Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,079
- 165,847
- Thread starter
- #101
Chemsha bongoOusofio Hi Ni Hapa Tz Kweli au ya Kuutengeneza??
Chemsha bongoOusofio Hi Ni Hapa Tz Kweli au ya Kuutengeneza??
Kama Ifunda vile
Kuna korongo(bonde)kubwa haikuwezekana.hapo kwenye hiyo kona kwa nini wasingenyoosha tu kukatisha?
Usafwani Kawetile Mbeya huku. Kona za mkoa. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Mlimanyoka siku hizi hapatishi sana kama Iwambi kuelekea MbaliziIle Kona ya Chunya ni balaa, pia Inyala Kuna kona inaitwa Mlima Nyoka, hapo hapalali njaa, kila mara ajali
Faykat Tower Morocco Dar
Ingeleta shida kwa anayetoka Chunya kwenda Mbeya mjini,yaani kutoka kulia kwenda kushoto kurekebisha speedhapo kwenye hiyo kona kwa nini wasingenyoosha tu kukatisha?
Cathedral ya Mbeya hii
Buji buji mshkaji Sisimba, Sangu kwa nini umemuweka humuu???
Theme/ maudhui ya uzi ni hapa wapi, na sio huyu Nani.Buji buji mshkaji Sisimba, Sangu kwa nini umemuweka humuu???
Unajua ukiweka baadhi ya picha mtu anaweza kukonect dot kwamba wewe ni nani. Anyway hakuna tatizo mkuu.Theme/ maudhui ya uzi ni hapa wapi, na sio huyu Nani.