Bongo fleva ya sasa imeisha nimemis ile ya 2008-2013

Bongo fleva ya sasa imeisha nimemis ile ya 2008-2013

Sun is Sun

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2024
Posts
1,257
Reaction score
2,016
Katika kukua kwangu, siwezi kusahau jinsi nyimbo za Bongo fleva zilivyokuwa na hisia zile za ndani kabisa.

Nyimbo kama NYOTA YANGU ya TID, USIENDE MBALI NAMI ya BUSHOKE, KWAAJILI YAKO ya HUSSEIN MACHOZI, WEWE NI WANGU ya BELLE 9, MASOGANGE ya BELLE 9, Z ANTO na BINTI KIZIWI, KASSIM MGANGA- HAIWEZEKANI, List ni ndefu.

Wasanii wa sasa wamezidi kutoboa pua , kwa kweli Bongo music imeporomoka na nimemisi miaka Ile ya darasa la 2, 3, 4,5 na 6
 
Ni dalili za kuanza kuzeeka punguza wanga

Hata sisi enzi hizo tunasifia bongo flava, watu wazima waliokuwa vijana miaka ya 80 na 90s hawakuipenda bongo flava, walisifia muziki wa enzi zao kama dansi, msondo ngoma, Bolingo, n.k.
 
🤣 apunguze na sukari, awe anaungama mara kwa mara, awe anatazama TBC1 na kusoma gazeti la Majira.
 
Back
Top Bottom