Mkuu mbona haujibu PM yangu?
Iringa
Mbeya hiyo bhaba
Kona ya mkoaMbeya hiyo bhaba
KibahaPatia upate voucherView attachment 1767739
WOW Lushoto yetu inapendeza. Karibuni Lushoto wanangu tufaidi utulivu na uzuri.
nadhani hii ni njia ya makongorosi ukipitia itigi to chunya...ile mlima pale ni refu nahisi kuliko kilimanjaro na hizo manyoka ziko kipande hiyo ni hatari..ukienda kuchimba dawa kiboya unamezwaIle Kona ya Chunya ni balaa, pia Inyala Kuna kona inaitwa Mlima Nyoka, hapo hapalali njaa, kila mara ajali