa 'Kwetu pazuri nimeshapakumbuka'

kuhusu, matumizi ya hela na starehe ni relative sana.
Siku hizi kuna hadi sehemu nzuri za outing za kula nyasi, si viwanja vya mazoezi ya mpira tena.
Unakuta mgahawa wa nyasi na unga wa mhogo.
 
Fazaa, unaonekana unajali sana watu wanavo fikiria kuhusu maisha yako na maisha ya mpenzi wako
Kuna thread nilisema nikipigiwa sim na mtu nisie mpenda nitaiacha tu ilie bila kupokea
ukasema: si watu watakushangaa kwa nini hupokei sim wakati unaitwa.
Faham ya kwamba huwezi kuwaridhisha binadam wote kwa pamoja.
Ikiwa wewe na mwenzio mmeridhika kwenda kula out, kwa nini uhangaike na watu wanavo chukulia?
Mimi sister akinambia kaalikwa na mpenzi wake (ambae haja propose kua mume), kwa nini nichukie?
Heshima ya mwanamke sio kumaliza deals kimya kimya, heshima ya mwanamke ni to stand for what she believes in.
Na asiye jali nani, wewe kama hujali wengine wana jali...wewe hujali kuona dada yako anatoka na mtu sie mme wake, wengine wanajali...Kweli kabisa heshima ya mwanamke ni ku stand for what she believes in, lakini sio kila siku anacho believes kinakuwa kiko sawa, siku zote lazima awe careful.

Heshima ya mwanamke nikutulizana na family yake, sio kwenda kulishwa nje na mwanaume sio mme wake, hapo ndo wanawake wengi mnakosea step, afu mkisha dharauliwa na wanaume zenu mnanza kusema mwanaume sijui kabadilika.

Heshima ya mwanamke kumaliza deal kimya kimya nakusudia sio kufanya sex, nikujitunzia heshima yake, apendene na mwanaume kwa kutazam mipaka...hana uhakika kama yule mwanaume atakuwa mme wake, vipi atoke nae?

Mwanaume anaye mpenda mwanamke hampotezei wakati mwanamke wakumpeleka restaurant, poleni sana kama mnaona sifa kulishwa restaurant, mwanaume anaye mpenda mwanamke anaenda kwa wazazi nakuomba mkono wa huyo mwanamke.

Mwali, unaonaje weekend hii takapiga dinner pale Rooftop restaurant pamoja, najua wewe hujali sana.
 
halafu ooh,wanaume wa kibongo sio romantic.kumbe mkitaka mnaweza

Tunaweza sana.
Ila kumbuka sisi ni watanzania,hata ukiwa na hela vipi lazima ujitahidi
kuwatoa ndugu zako chini pia,.....otherwise uwe na roho ya mamba.

Bajeti muhimu sana,katika umri unaanza kupata hela unakuwa unajibana
sana ili usaidie ndugu,.....at a time hela zime kuzoea unakuwa umeshaanza kuugua
na huwezi kwenda out tena au kumfurahisha mpenzi wako.

Unapo kufa,wana enjoy wengine n life goes like that.
 
Wewe sehemu zipi unaona ni sawa kumpeleka mtarajiwa wako?
Mimi naona sehemu nzuri kumpeleka mke mtarajiwa wangu kama nataka kuongeza mke ni kwa wazazi wake, nakumchukua jumla jumla sio kumpotezea wakati wake kumshindilia vyakula sio fresh apate kuharibu figa yake.

Msijidai hamjafahamiana vizuri bado, kama hamjafahamiana vizuri...hamuoni hatua ya kwenda kula nje bado sana, vipi mnakimbilia huko, na bado hamfahamiani vizuri tabia.

Kama nitataka kumlisha mke mtarajiwa basi ni chakula cha nyumbani, tena ikiwezekana na wazee wangu wapate kumjua kabisa, na pia naalika kabisa na wazee wake mke mtarajiwa, ili wajuane na wazazi wangu hapo itakuwa nadhani siku nzuri sana.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom