Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,620
- 5,250
Nimekulia hapo mpka inajengwa nimecheza sana hapo tuwekee na kiwanja kipya kile kinaitwajeGood✔️☑️✅
Nimekulia hapo mpka inajengwa nimecheza sana hapo tuwekee na kiwanja kipya kile kinaitwajeGood✔️☑️✅
Mwanza-MALAIKA BEACH RESORT
Hii ni chunya
Mall gani hiiView attachment 1769055
Mimi sio mhalifu. Wengi wananifahamu, na siogopi kujulikanaUnajua ukiweka baadhi ya picha mtu anaweza kukonect dot kwamba wewe ni nani. Anyway hakuna tatizo mkuu.
Shinyanga moja hio ,hapo ni majengo mapya jirani kabisa na shule ya msingi mapinduzi .duuh
morroco iartel bagamoyo road!
mkuu hii ni kweli au edit