kama swala la mahakama ya kadhi itawafanya baadhi ya waandishi wa habari waliokuwa mstari kuandika hata tahariri zao kupinga ,baadhi ya madhehebu ya dini na wengine, kuikimbia tz imefika wakati kutafuta passport kukimbilia nchi wanazotaka na kutuachia tz yetu yenye mshikamano na Upendo Nchi nzuri ya Kukimbilia ni Kenya ambapo huko ukitamka neno mahakama ya kadhi utafungwa,watakimbia Uganda na msumbji, huko ukiitaja OIC utakatwa kichwa haitakiwi hasa kusemwa huko wataishi bila ya kusikia neno hili.lkn kwa wakibaki Tanzania nchi yenye amani na utulivu licha ya kuwa na ubalozi wa dini lipo njiani linakuja, kwa mujibu wa mmoja ya kiongozi wa dini ya kiislam ambaye akizungumza kupitia channel ten, tayari mahakama hiyo ipo njiani, ipo karibu sana kuanzishwa.alisema hakuna sababu ya kuogopa na hakuna sababu ya kuzuia jambo hilo. amesema mahakam hiyo itakuwa inahukumu mambo ya ndoa, mirathi na mambo madogo madogo ya waislam.Kuhusu swala la kodi sheikh hakuzungumzia lkn ms anaongeza.Pesa ya Serekali ni ya wanachi wa tz ambapo ndio walipa kodi.kwa mfano tunayo mahakama ya biashara inalipwa na gov lkn kweli watz wote na wafanya biashara? wavuvi jee?tunayomahakama ya ardhi? tusioviwanja na mashamba?