Hivi nyie wote akili zenu zinafanana? Kitu gani cha ajabu kampuni kufilisika? Hii hoteli inayoitwa Dar es salaam Serena toka ijengwe imeuzwa mara ngapi? Unajua sababu? Dangote hawezi kuwa mjinga awekeze kiwanda cha multi million alafu afunge tu kwa kisingizio eti mazingira ya uwekezaji hapa Tanzania sio mzuri
 
Mkuu ni maajabu sana yaani

Hawa maccm tumewatuma watuletee wenye hela duniani waje hapa kwa lazima au njia yeyote

Hatujawatuma wafukuze mtu yeyote muwekezaji wa aina yeyote hapa nchini,wao wanafanya vitu hatujawatuma

Wanaenda fukuza watu as if tumewatuma,yaani hawa mataahira ni ya kupiga risasi kabisa

Yanafanya kinyume na tulichowatuma kabisa
Wewe si ulimtuma Lissu na amekimbilia kwa Amstwrdam?
 
Hivi nyie wote akili zenu zinafanana? Kitu gani cha ajabu kampuni kufilisika? Hii hoteli inayoitwa Dar es salaam Serena toka ijengwe imeuzwa mara ngapi? Unajua sababu? Dangote hawezi kuwa mjinga awekeze kiwanda cha multi million alafu afunge tu lwa kisingizio eti mazingira ya uwekezaji hapa Tz sio mzuri

Purchase power imekufa kwa mujibu wa awamu ya kishindo
 
Hadi walima mchicha bonde la Msimbazi ulalamika mboga zinakomaa shambani wateja hakuna wanapata hasara mboga ikifika mda wake lazima ichumwe. Kama wengi Wana kula mara 4 kwa wiki ( ukila leo kesho deshi )badala ya mara 3 kwa siku sababu ya ukata . Biashara gani itatoka
 
Hii nchi inazidi kutumbukia shimoni, jana Ngurdoto Hotel imekuwa hostel, leo Dangote anafungasha, sijui kesho itakuwa zamu ya nani..

Hakika watanzania tufunge mikanda, nchi imepatwa.
Hivi mmesoma vizuri hayo maelezo ama mnacoment tu? Au me ndo sielewi!! Dangote na NSK wamefunguliwa kesi na Standard Charted walipe deni, NSK kapeleka ombi la kiwanda kufungwa then Dangote kaenda kupetition kiwanda kisifungwe. Anafungasha how? He is the one wanting to stay.
 
Dangote hajafilisika wala udhani kama anashindwa lipa deni la tsh billioni 5.5.

Most likely issue hapo kuna contract dispute kati ya Dangote na supplier wake NSK inayofanya malipo kucheleweshwa.

NSK mtaji kakopa bank yupo behind his payment schedule kutokana na Dangote kuchelewesha malipo.

Bank kamburuza NSK mahakamani apate hela yake, NSK nae kupata mkopo Dangote alimdhamini kama guarantee Bank. Kwa hivyo standard charter kawaburuza wote mahakamani mkopaji (NSK) na guarantor (Dangote) wampe chake.

Wakati mgogoro huo aujatatuliwa NSK kakimbilia mahakamani na yeye kutaka Dangote auzwe apewe chake.

If you ask watu kama kina NSK ni wale wafanyabiashara waliozoea tender za serikali waki breach hamna madhara wala penalties, kaboronga kwa Dangote mgogoro ndipo ulipoanzia hapo.

Hizi ndio sababu supplier wengi na wajenzi wengi wanalilia kufanya kazi na serikali kwa sababu ni mteja ambae zoba kwao.

Miundombinu iliyopo itavutia wawekezaji wakubwa watanzania tusipokuwa serious supplying tender zitachukuliwa na makampuni ya kikenya yaliyosajiliwa Tanzania halafu tuanze kulia kulia ilhali we are not serious business people, compared to our neighbours.
 
Back
Top Bottom