Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,050
- 165,658
- Thread starter
- #81
Hapa je, wapi?Kawetele, mlimani njia ya kwenda Chunya ukitokea Mbeya!!
Good✔️☑️✅Shinyanga moja hio ,hapo ni majengo mapya jirani kabisa na shule ya msingi mapinduzi .duuh
hapo kwenye hiyo kona kwa nini wasingenyoosha tu kukatisha?
Ujenzi ni sanaahapo kwenye hiyo kona kwa nini wasingenyoosha tu kukatisha?
Hapa ni wapi? ni Tz Kweli?
HawaiiHapa ni wapi? ni Tz Kweli?
Mi ni mpiga picha tu, hata sikushiriki upembuzi yakinifuhapo kwenye hiyo kona kwa nini wasingenyoosha tu kukatisha?
Hapa ni pa kutembelea ngoja watoe mwongozo wa kusafiriHawaii
Hapa napo n bongo!
Ousofio Hi Ni Hapa Tz Kweli au ya Kuutengeneza??