Mahakama ya kadhi hii hapa!

Mahakama ya kadhi hii hapa!

Nenda kashtaki basi kwa paroko wako, kuwa nchi inataka kusilimishwa.

Mzee ur going beyond the belt! Hivi unafikiri na sisi wengine tukianza kujibishana kwa mizaha hapa hali itakuwaje? Usiwe na jazba
 
Unataka kutuambia maulidi si katika Uislamu. Hembu nikuulize vizuri maana naona unataka kuzungumza uongo sasa

Mdondoaji,

Naona umelielekeza suali lako kwa mtu maalum ila napenda kuchangia kile nikijuacho baada ya kujisomea.

Maulidi ni sawa na birthday party, sasa tokea lini birthday ikawa sehemu ya dini. Ni madoido tu ambayo baadhi ya waislamu hufanya kusherehekea uzao wa mtume, nabii Muhamadi.

Katu haiwezi kuwa ni nguzo muhimu ya uislamu. Kama wewe binafsi unaipa uzito siku ya kuzaliwa kwako, basi uichukulie kama hivyo na hao waislamu wanaoiadhimisha siku hii ni kuwa wanaona ni muhimu.

Kwa waislamu ni kur-ani na sunna(hadithi sahihi) ndio vitu vikuu. Vyengine ni vipambio tu.
 
Hii itakuwa msaada maana ili iweze kupita mabadiliko ya katiba yanahitajika (sina uhakika) hivyo basi tutatumia huo mwanya kufanya mabadiliko yote ya katiba tunayohitaji.
 
Kwanza nakurekebisha. kwenye Uislam hakuna cheo cha Muadhama, ni kipya kwangu mimi...! Jambo lingine ni ili... Unapotaka kujadili mambo ya Kiimani hususani Uislam, jaribu kujuwa Taratibu zake na misingi yake.

Narudia tena Waislam HATUNA sikukuu zaidi ya zile nilizo zitaja hapo juu, sasa kama Sheikh Simba ndio reference ya Uislam sawa, lakini sisi reference yetu si Sheikh Simba, wala si X-Paster, ni Qur'an na Sunna aliyo tuwachia Mtume wetu...!b Ukiona mtu anadai zaidi ya hayo hapo juu ni wa kuulizwa, hameyapata wapi!?

Hatutaki mambo ya kuiga iga hapa kwa kuwa Wakristo wanapumzika siku ya mwaka mpya basi na Waislam wawe na mapumziko siku ya mwaka mpya wa Kiislam, hayo hayapo kwenye Uislam, ni mambo ya kuiga unasara tu.

Nai hiyo tarehe 7 Dec, Sheikh Simba ameisemea kwa kuwa tu mwaka mpya wa Kiislam umeangukia tarehe hiyo, lakini mwakani mwaka mpya wa Kiislam utaangukia November 26.

Nakubaliana na wewe sherehe kubwa za kiislamu ni mbili but pia kuna sherehe kama maulidi ni kama sikukuu kwani waislamu wengi hukutana na kufanya sherehe za mazazi ya mtume muhammad SAW. Hebu taratibu zipi unazozijua wewe zinazokataza hilo au mtazamo wako tu kuwa kila jambo tukisherehekea ni unasara?
 
Haya muanze katana mikono na miguu, mpigane mawe na kucharazana bakora yaani barbaic punishments
 
Kindly Mr Mdondojai, provide an empirical evidence to substantiate your allegation.

Mkuu tufanye hesabu ya haraka ni shule ngapi za kanisa zimefunguliwa tangia mwaka 1985 halafu tucompare na shule zengine za waislamu, wapagani, mabuddha nadhani utajua nini nazungumza. Pili tuje katika hospitali ngapi zimefunguliwa za kikristo tangia mwaka 1990 mpaka leo ukishajijibu haya ndio utaona kaka nini nachokizungumza.
 
lazima kuwa na tahadhari.

kadiri tunavyolainika kukubaliana na matakwa yao, kwao ni ushindi katika vita vyao vitakatifu aka jihad.

sisi tutaona tunajenga mahusiano, lakini wao watakuwa wakitung'ong'a misikitini na kwenye vijiwe vya halua

Mie hapa Jerusalem ndio tunashindwana mie na wewe huu mtazamo wako ulikuwa unazungumza ukiwa na akili timamu kichwani au ushapiga kitu kichwani maana inaelekea unapayuka tu pasina kujua nini unazungumza?
 
Mdondoaji,

Naona umelielekeza suali lako kwa mtu maalum ila napenda kuchangia kile nikijuacho baada ya kujisomea.

Maulidi ni sawa na birthday party, sasa tokea lini birthday ikawa sehemu ya dini. Ni madoido tu ambayo baadhi ya waislamu hufanya kusherehekea uzao wa mtume, nabii Muhamadi.

Katu haiwezi kuwa ni nguzo muhimu ya uislamu. Kama wewe binafsi unaipa uzito siku ya kuzaliwa kwako, basi uichukulie kama hivyo na hao waislamu wanaoiadhimisha siku hii ni kuwa wanaona ni muhimu.

Kwa waislamu ni kur-ani na sunna(hadithi sahihi) ndio vitu vikuu. Vyengine ni vipambio tu.

Kupigilia msumari hapo hebu nikuulize swali je maulidi wapi yameeandikwa si katika sunna na ni haramu? Nipe aya inayosema maulidi ni haramu au hadithi inayokataza maulidi? Mie nakupa aya inayohalalisha maulidi nenda kaitafsiri soma aya inasema inallahu malaikatau swaluna alanabii yaayuhaladhina amanu swalu alaywasalim mutaslima kanitafsirie aya hii halafu uje uniambie je maulidi si halali?
 
Mzee ur going beyond the belt! Hivi unafikiri na sisi wengine tukianza kujibishana kwa mizaha hapa hali itakuwaje? Usiwe na jazba
Ah ah ah, masanilo, uoni kuwa huyo jamaa, anastahili majibu yake, tunapaswa kweli kuchangia kwa Hoja...! Ila Masa leo naona huu mstarabu sana, ni wewe kweli...!? Naweza tuka-shake hands mkuu!?
 
Haya muanze katana mikono na miguu, mpigane mawe na kucharazana bakora yaani barbaic punishments

Again misconception na fingerpointing ambazo hazina faida yeyote nani amekuambia kuwa mahakama ya kadhi itawakata watu mikono? Acheni kuchokonoa vitu msivyovijua.
 
Kupigilia msumari hapo hebu nikuulize swali je maulidi wapi yameeandikwa si katika sunna na ni haramu? Nipe aya inayosema maulidi ni haramu au hadithi inayokataza maulidi? Mie nakupa aya inayohalalisha maulidi nenda kaitafsiri soma aya inasema inallahu malaikatau swaluna alanabii yaayuhaladhina amanu swalu alaywasalim mutaslima kanitafsirie aya hii halafu uje uniambie je maulidi si halali?
Mkuu, nadhani unaelewa nini maana ya sunna!
 
Mie napendekeza ili kusiwe na manung'uniko, basi:

1. Ijumaa iwe siku ya Mapumziko - Waislaam.
2. Jumamosi iwe ni siku ya Mapumko - Wasabato
3. Jumapili iwe ni siku ya Mapumziko - Wakristo wengine.

Kama ikipatikana na siku nyingine ya watu gani sijui na yenyewe ikawa siku ya mapumziko, itakuwa safi sana.

Au tufuate wimbo wa Ebo Masaai ambaye anataka Wiki iwe na siku tatu yaani Ijumaa, Jumamosi na Jumapili.
 
Mdondoaji,

Naona umelielekeza suali lako kwa mtu maalum ila napenda kuchangia kile nikijuacho baada ya kujisomea.

Maulidi ni sawa na birthday party, sasa tokea lini birthday ikawa sehemu ya dini. Ni madoido tu ambayo baadhi ya waislamu hufanya kusherehekea uzao wa mtume, nabii Muhamadi.

Katu haiwezi kuwa ni nguzo muhimu ya uislamu. Kama wewe binafsi unaipa uzito siku ya kuzaliwa kwako, basi uichukulie kama hivyo na hao waislamu wanaoiadhimisha siku hii ni kuwa wanaona ni muhimu.

Kwa waislamu ni kur-ani na sunna(hadithi sahihi) ndio vitu vikuu. Vyengine ni vipambio tu.

"Enyi mlioamini, shikamaneni na kamba ya mwenyezimungu na wala msifarikiane", could you stop this discussion please!!!!! Naona dariri za ibilis kuingia baina yenu kukugombanisheni wenyewe kwa wenyewe. Msiwe na hofu mola mwenyewe amechukua ahadi ya kuilinda dini yake. Uislam umeanza kuchukiwa toka enzi za Mtume (SAW), haya mnayoyaona sasa ni marudio tu historia. Ni mapenzi yake mola ndio yamefanya uislam uendelee kuwepo hadi leo. Rejeeni kisa cha tembo.
 
Ah ah ah, masanilo, uoni kuwa huyo jamaa, anastahili majibu yake, tunapaswa kweli kuchangia kwa Hoja...! Ila Masa leo naona huu mstarabu sana, ni wewe kweli...!? Naweza tuka-shake hands mkuu!?

Hahahaah mimi nakuwa mkorofi nikichokozwa ndugu!:A S thumbs_up:
 
Back
Top Bottom