zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
- Thread starter
- #61
Hata Pinda jana kasema wazi kabisa kwamba Serikali haitazigharamia Mahakama hizo.
Si kitu, tutapata njia ya kuziendesha tena kwa ufanisi mkubwa sana. Bakhresa kisha jitolea budget ya miaka 5 kwa mahakama moja kila mkoa, hapo sasa!
Oilcom anasema atajenga mahakama 30 kwa fedha yake.
Hao wawili tu, mambo ndio hayo, ngoja wafumke na wengine.
Tunamsubiri Lowassa kwa kutaka kura za Waislaam 2015 sijui atatoa ngapi. Kwi kwi kwi teh teh teh!