Mahakama ya Kadhi "Ruksa" - Pinda

Mahakama ya Kadhi "Ruksa" - Pinda

Status
Not open for further replies.
Acha unafiki, mimi binafsi huwa nachangia ujenzi wa shule,makanisa,hospitali na vyuo kwenye harambee nyingi sana zinazoendwa na wakirsto hata kama natofautiana nao imani.

jana nimechangia mchango kwa ajili ya kuendesha semina ya malezi bora kwa vijana inayoandaliwa na wakirsto, nalazimika kuchangia sababu naona ni positive initiatives badala ya kulalamika lalamika na kutoa visingizio visivyokuwa na msingi kama mtoto mdogo.

utanishawishi vipi nikuelewe kwamba ni fedha za MOU wakati na mimi nimechangia? na zaidi waislamu kutokupewa pesa na serikali sio sababu ya wao kuacha kufanya shughuli za maendeleo.
Elfu ishirini ishirini zenu mnazotoa haziwezi kufanya tunayoambiwa na vyombo vya habari! nyuma yake kuna hela zaidi ya hizo elfu ishirini ishirini zenu! na si nyingine bali ni hela za MOU! shame on you!
Sangarara said:
Fungukeni macho bwana, haya, bajeti yetu inaonyesha kwamba fedha zinazotengwa kwa ajiri ya maendeleo ni zile zinazotegemewa kutoka kwa nchi wahisani, wewe si unajua kwamba nchi wahisani karibia zote ni za kizungu, za kikirsto kwa mujibu wa tafsiri zenu za kulalamika lalamika, na nyie mnataka portion kutoka kwenye pesa hizo??.
Nchi hii ina rasilimali za kutosha kabisa bila ya kuomba msaada wa wazungu, ni nyie Wakristo ndio mnaozifuja na kuziweka pesa za wizi kwenye akaunti za Switzerland na kwengineko! sasa kuna ubaya gani tukidai hilo fungu za pesa zetu tunazorudishiwa kwa aina fulani kutoka kwa Wazungu?
Ubaya wenyewe ni kuwa hata hizo nazo hatuzioni!
 
Elfu ishirini ishirini zenu mnazotoa haziwezi kufanya tunayoambiwa na vyombo vya habari! nyuma yake kuna hela zaidi ya hizo elfu ishirini ishirini zenu! na si nyingine bali ni hela za MOU! shame on you!Nchi hii ina rasilimali za kutosha kabisa bila ya kuomba msaada wa wazungu, ni nyie Wakristo ndio mnaozifuja na kuziweka pesa za wizi kwenye akaunti za Switzerland na kwengineko! sasa kuna ubaya gani tukidai hilo fungu za pesa zetu tunazorudishiwa kwa aina fulani kutoka kwa Wazungu?
Ubaya wenyewe ni kuwa hata hizo nazo hatuzioni!
Pigeni kwanza rangi misikiti tuone kama mnaweza kuchangia maendeleo hata yenu wenyewe au mnataka mpaka aje mhisani kutoka Saudi Arabia? Kila jambo MoU!!! Wewe unadhani maendeleo ya wakristo kielimu yametokana na MoU? Ujingga gani huu jamani!!!
 
Hivi unawapongeza uliowapongeza kwa faida zipi kuwa na mahakama ya kadhi? What benefit interms of economy, social, political etc will you gain by having kadhi courts re-established. Usiwa na jaziba we nijibu ni faida zipi utazipata? Labda na mimi naweza kubadili dini nizifukuzie hizo faida!!

Kwani wewe una dini?
 
Hakikishen baada kuzianzisha hazileti uhasama kwa serikali.
Zitumike kwa waislam na kwa gharama za waislam bila kuathili au kuyumbisha iman za watu wengine.
 
Mahakama ya kadhi mlisharuhusiwa kuanzisha siku nyingi tu, ni uzembe wenu na kutegemea muanzishiwe kwa gharama za walipa kodi wote wa tz ndiyo ulichelewesha uanzishaji huo.......

Una maana tumeruhusiwa Mzinzi apigwe mawe mpaka kufa? je hii ikitekelezwa, mahakama yenu haitatuambia kuwa tunajichukulia sheria mkononi? na je! atakapokutwa mkristo anazini na mwisilamu, na yeye ruksa kupigwa mawe mpaka kufa? aiseeeee, kama uislamu ndiyo huo, basi uislamu mugumu, mimi leo nahama. naomba niitwe petro.
 
Sideeq MOU imekuuma sana, je kuna Hospital ngapi za kiislamu zimeomba kuondolewa kodi zikakataliwa? Agakhan ni ya jumuia ya wahindi wa kiislamu ila nimaskini wangapi wanaweza kutibiwa pale japokuwa inapewa misamaha ya kodi kama Bugando na kcmc?.funguka wewe adui wako mkubwa ni umbumbu wa elimu dunia na siyo christian.Hospital hizo unazopigia kelele kila siku MOU zimejengwa kwa jasho la wakristo lakini zinaudumia dini zote na ata kutoa ajira kwa dini zote, so kama umemezeshwa chuki dhidi ya MOU badilika na chukua atua, hakuna njia ya mkato katika kutafuta mafanikio yoyote, so waislamu msiwe watu wa kulalamika sana badala ya kusoma na kufanya kazi zenu kwa bidii
 
Nani sasa, ninyi au sisi? Wazee wa ubwabwa na kahawa bwana!!
Nyinyi ndio ambao kila siku mna kazi ya kutetea MOU!
Sijui waendaji wa Starbuck na Waynes Cofee kazi yao ni nini zaidi ya kunywa kahawa!
 
Hospital hizo unazopigia kelele kila siku MOU zimejengwa kwa jasho la wakristo lakini zinaudumia dini zote na ata kutoa ajira kwa dini zote
Kama ni kwa ajili ya wote mbona wakati wa kufunga huu mkataba hakuna mwakilishi wa Waislamu aliyehusishwa?!
 
Ivi nyie wakiristo mahakama ya kadhi inawahusu nini?Hemu 2achieni wenyewe ce ndio 2najua umuhimu wa mahakama hii nyinyi hamuelewi.

Pinda muislam??? By the way uki-google 'mahakama ya kadhi' unapata fulu data, hapo nchi jirani ya zanzibar wanaye kadhi mkuu, fuatilia mshahara wake analipwa na nani, na kwa nini serikali ya tanganyika inatia ngumu!!!
 
Asante sana ZOMBA kwa habari yenye kukunjua nyoyo za waisilamu na inashaallah kwa uwezo wa mwenyezimungu kila dhulma inayotendeka ktk nchi hii dhidi ya uisilamu usalimu amri na tuishi kwa amani.Na huo ni mwanzo tu bado uvumilivu tunao na hakuna kurudi nyuma kama ktk aya zinavotueleza msidhulumu mtu wala msidhulumiwe.Na wote wanaoponda habari hii na kuleta maoni yenye mtazamo tofauti ni kukosa elimu ya uisilamu na hivo kuongea vitu wasivovijua.
 
Hela wanazo lakini mabahili hayo sijapata kuona. Ebu angalia misikiti yao mijini ilivyochakaa lakini hutaona hata siku moja imekarabatiwa. Wao ni pilau tu na juice za miwa, basi.

ha ha ha.....! Eti pilau na juice ya miwa, mkuu pia umesahau pia kazi yao kuwekeza tu kwenye maulidi na kwenye ngoma za kumtunza mwali.
 
Jana, (ingawa sikusikia jibu lote) kipande kidogo nilichokisikia kinanifanya ni sadiki kuwa Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Pita Pinda alipokuwa akijibu hoja za bajeti jana jioni kaonesha kuridhia kwa Serikali kuanzishwa tena kwa Mahakama ya Kadhi baada ya kufungiwa kwa muda mrefu na aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanganyika (na baadae Tanzania) Julius Kambarage Nyerere.

Tunawapongeza Watanzania wote kwenye haya maamuzi mazuri yaliyofanywa na Serikali ya Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Kuwarudishia Waislaam Kadhi na mahakama ya Kadhi ni katika kuwapa uhuru wao wa kuabudu uliodhulumiwa na utawala wa awamu ya kwanza.

Tunatumai mchakato wa kuzirudisha mahakama za kazi utakuwa wa kasi zaidi.

Hongera Waislaam, Hongera Kikwete, Hongera Pinda, Hongera Watanzania.

Kutokuwepo kwake kuliwazuia kuabudu? Au mnamwabudu yeye?
 
Mlipa kodi mkubwa Tanzania ni TBL hawa jamaa wanafanya kila liwezekanalo fedha hii ya TBL iende ikaendeshe mahakama ya Kadhi,.

Hahahahaha!!!
Chezeya wanafiki wewe!!
Bia na sigara ndi zinaendesha serikali ya ccm!
Na hawa jamaa wanataka hela hiyohiyo
 
Unachofurahia ni nini? Inawezekana hujui kabisa. Mahakama ya kadhi iliruhusiwa tangu enzi za Mwl. Nyerere. Alichoondoa yeye ni fedha za walipakodi kulipa gharama za hizo mahakama na hicho ndicho alichosema muislam mwenzenu kikwete kwamba serikali haitajishughulisha na mahakama ya kadhi.

Hata Pinda jana kasema wazi kabisa kwamba Serikali haitazigharamia Mahakama hizo.
 
Hakikishen baada kuzianzisha hazileti uhasama kwa serikali.
Zitumike kwa waislam na kwa gharama za waislam bila kuathili au kuyumbisha iman za watu wengine.

Kwani kesi za Waislaam kwa sasa zinaamuliwa mahakama za kawaida kwa gharama ya nani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom