Mahakama ya kadhi hii hapa!

Mahakama ya kadhi hii hapa!

Hii mahakama isimame kama chombo cha Waislamu kwa sababu ni ya dini, Serikali itafanya makosa makubwa kama kodi ya mtanzania itatumika katika uendeshaji wa mahakama hizi.

Mbona kodi za waTanzania kwa miaka mingi tu zimeendesha mashule ya kikatoliki?
 
Tatizo huna subra, yaani wewe unachotaka ni kupandisha copy/paste kwa haraka kama upo kwenye mashindano ya F1.

Kha?... waumiya ndugu yangu kwa hilo?...niswamekhe sheikh...hujuwi wengine hata huko kwa kokopi hawakujui ndo maana twasaidiana hivi...sasa je umesoma hiyo kopiendepesti yangu kama nilivyosoma mimi?...tuendelee
 
Mufti mkuu wa waislamu muadhama sheikh simba ametangaza kuwa mahakama ya kadhi kwa ajili ya waislamu itaanza kazi zake hivi karibuni baada ya serikali kukubali kuirudisha tena mahakama hiyo iliyokuweko enzi za nyuma na pia kuiomba serikali kufanya siku kama ya jana tarehe 7 kuwa siku ya mapumziko kwa kuwa ni mwaka mpya wa waislamu!
Source: Gazeti la mwananchi 08.12.10

kama serikali imekubali mahakama hiyo basi naipongeza kwa uamuzi huo wa busara wa kuwapa waislamu kile wanachotaka kwa mujibu wa sheria na kusisitiza hoja ya mufti kufanywa siku ya mapumziko kwa kuingia mwaka mpya wa kiislamu kwa sababu hata dini zingine huwa wanamapumziko siku za mwaka mpya wa tarehe 1.1 kila mwaka hivyo waislamu nao wana haki ya kusherehekea mwaka wao mpya na ifanywe kuwa ni siku ya holliday!!

Very well. From cleric to a politician. Hali ndio hiyo soon tutakuwa banana republic, Leo sheikh mkuu, kesho kadinali, keshokutwa kakobe and so on and so on.

Mahakama ya kadhi, mahakamaya kikritso, etc

Mwaka mpya wa kiislamu, mwaka mpya wa kikristo, wa kihindu, wa kipagani, etc etc

Ka nnchi kananuka kweli, naamini kuwa si mbali sana watu tutaanza kuchapa bakora, kwa mwendo huu kabla ya 2020 huenda tutaanza kuwa wakimbizi.
 
Mimi ni christian naomba wakristo tuwe na moyo wa uvumilivu kama waislamu.kwa nini nawaita ni wavumilivu,sababu hizi hapa.
Wakristo 1.jumapili ni mapumziko
2.mwaka mpya
3.ijumaa kuu
4.jumatatu ya pasaka
5.chrismas
6.boxing day

waislam 1.ijumaa siku ya kazi.
2.idd zipo 3 kama sijakosea ni mapumziko.
3.mwaka mpya,kimyakimya.
Kama kweli tunataka amani ya kweli tuwape waislamu haki yao.tz hizi dini zipo karibu sawa sasa kama kuna mmoja ataonewa kwa namna yoyote ile nakwambia amani tutaipoteza.naomba wakristo wenzangu msinishambulie kwani hiyo ndiyo njia ya kweli kwani hata biblia inasema hata mtumwa wako tu unatakiwa kumpa haki yake.
Hii nchi hakuna mwenye mamlaka ya kumtawala mwenzake na kama mmoja wetu atajidanganya kulifumbia macho hili ataona matokeo yake.
Waislamu wapewe mahakama ya kadhi na mapumziko siku ya mwaka mpya wa kiislamu na tuwaombe radhi kwa kutuvumilia
hapo ndipo tutakuwa na amani ya kweli na sikukuu zote tutasherehekea kwa pamoja na amani.
Nawasilisha.

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, walisema wahenga.
Lakini angakia mtanzania mwenzangu usije kuitwa MTO PUMBA kwa hiyo tabia yako kutetea waislam.
 
Umesikia wapi!? Wakati mwingine kabla ya kuchangia muwe mnasoma wachangiaji wengine wameandika nini, na sio kukurupuka tu.

Subiri na omba ifunguliwe na ianze kufanya kazi halafu uniulize ulisikia wapi!!! Hp tutapishana brbrn siku moja ukiwa unavuja damu mkono umetoka kukatwa...

U mean kusoma kabla ya kuchangia ili nichangie same opinion au? Basi itakuwa wastage of energy and time!!
 
Rev Masanilo,

Tunajenga hofu isiyo na msingi katika hili.
Nimechangia hapo juu kuwa lazima tuelewe tofauti baina ya mahakama ya kadhi katika nchi kama yetu, ambayo inaongozwa kwa "common laws", secular laws, na penal code inaongozwa na kuzingatia sheria hizo na mahakama katika nchi za Iran, Saudi Arabia ambazo zinaendesha kesi zao kwa kutumia "sharia"(islamic laws)

Mahakama ya kadhi haitowi hukumu kama mahakama ya Kisutu, zaidi ipo kushughulikia mizozo na suluhu ya ndoa zilizofungwa kiislamu na inaposhindikana kuelekeza jinsi ya utoaji wa talaka, pia kutoa maelekezo kwa waislamu wanaotaka kurithi kiislamu.

Uwepo wa mahakama hii unaongeza option ya pili kwa watu ambao wote ni waislamu kushughulilia, kutatua tofauti zao katika hizo areas mbili; mambo ya ndoa na urithi, kupitia mahakama hii si zaidi ya hapo.
Mambo mengine yote, including haya mawili wanaweza kuyapeleka katika mahakama za kawaida. Ieleweke hapa kuwa ni lazima wote wanaohusika na mgogoro au shauri linalokwenda mahakama ya kadhi ni lazima wawe waislamu na wawe wamekubaliana kwenda huko.
Mahakama ya kadhi haina mamlaka ya kutoa hukumu ya mtu kufungwa gerezani au kuteswa au kukatwa kichwa, mguu, mkono au sikio. Si sehemu ya kushitakiana na kutafuta hukumu. Inafanya kazi zaidi kama advisory body katika hizo areas mbili. wala si kuwa muislamu atalazimishwa lazima aendeke huko ni chaguo lake.

kwa hiyo, vilema hawataongezeka kwa kuanzishwa mahakama hii.

Nafikiri wazo lako la kuanzishwa wizara ya walemavu ni zuri though kwani hizo ajali za barabarani zinatupatia walemavu wengi.

siku njema Mkuu,
amani ya bwana iwe nawe!


Kwanini serikali ambayo haina dini ianzishe hiyo mahakama ya kadhi ambayo ni ya kidini? kwanini waislam wasiianzishe hiyo mahakama wenyewe? Hivi kwasasa migogoro ya ndoa na urith inatatuliwaje?
 
Subiri na omba ifunguliwe na ianze kufanya kazi halafu uniulize ulisikia wapi!!! Hp tutapishana brbrn siku moja ukiwa unavuja damu mkono umetoka kukatwa...

U mean kusoma kabla ya kuchangia ili nichangie same opinion au? Basi itakuwa wastage of energy and time!!

In the Islamic world, under constitutional government, such as Turkey, where sharia is not the basis for the legal system, the term qadi is still used to identify judges or magistrates. However in countries where some shariah law is enforced, such as Saudi Arabia, the qadi is the judge who rules under the Islamic laws enforced.

In countries that practice a hybrid legal system such as Egypt, a qadi makes an initial ruling in all civil and criminal matters. In Pakistan, where there is a dual legal system of the regular courts and the Shariah courts, the qadis (kazis) are appointed in the latter case who rule according to the shariah law. In some Islamic countries, the position of qadi, formerly reduced to simply being responsible for the initial hearing of cases or even abolished in the process of Westernization, has been recently reinstated, as in some Islamic provinces of northern Nigeria. When it involves a severe penalty,(like stoning to death ,amputations) his decision has to be approved by a Mufti, certainly in capital punishment cases, to ensure that verdict is in compliance with the Islamic law.

In Turkey, qadis were appointed by the Veliyu l-Emr. With the reform movements, secular courts have replaced qadis, but they formerly held wide ranging responsibilities:
... During Ottoman period, [qadi] was responsible for the city services. The charged people such as Subasi, Bocekbasi, Copluk Subasisi, Mimarbasi and Police assisted the qadi, who coordinated all the services." [From History of Istanbul Municipality, Istanbul Municipality (in Turkish).] In the Ottoman empire, a Kadiluk - the district covered by a kadı - was an administrative subdivision, smaller than a Sanjak
 
Xpaster I always admire you, in most cases your wrong. Nadhani tunazungumzia mwaka mpya

Tutakuwa na sikukuu nyingi kitaifa, heko Muadhama sheikh Simba. Kumbuka wenzenu wanafikiria kuanzisha mabenki nyie mnang'ang'ana na mahakama ya kadhi na kuwa na siku nyingi za kupumzika.
Nazidi kuwapongeza mmeliona hilo kwa maendeleo
Hivi mmesahau enzi za mzee Ruksa? Sikukuu ilikuwa ikiangukia weekend, tunalipa siku ya kazi. Kweli viongozi waislamu safi sanaaa. kwikwiwkiiii:whoo:
 
X-Paster umesimama kwenye misingi ya kidini nimekufurahia, si Kama Muadhama Sheikh Simba yuko kisiasa zaidi. Nimekubaliana na mchango wako.

Nonda, asante nimejifunza kitu pia kwenye mchango wako.

Lakini tubadili kwanza katiba yetu kukidhi haja ya kuwa na mahakama ya kadhi. Pia Mahakama kuu iwe na uwezo wa kupindua maauzi ya mahakama ya Kadhi
 
Mimi sina shida na hii issue lakini Kodi yangu isiende kuendeshea hizi issue za kidini (iwe muslims christians, I dont care.... Kodi inayokusanywa ni chache haitoshi hata elimu miundombinu, afya etc... Hatuitaji kuitafutia matumizi zaidi) kama hizi dini zinataka pesa, basi siombe wahisani au michango kwa wakati wao.
 
Mufti mkuu wa waislamu muadhama sheikh simba ametangaza kuwa mahakama ya kadhi kwa ajili ya waislamu itaanza kazi zake hivi karibuni baada ya serikali kukubali kuirudisha tena mahakama hiyo iliyokuweko enzi za nyuma na pia kuiomba serikali kufanya siku kama ya jana tarehe 7 kuwa siku ya mapumziko kwa kuwa ni mwaka mpya wa waislamu!
Source: Gazeti la mwananchi 08.12.10

kama serikali imekubali mahakama hiyo basi naipongeza kwa uamuzi huo wa busara wa kuwapa waislamu kile wanachotaka kwa mujibu wa sheria na kusisitiza hoja ya mufti kufanywa siku ya mapumziko kwa kuingia mwaka mpya wa kiislamu kwa sababu hata dini zingine huwa wanamapumziko siku za mwaka mpya wa tarehe 1.1 kila mwaka hivyo waislamu nao wana haki ya kusherehekea mwaka wao mpya na ifanywe kuwa ni siku ya holliday!!

watu wote wapumzike ama waislamu pekee?
 
X-Paster umesimama kwenye misingi ya kidini nimekufurahia, si Kama Muadhama Sheikh Simba yuko kisiasa zaidi. Nimekubaliana na mchango wako.

Nonda, asante nimejifunza kitu pia kwenye mchango wako.

Lakini tubadili kwanza katiba yetu kukidhi haja ya kuwa na mahakama ya kadhi. Pia Mahakama kuu iwe na uwezo wa kupindua maauzi ya mahakama ya Kadhi

kwa mara ya kwanza mchungaji umepotoka.

hawa jamaa huwa wanamsururu wa ajenda katika harakati zao za kutaka kuitawala dunia.

hiyo ishu ya kadhi na takataka zake ni moja tu katika mamilioni ya hoja zao.

subiri uone.

wakiruhusiwa kuendesha mahakama ya kadhi lazima wataibua madai mengine mapya.

yakumbukwe maneno yangu hata nijapo kufa.

hoja ni kuzuia kabisa harakati za waislamu wenye msimamo mkali Tanzania

mambo ya kadhi, sijui nini peleka huko kwenye banda la nguruwe. tupa huko!!!!
 
Mimi ni kafiri,nailipa kodi serikali yangu,vyanzo vyangu vya mapato ni kama ufugaji na uuzaji wa nyama ya nguruwe,nalipwa riba na mabenki mbalimbali ambapo nakatwa kodi kwa kipato hiki,pia natengeneza na kuuza pombe za kienyeji ambazo pia hutozwa kodi.Mahakama ya kadhi ianzishwe,lakini sitarajii kadhi awe analipwa mshahara kwa kutumia fedha za mimi kafiri.Naamini serikali yangu ni secular government(is not bias in favour of any religion),hivyo sitarajii ijiingize kwenye mambo ya kidini,ikifanya hivyo itakuwa ni kichekesho na itakuwa ni serikali ya kiislamu na itapaswa kuondoka au kuondolewa madarakani mara moja.Mimi ni mfia dini na nipo teyari kufa kwa ajiri ya kutetea dini yangu.


TANZANIA BILA MAHAKAMA YA KADHI INAWEZEKANA HATA KAMA RAIS NA MAKAMU WAKE WOTE NI WAISLAMU :llama::llama::llama:
Ni jambo zuri kuwa na uhuru wa dini, ila tu kwa kuwa jamii yetu inadini nyingi basi kila dini ifanye shughuli zake bila kuathiri shughuli za dini nyingine na taifa kwa ujumla. Sikukuu za kidini zipo tayari kwenye kalenda za serikali, na mengine dini zenyewe zijipange zenyewe.
 
Ombeni kila kitu saa hizi, sina tatizo najua mtaishia gombana wenyewe kwa wenyewe!!!
 
Kodi ya watanzania imeendesha shule za wakatoriki ambazo hata waislam wamesoma pia. Fikiri kabla ya kuandika!

Mwaka juzi ATCL ililazimika kuwapeleka hijja bure sasa imekufa....na zile ni kodi zetu sote
 
Hawa watani zangu bana, mi ndio maana hua naishia kuwaoa na kuwaacha tu binti zao, yaani badala ya kuhumiza maadili wao wanasisitiza mahakama! ndo zitamfikisha mtu kwa MUNGU?
 
kwa mara ya kwanza mchungaji umepotoka.

hawa jamaa huwa wanamsururu wa ajenda katika harakati zao za kutaka kuitawala dunia.

hiyo ishu ya kadhi na takataka zake ni moja tu katika mamilioni ya hoja zao.

subiri uone.

wakiruhusiwa kuendesha mahakama ya kadhi lazima wataibua madai mengine mapya.

yakumbukwe maneno yangu hata nijapo kufa.

hoja ni kuzuia kabisa harakati za waislamu wenye msimamo mkali Tanzania

mambo ya kadhi, sijui nini peleka huko kwenye banda la nguruwe. tupa huko!!!!

Mkuu!

Kama umenisoma tokea juu, utanielewa! Tusiweke jazba wala kutafuta machukizano ya kiimani. Mahakama ya Kadhi haipo kwenye katiba kwa Mtazamo na uelewa wangu. Basi tutumie fursa hii kurekebisha yale matatizo kwenye katiba mama. Iangalie hii hoja vizuri. Kenya wanahiyo mahakama ya kadhi lakini ni kama haina nguvu zaidi kwa waislam tena kwenye mambo ya ndoa na talaka na mirahi tu. Pia makahama kuu Kenya inaweza batilisha maamuzi ya mahakama hii ya kidini. Sawa ndugu?
 
Back
Top Bottom